Young Paster sehemu ya ishirini (20)

YOUNG PASTER EP 20Ilipoishia

MCHUNGAJI MCHANGA

Aliongea adam huku nae akiwasha gari mana tayari mida ya jioni ya kurudi nyumbani na hata waumini pia vivyo hivyo,…

Sasa huku barabarani, Catherine akiwa ndani ya gari,.. Alikuwa akimwangalia sana eva kupitia kioo cha mbele, yaani jinsi anavyoendesha gari, eva yupo mbele anatembea kwa miguu, maskini ya mungu kumbe mawazo ya Catherine ni tofauti kabisa,….
“wewe ndio kipenzi cha adam si ndio??… Eti nilikwambia nina mchumba na mchumba ni eva…. Sasa tuone huyo eva atapona kwenye gari au laaa”
Aliongea Catherine huku akianza kuendesha gari yake kwa spidi tena anaelekea kule kule alipo eva,… Kweli Catherine kazamiria kweli,.. Yaani hapa ni akili yake aio kama vile vya mwanzo…. Masikini eva bila kujua kuwa nyuma yake kuna gari inakuja tena kwa makusudi ya kumuua yeye..
Spidi iliongezeka…. Na hatimaye kumfikia karibu ya eva,
“Uuuuuuwiiiiiiiiiii mamaaaaa”

ENDELEA NAYO……..

Katika maisha ya mwanadamu lazima kuwepo na neno WIVU, hili neno kwenye mapenzi hua ni baya sana, kwani pale tunapoamua kulifanyia kazi, matokeo yake huja kuwa ni hasara katika maisha yatu,.. Hivyo kama unakuwa na wivu basi fanya kujibalansi mana ukizidi sana utamkera hata huyo unaempenda…

Catherine anampenda sana mtumishi adam, lakini mtumishi nae ana mchumba wake tena wa muda mrefu sio kama yeye aliemjua juzi tu, na kupewa taarifa za kuolewa nae,.. Adam alimwambia kabisa Catherine kuwa ana mchumba wake na wanapenda sana, lakini Catherine hakutaka kusikia, ndipo adam akachukuwa jukumu la kuongea kwa vitendo,… Na baada ya kitendo adam alimwambia ukweli kuwa alimwambia kwa mdomo lakini hakusikia, sasa kaongea kwa vitendo,.. Sasa Catherine si kitu tena mana kapenda asipo pendwa….

Baada ya kuambiwa ukweli Catherine alijikuta anapandwa na hasira, lakini mbele yake alimwona msababishi wa hasira zake,.. Alikuwa ni eva,.. Catherine aliona kwakuwa eva ndie kipenzi cha adam, sasa wacha amkomeshe kwa kumpamia na gari kwa makusudi,…. Catherine hakuwa akifanya utani mana kweli adam hapo ndipo roho yake ilipo, na ingelikuwa tayari keshamuoa, sema Catherine ndie alikuwa kikwazo…

Masikini eva bila kujua kuwa nyuma yake kuna gari inakuja tena kwa makusudi ya kumuua yeye..
Spidi iliongezeka…. Na hatimaye kumfikia karibu ya eva,

Lakini kabla hajamgusa kwa gari, kwa bahati nzuri au mbaya, eva akakanyaga jiwe liliomfanya kuteleza na kuangukia upande wa kushoto…
“Uuuuuuwiiiiiiiiiii mamaaaaa”

