Young Paster sehemu ya ishirini na mbili (22)

Young Paster EP 22Ilipoishia

MCHUNGAJI MCHANGA

Wakati huo mama wini ana hasira na mtoto wake, malezi yote aliompa mtoto wake wa pekee, afu leo anakuja nyumbani hana nguo ya ndani,. Yaani ni dhahiri kuwa anatoka kwa mwanaume….. Mama anapandisha mori wa kwao… Wini anajua mama akipandisha mori, patachimbika hapo, ilibidi wini aseme ukweli wote…
“mama, subiri kwanza… Nitakwambia ukweli mama”
Wini amekubali kusema ukweli, sasa ni ukweli gani,.. Na mama pia anamjua mtumishi adam, ana mchumba wake, leo wini aseme alikuwa kwa pasta adam… Inawezekana vipi
“na ndio nautaka huo ukweli…. Kaa pale haraka sana…. Haya niambie umetoka wapi, na kwanini huna nguo ya ndani… Shetani mkubwa wewe”
Aliongea mama kwa hasira…. Sasa wini anataka kusema ukweli kuwa alikuwa kwa adam.. Na ni hatari kwa adam pale siri itakapo vuja kuwa keshaanza kuwarudia kondoo wake

SHUKA NAYO…….

Kwa karne hii ya sasa tulio nayo, wachungaji wengi hawafuati maadili ya dini, hata kama ana mke lakini baadhi yao utawakuta wana wanawake wa nje kwa siri, mana kwa kawaida ndoa za kikristo hua ni moja tu, tofauti na Waislamu wanaweza kuwa na ndoa nne… Lakini kwa wakristo ni ndoa moja tu, hivyo ukishaoa ujue ndio basi tena… Lakini bado kuna baadhi hawatekelezi sheria hizo ni dhambi pia kwa mungu kuzini kabla ya kuoa… Na ni dhambi mara dufu kuzini baada ya ndoa.. Una mke afu unazini nje,.. Adhabu yake ni kupigwa mawe hadi mauti kukufikia….

Wini ni msichana alielelewa katika maadili, kwa mujibu wa mama yake anavyodai lakini kwa sisi wasomaji tunaona ni msichana mpenda starehe sana haswa na wanaume wazuri, au wenye uwezo… Na anajua kila kitu mpaka mitego ya kumtega mwanaume,…. Baada ya mama kuridhika na maneno ya mtoto wake kuwa katoka kwa rafiki yake Jackie, tena na wao walikuwa kanisani, mama akashusha hasira zake… Lakini wakati wini anaingia ndani mama aliona kitu katika mwili wa mtoto wake, mana wini alikuwa kavaa gauni fulani laini sana, kwa sasa mnayaita TENTEMENTE, afu mbaya zaidi wini alijaaliwa maumbile ya nyuma, hivyo mama ilikuwa ni rahisi kumjua mtoto wake kuwa hajavaa nguo ya ndani, na ni kweli mana mtikisiko wa kiungo cha nyuma ulipitiliza mipaka….

“mama, kweli nilipotoka hapa nilikuwa na haraka sana baada ya Jackie kuniambia niwahi… Sasa nikajikuta nimeshavaa gauni.. Ila nilipokuwa kwenye dalala, ndio nikajikuta sina nguo ya ndani… Nisamehe mama angu sintorudia tena”
Aliongea wini ukweli ambao ndio alisema atamwambia mama yake…
“ni mwanamke gani wewe unasahau kuvaa nguo ya ndani,… Inamaana hata hisia tu kuwa hujavaa huzipati”
“mama, ilikuwa ni haraka mama angu… Nisamehe”
Wini alipiga mpaka magoti, mam anampenda sana mtoto wake na ndio huyo huyo kama dawa…
“nenda kaoge huko, mjinga wewe… Na sitaki tena nikuone unarudi saa hizi, iwe mwanzo na mwisho.. Na siku ukichelewa mimi sio mama yako.. Mjinga wewe.. Toka apa”
Mama alimsamehe mtoto wake lakini kwa kalipio kali sana,….

Wini aliingia bafuni na kuanza kuoga,.. Wini alikuwa akijitazama maungo yake ya siri jinsi yalivyosuguliwa na mchungaji adam…
“mwanaume yule hatari,… Pamoja na ushamba wake wa mapenzi lakini… Alichonifanya leo hata mjanja haoni ndani,.. Jackson wangu anajua mapenzi lakini huyu, ni zaidi… Ni mshamba lakini anajua kulima…”
Aliongea wini huku akiendelea kujiosha katika maungo yake,…
“sikuwahi kufika kileleni mara mbili, lakini leo nimefika…. Adam, sikuachi. Chagua kusuka au kunyoa… Eva, Catherine, au wini…. Na nitakupa utam mpaka unasahau hao… Lazima niwe mama mchungaji”
Aliongea wini huku nae akijiweka latika orodha ya wanawake wanaowania kuolewa na adam,….