Ni kelele za eva baada ya kudondoka chini, na wakati huo huo gari ya Catherine ndio inapita jirani na miguu yake,.. Yaani kama sio jiwe kumdondosha eva, basi sasa hivi yangelikuwa mengine,… Wakati eva kachafuka maji machafu ambayo alimwagiwa na Catherine kwa kutumia gari,…. Catherine kwa hasira ya kumkosa alitoa gari kwa spidi kali, watu walishangaa, yaani mtu umkose afu utoe gari, walimshangaa sana Catherine kwa kitendo ambacho amekifanya mbele ya waumini wenzie…
“pole dada…. Amka twende”
Alikuwa ni bite mdogo wake na eva, lakini wakati huo huo Adam anatokea
“Jesus, nini kimekukuta eva”
Adam aliongea huku akishuka katika gari kwa haraka na kumuwahi eva pale alipokuwa akiamshwa na bite..
“alikuwa anamkwepa Catherine”
Adam kuskia hivyo akajua tu Catherine lazima kafanya makusudi na sio bahati…. Japo kilichomdondosha sio gari ya Catherine, bali viliambatana… Yaani ile kakanyaga jiwe na kumpindua na gari nayo hio, hivyo hata kama uliona mwanzo mwisho huez jua kama ni jiwe, lazima ueme ni gari mana ni vitu vilivyo fatana…..

Adam alimchukuwa eva na kumuweka katika gari yake, hakuja kachafuka au laa,… Wote walipanda katika gari, kisha Wakaondoka, lakini njia aliokuwa akielekea adam ni njia ya nyumbani kwake,…
“mtumishi, mbona tunakwenda kwako”
“eva, utaendaje nyumbani hivyo… Twende ukaoge”
“hapana…. Mtumishi niwahishe tu nyumbani, Umesahau kuwa huhitajiki kuwa na mtu ndani kwako kwa wakati huu”
“ni kweli…. Ila sawa wacha niwawahishe”
Aliongea adam huku akirudisha gari nyuma, mana alishapituliza kuelekea kwake,….
Wakati huo wapo watatu ndani ya gari hilo, Eva, Bite, na adam… Adam alifika mpaka nyumbani kwa akina eva,…
“yesu wangu, heeeee, eva nini kimekukuta rafiki yangu”
Alikuwa ni wini ndie alieongea hivyo kwa kumshangaa eva kwa jinsi alivyo chafuka,…
“we acha tu wini.. Ni Catherine huyu”
Adam aliingia ndani na kumsalimia mama mkwe,… Kisha aliaga na kuondoka zake,… Wini akiwa na eva ndani kwao, mama eva Alianza kulia mana anajua hio ni vita ya mapenzi ndio inayomtesa mtoto wake…
“mwanangu pole sana mama…. Najua unapendwa, lakini wengi hawapendi kupendwa kwako mwanangu…. Lakini bwana yesu yukaribu nawe”
Aliongea mama huyo huku akitokwa na mchozi ya uchungu…..
“eva, usishindane na wenye pesa eva”
Aliongea wini huku eva analia, yani kisa mwanaume ndio ananyanyasika kiasi hicho,…
“hujauimia mwanangu”
Aliongea mama bite, huku eva akionyesha mchubuko kidogo tu alio upata
“adam anajua kuwa umechubuka”
“hapana, sikutaka kumsumbua”
“wacha nikutafutie dawa mwanangu”

Ikiwa ni mida ya jioni hivi,.. Adam akiwa kapumzika nyumbani kwake,.. Wakati huo sasa adam anakumbuka siku ile alipokuwa na Catherine,… Sasa akili na Catherine inaanza kumjia mana anamkumbuka…. Yaani ni muda mfupi Catherine kafanya tukio, lakini adam alipokuwa kapumzika katika kitanda alianza kumkumbuka Catherine, siku ile wakiwa kitandani… Adam alishika simu yake kisha akaanza kulitafuta jina la Catherine katika orodha ya namba zilizopo katika simu yake.. Aliliona lakini akawa anasita kupiga,

Sasa hajakaa vizuri, mara simu ikaita lakini ilikuwa namba ngeni,…
“hallow… Tumsifu Yesu Kristo”
Aliongea adam japo hajui aliopiga
“milele amina…. Mtumishi naumwa na tumbo, niombeee”
Adam alishangaa kuskia sauti ya kike, tena ikimwomba amuombee kwani hapo alipo anaumwa na tumbo… Kweli ukiwa na imani, unaweza kupona hata kwa kuombewa kwa simu,….
“sasa weka simu yako katika tumbo na uifanye laudi spika”
Adam hakutaka kumjua ni nani… Saa ngapi hajaanza kudondosha maombi.. Tupia maombi ya hali ya juu… Lakini ghafla, anasikia
“pasta adam…. Inatosha, naomba nije uniombe huko…”
“kwani we nani”
“ni yule rafiki yake eva,.. Naitwa wini”
“mmmhhh namba yangu umetoa wapi”
“nitakwambia nikija”
“uje wapi… We hujui kuwa sijaona”
“pastaaaaa…. Kwani ambae hajaona… Hawezi kulala na mwanamke”
“ndio, na ndivyo inavyotakiwa… Kama wataka nikuombee njoo kanisani kesho”
“ina maana pasta… Wewe hunanihii”
Wini alishajua kuwa adam keshapepesuka kwenye upande wa msimamo, mana aligundua wakati anamshusha eva pale kwao, alikuwa akimshika sana afu uume wake ulikuwa umesimama kwa mbali, hili tukio wini aliliona na kuona kuwa Adam keshamomonyoka msimamo..
“naomba tuheshimiane tafadhali”
Wini aliogopa kwa kiasi fulani.. Mana adam alikuwa na mkwara,…
“ok unafanyeje hapo pasta… Samahani lakini”
“unataka nini”
“maombi”
“njoo kanisani kesho”
“pasta adam…. Mapepo yangu hua hayatoki kanisani sjui kwanini”
“kwaio”
“dakika moja tu…. Hapo kwako… Nitakuja kiusalama zaidi hakuna mtu atajua”
Adam kweli sasa hivi kamomonyoka msimamo, yaani toka alipokutana na Catherine kimwili, mpaka sasa amekuwa mtu wa tofauti sana, yaani kile walichokuwa wakikitaka mr jehova na mr Jacob, ndio hicho sasa kimetokea…
Adam aliangalia saa yake, ni saa 11 ya jioni… Ni muda wa dada yake kuja.. Lakini leo kama vile kachelewa…
“na ukija staki ukae, baada ya maombi uondoke”
Mpaka hapo sio sheria kwa mchungaji ambae hajaona kumwombea mtu ndani kwake, labda awe wakiume lakini sio wakike…

Kweli wini alimtamani sana adam siku nyingi, sasa leo atakoma kuringa, bodaboda ilisimama mbele ta geti la adam, bonge la jumba la kifahari,… Afu kijana mdogo tu, japo ana ushirika na baba yake….
Adam akiwa ndani ghafla kengele iligongwa, alikwenda kufungua kwakuwa hakuwa na wasiwasi na aliokuwa anakuja,… Wini ni mschana mrembo sana, na ana umbo la wastani,.. Ni kazuri mno…
“karibu ndani”
Aliongea adam huku akifunga geti,.. Lakini hali aliokuja nayo wini, ni hali ya kumtishia mwanaume yeyote yule rijali,…. Yaani alikuwa kavaa yale magau ya mistari kama punda milia, afu hua wakitembea wanayashika hapa mbele, sasa kama mwanamke ana chura.. Heeeee huyo kidume wa nyuma ataisoma namba… Unaweza potea hata njia…
Sasa wini alifanya kusudi kabisa.. Wenzie wanavaa angalau na chupi ndani…. Lakini yeye kalivaa hivyohivyo, afu ana chura lainiii.. Na yale magauni yenyewe malainiiii.. Adam alikuwa akipepesa macho tu,