Kesho yake,… Tukiwa katika nyumba moja hivi, ambapo tunamwona mama yake Catherine anaingia na kupokelewa kwa shangwe nyingi…
“heeee mama Catherine, karibu ndani”
Mama mwenzake alimkaribisha ndani, na kuketi katika sofa lainiii….
“Ahsante, mama john.. Habari zenu huku”
“salama tu,… Asifiwe bwana Yesu”
“milele amina”
“karibu mama Catherine”
“Usijali mama John, hapa ni nyumbani”
Walionekana ni watu waliofahamiana kwa muda mrefu sana…. Mama john alikaa chini na kuanza kumuuliza mama Catherine
“mama Cathy…. Nimesikia Catherine anataka kuolewa na yule mtoto wa tajiri”
Aliongea mama John tena kwa huzuni sana
“ni kweli mama john… Lakini hilo swala niachie mimi… Mana hata huyo kijana hampendi mtoto wangu”
“sawa mama Catherine.. Lakini John wangu yupo katika mawazo kila siku anamuomba Mungu amuoe mtoto wako,… Na mambo yalikwenda sawa, sasa kwanini Catherine kabadirika kiasi hiki”
Aliongea mama john, ambae ndio mwenye mtoto aliokuwa anataka kumuoa Catherine, sasa kumbe huku nako mama Cathy anataka mtoto wake aolewe na John, mtoto wa huyu mama kwasababu ni rafiki yake wa kitambo,…. Kwahio kule baba ataka Catherine aolewe na adam kwasababu mr Yohana na mr jacob ni marafiki… Na huku tena mama john na mama Catherine ni marafiki hivyo Catherine anatakiwa aolewe na John,… Mtoto ni mmoja anagombaniwa, na mbaya zaidi sasa hivi hana bikra
“mama Cathy, mimi nataka mtoto wangu aoe kwako.. Najua ulivyolelewa wewe, hata mtoto wako ni hivyo hivyo… Na hata alipokuwa na john alikuwa akionekana,.. Anakuja hapa na gari yake,… Ana heshima kwakweli”
“uaijali mama John… Wewe niachie mimi hilo swala”
Mara wakiwa katika maongezi, John mwenyewe alikuja, akiwa kashika vitabu vya mungu, anatoka kutangaza neno la mungu, ni kama mwinjilisti na hali ya maisha kwao sio maskini sana… Wanajiweza kiasi fulani
“Shikamoo mama?”
John alimsalimia mama Catherine, tena kwa heshima ya hali ya juu…
“marahaba baba angu hujambo baba”
“sijambo hali ya nyumbani vipi mama”
“salama baba,… Naona unatoka kutangaza neno la Mungu”
“ndio mama, ni wajibu wangu”
“ni vizuri sana baba”
Basi stori nyingi ziliendelea hapo waliongea mengi sana mpaka mama Cathy akaondoka zake…

Tukija huku kwa baba yake adam akiwa na Catherine ndani ya gari,..
“kwahio, kwa sasa adam kakiuka maadili ya uchungaji”
“ndio baba, ila sikuhitaji chochote toka kwake… ”
Aliongea Catherine huku akimaanisha kwamba hakumpa penzi lake, lakini ukweli tunajua kuwa Catherine kwa sasa bikra hana…
“nipe namba ya akaunt yako ya benki.. Umefanya vizuri sana…. Ila bado nataka uwe mkwe wangu”
“lakini baba,… Adam hanipendi kwakweli… Nampenda adam.. Lakini adam hana mpango na mimi”
“subiri, nitakupa njia nyingine ya kufanya, utalifanikisha hilo”
“sawa baba”
Catherine aliona kama ni bikra hana, sasa bora akachukue na ile pesa alio ahidiwa baada ya kumfanya adam kuingia katika kundi baya… Ila sasa jambo ni moja ila limekuwa na sehemu mbili.. Adam yeye alifanya kwa akili yake, ili kumkomoa Catherine kuwa hana bikra, ili asimuoe, lakini pia hapo hapo baba yake nae alimtuma Catherine akae sana karibu nae ili atengue ile miiko ya kiuchungaji, na ni kweli… Adam kafanikiwa kutoa bikra, na kwa mujibu wa sheria za familia, hawezi kumuoa kwasababu bikra inatolewa siku ya ndoa… Na kama ataolewa huyo huyo Catherine, basi adam ndio anatakiwa ataamke kuwa ni kweli yeye ndio alimtoa bikra… Lakini asipo tamka basi hakuna ndoa.. Hilo ndio zumuni la adam… Lakini hilo hilo zumuni lake ni faida kwa baba yake na mr jehova wa Nigeria,.. Mana wao wapo tofauti na adam…