Sasa kusudi za wini zilizidi… Alifika mahari kuna kama vijingazi vya kupanda, ili ufike kibarazani,… Sasa wini akajifanya kama kupandisha mguu hivi hawezi, mana alikuwa anapandisha mguu kisha anaushusha chini, sasa kile kitendo cha kushusha chini, na vile hana chupi… Adam alibaki kiduaaa, tu na vile ni mgeni wa mapenzi, yaani hapo tabu kwake….
“kama huezi kupanda hapo bora urudi”
Aliongea adam tena kwa kujikaza haswa, yaani uzuri ni kwamba shetani anamjia afu anaondoka… Sasa wini akaona mwanaume ni mgumu kama jiwe na akileta mchezo kweli anaweza kutolewa nje.. Wini alipitiliza mpaka ndani na kukaa katika sofa,… Adam alikuwa kavalia traki yake mana si yupo nyumbani tu,.. Alikwenda chumbani kwake na kuchukuwa vitabu vyake vya kufanyia maombi, yaani adam anajua kweli wini kaja kwa ajili ya maombi, na hata wini haamini kama kweli adam anakuja  na Biblia mkono….
“ulisema unaumwa tumbo”
“ndio, baba mtumishi”
“yesu atakuponya… Piga magoti chini na ufumbe macho”
Wini aifanya kama alivyoagizwa, kisha adam akafunua kitabu chake maalum kwa ajili ya maombi,… Kazi ilianza huku adam akiwa kashika kichwa cha wini, na hata adam pia kafumba macho nae huku akishusha maombi,… Kweli adam hakuwa na tamaa sana, ila ni shetani tu anakua kama anajaribu…. Maombi yalichukuwa kama robo saa hivi,… Sasa adam akafumbua macho ili kufunua ukurasa mwingine… Sasa ile kufumbua macho, alikutana na kifua cha wini kimetokeza nje,.. Kumbe wini alifanya makusudi tu.. Adam ikabidi afumbe macho tena na kuendeleza maombi, lakini ile hali ya kifua wazi, tayari imeshaingia kwenye ubongo wa adam.. Na ikishaingia kwenye ubongo inasafirishwa kwa damu mpaka kwenye dhakari ya adam….. Sasa ukumbuke wini alikuwa kapiga magoti, saaa ngapi hajaona traki ya pasta inanyanyuka,.. Sasa wini anashangaa kumbe pasta ana maumbile makubwa hivi… Wakati huo adam yeye anaomba lakini huku wini anaaangalia mashine…
“Uuuuuuuuuwiiiiiiii….. Aaahhhh uuu… Oooooo aaajjhhhhhhhh… Ooooouuuuubbbbbbyyty… Uuuu”
Mapepo yalianza kumuamka wini,.. Makelele ya hapa. Na pale…. Sasa hapo adam anajua.. Mapepo yanatoka,.. Wakati huo wini anamshika adam kila mahari kwa kumkaba kaba kama vile mtu mwenyewe mapepo kweli… Lakini sasa wini kila mahari anapashika kwa nguvu na kujikamua kama vile kweli ana mapepo, lakini sasa alifikia kushika mpaka kwenye dhakari ya adam, lakini alipashika kiustarabu… Sasa adam akajiuliza… Ni mapepo gani yanachagua sehemu za kushika kistarabu… Hapo ndipo adam akagundua hakukuwa na mapepo wala nini…
“wini,… Siwezi kuamini, kumbe hupo Siriasi na maombi”
Wini alimwangalia adam kisha akamwambia
“ni kweli mtumishi adam…. Kweli sikua Siriasi na maombi”
“sasa nini kilichokuleta”
“hata mimi nakupenda mtumishi… Sio eva na Catherine tu,.. Karibia wasichana wa kanisa lako wote, kila mtu anatamani kuolewa na wewe… Sasa mimi ni nani nisiotamani… Baba mchungaji, nakupenda, na hapa nimefuata penzi lako…. Utanisamehe sana mana sikuja kimaombi”
Sasa adam akijivuta kutoa jibu baya ili limkere wini,… Ghafla kengele ya geti inagongwa, adam alikatwa na tumbo kwa mshtuko….
“dada yangu huyo anakuja… Umeona sasa ujinga wako wini… Leo sura yangu naiweka wapi sasa dada angu huyo”