Adam akiwa kanisani kwake, lakini roho ilikuwa ikimsuta sana,… Hata anapohubiri waumini wake bado anajiona kama vile hana hadhi ya kusimama mbele ya uma na umuamini kama pasta, yaani hata nafsi yake inamsuta sana kutokana na kua mtu wa ajabu kabisa… Kanisa lake liliokuwa limejaa waumini wengi sana,.. Alifanya mahubiri makubwa sana,… Mapaka akamuita eva aweze kumsaidia mana kichwa kilikuwa kikimuuma, hata mungu hakupenda adam aendelee kutoa mahubiri mama kwa sasa hana tofauti na shetani, mana kakiuka maadili yote pasta ambae hajaoa….. Mchungaji adam alikwenda kuketi katika kiti ambacho kipo nje ya kanisa hilo kwenye gadeni fulani hivi,… Kweli kichwa kilikuwa kikimuuma… Lakini, alipoangalia mbele yake, aliona mschana mzuri akiingia chooni… Sasa dada yule alikuwa kabanwa na mkojo sana, kama tunavyojua wanawake hua wakiwa wanakaribia karibu na mlango wa choo, hua wanapandisha nguo zao.. Yaani anapandisha nguo kabla hajaingia chooni, sasa adam kuona mapaja ya yule dada… Huezi amini hata kichwa kilipona, adam alianza kuangalia huku na kule kama hakuna mtu anamwona,… Yaani hatari ya kuanza mapenzi na utu uzima ndio hii… Yaani unakuwa unapaparika kila unapoona mwanamke mzuri,… Adam aliamka pale alipokaa na kukimbilia chooni, tena choo cha kike,… Adam aliingia kabisa mpaka ndani ya vyoo, yaani kawa chizi wa mapenzi na yote hii ni kazi ya baba yake, kama sio Catherine kutumwa au kulazimishwa kuolewa na adam, yote haya yasingelitokea kwa adam,…

“haaaaaa Mtumishi, kumbe ulikuwa hapa… Nimekupita hapa au”
Dada huyo alijikuta anakosa hata kiwa na hasira, mana kisheria alitakiwa kuwa na hasira na hata kupiga kelele juu ya kumkuta adam akiwa ndani ya vyoo vya kike.. Lakini alikuwa mstaarabu, tena maskini kwa bumbuazi akajikuta hata nguo hajaishusha vizuri, mana vyoo ndani ni vidogo, hivyo ukimaliza haja unatoka kidogo tu kwa pembeni sehemu ya kunawia mikono, unajifunga vizuri kama ni kanga au ni gauni unajiweka sawa… Sasa mdada huyo alijikuta kashikilia sketi yake kwa mshangao wa kumkuta adam katika choo cha kike… Mtoto wa kike alikuwa na mipaja mikubwa, na macho ya adam yote yalikuwa yakitazama mapaja ya mschana huyo, saa ngapi hajainama na kuyashika shika….
“pastaaaaaaaa”
“unajua wewe ni binti mzuri… Nikiwa kama mchungaji ninaetafuta mke mwenye vigezo, mbona kama naviona kwako”
Adam ni tajiri, na pia ana cheo katika dini na hana mke… Sasa mabinti kama hao wakitaamkiwa hivyo, vichwa ninawawaka moto,….
“baba mtumishi, eva si mchumba wako”
“bado hana vigezo ninavyo hitaji”
Aliongea adam huku akimshika kiuno,
“bwanaaaa mtumishi…. Apana.. Uuuuuuu…. ”
Adam alifikia hadi kumshika matiti msichana huyo,….
“pole mrembo, unaitwa nani”
“naitwa rose”
“waoooooo…. Mama mchungaji rose”
“lakini mchungaji”
“lakini nini rose… Mbona mimi ni lika lako”
Sasa rose alishangaa kumwona adam anafumgua zipu ya suruali yake,.. Yaani kasahau kama yupo chooni hapo alipo,
“pasta,… Nooo.. Funga zipu yako… Uuuuuuuuuwiiiiiiii”
Rose aliona dudu ya adam,.. Yaani adam keshachanganyikiwa na wanawake,…
“kidogo tu”
Rose alikuwa kajazia, yani mchina sio mchina.. Lilikuwa lipo vizuri… Rose alishtukia tu sketi inachukua mana alikuwa hajaifunga alipokuwa anatoka chooni,.. Adam kuona chupi ndio kapagawa kabisa,…
“mtumishi, naomba uvute subra, nije kwako”
“no, bwana nina hamu”
Sasa huku nje kuna mama mtu mzima anakuja chooni kupata haja, afu adam ndio yupo kwenye korido ambayo imeunganisha vyoo vyote.. Maskini mama huyo alikuwa apidi kweli,… Mpaka akafika kwenye hio kordo,.. Saa hio adam anapekenyua chupi ya rose, hana habari kama kuna mtu anakuja, tena mama mtu mzima na heshima zake… Na adam ana heshimiwa na kila lika… Leo anakutwa chooni tena akiwa na mwanamke….. Rose alikuwa anakataa, lakini alijikuta anakubali,.. Mana kaambiwa anapiga kimoja tu… Adam aliipekenyua chupi ya rose, mpaka akaishusha kidogo,.. Wakati huo mama mtu mzima ndio anapanda ngazi ya kwanza kufika korodoni ili aingie chooni, na hapo korodoni ndipo walipo akina adam.. Sketi ya rose ipo chini,.. Kashawishiwa mpaka kakubali, sasa alikuwa anainama ilo adam afanye huduma zake…… Mungu wangu, mama anamalizia ngazi za kuingilia korodoni…

ITAENDELEA………….

Comments

Use [video]youtube-video-link[/video] to insert video in comment
Use [img]image-link[/img] to insert image in comment