Lakini wini nae akashangaa huyo dada yake anakuja Kufanya nini saa hizi…
“anakuja kufanya nini huku”
“dada yangu kajitolea kunipikia na kunifanyia usafi wa nyumba mpaka nitakapo oa… Sasa ndio kaja kupika”
“yesu wangu jamani adam kwanini usiniambie mchungaji”
“twende huku chumbani… ”
Adam alimkokota wini mpaka chumbani kwake….
“Sasa utajificha wapi hapa…. Ooohhh Yes njoo kwenye hili kabati la nguo”
Kule ndani kuna yale makabati ya kujengea humo humo, sio kabati za mbao…
“tupa huu mkoba wako kule… ”
Adam alichukuwa ule mkoba wa wini na kuutupa mvunguni huko.. Kisha akamfunika na suti suti,… Kisha akatoka nje kwenda kumfungulia dada yake, mana ni yeye tu…
“karibu dada”
“Ahsante, ulikua umepumzika mtumishi”
“aaahhhh ndio… Na umenivurugia usingizi”
“kwahio leo nikuache upumzike”
“aaahhhh itakuwa vyema sana… Mana nimechoka afu nimekula muda sio mrefu”
Adam aliongea kimkato mkato, mana ndani kuna mwanamke sasa dada yake akisema aingie… Itakuwa balaaa
“basi wacha nipumki kidogo mana… Mana nyumbani kuna gubu”
Sasa ni dada yake, hawezi kumkataza hivyo alifunga geti kisha akawa anamfuata dada yake kwa nyuma… Akili ya adam hapo haifanyi kazi kabisa…
Lakini sasa ile dada kuingia ndani, kwanza akakutana na harufu ya mafuta ya kike, na mwanamke anaeingia ni yeye peke yake.. Alinusa nusa
“vp dada, hujafanya usafi siku nyingi eee”
Adam alijibalaguz mana keshajua dada kajua kuna harufu ya mafuta ya kike humo ndani…
“ndio,… Natamani kuifanyia usafi wakati wowote”
“aahhhh kwa leo dada pumzika”
“ok… Nipatie maji ya kunywa basi… Au utakataa kwakuwa ni mchungaji”
“aahhhh uchungaji wangu bila heshima si kitu… Na uchungaji ni kanisani, nyumbani heshima kama kawaida”
Aliongea adam huku akimimina maji toka kwenye kabinet….
“sawa bwana”
Lakini ghafla, chumbani kwa adam kulitoa sauti za kudondoka kitu… Jessica alishtuka…. Na kutaka kwenda, ila kasita kwasababu ni chumbani kwa kaka yake….
“kuna nini”
“yatakuwa ni mapanya hayo… ”
“ina maana hii nyumba ina panya”
“makubwa tuuuu… Panya kama paka”
Aliongea adam lakini kama vile hajiamini na maneno yake,…..

Sasa huku chumbani kumbe wini kachoka kukaa kwenye lile kabati, na wazo lake anajua dada yake adam keshaondoka… Sasa cha ajabu wini kavua nguo zake zote, afu akajifunga taulo la Adam,..
“ngoja nimsapraizi kwa kuvaa taulo lake… ”
Baada ya wini kuvaa taulo tu, akawa anauendea mlango ili atoke kumsapraiz adam kwa mapigo ya mitego… Na wakati huo huku sebuleni bado wanajadili kuhusiana na hayo mapanya… Wini kafika kwenye mlango na kushika kitasa

Je? Nini kitatokea hapo.. USIKOSE

COMMENTS

BLOGGER
Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,166,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,210,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,125,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,165,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Young Paster sehemu ya ishirini (20)
Young Paster sehemu ya ishirini (20)
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-ishirini-20.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ya-ishirini-20.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content