$hide=mobile

Young Paster sehemu na kumi na tisa (19)

Young Paster  EP19 Ilipoishia MCHUNGAJI MCHANGA Aliongea adam, lakini Catherine akiangalia hio Zakaria ya adam, sio ya kuchovya cho...

Young Paster  EP19Ilipoishia

MCHUNGAJI MCHANGA

Aliongea adam, lakini Catherine akiangalia hio Zakaria ya adam, sio ya kuchovya chovya juu juu tu kama anavyodai yeye…
“adam, nakupenda toka moyoni,.. Natamani uwe mume wangu,.. Bikra ni yako hii, kwanini usivumilie mana saa yoyote tutaoana mtumishi”
Aliongea Catherine huku akilia, na ni jimama kubwa tu lakini anaogopa dudu,…
“Catherine, nia ya kufanya kabla ya ndoa… Niijue radha ya viuno vyako… Je nikioa mke gogo hajui hata kukatika… Hapa ni kama nakufanyia intaviuu, ukishindwa na kiuno chako kizito basi teba”
Aliongea adam kisha akamfuata taratibu na kulipanua paja tena… Catherine kakubali, tena kajisogeza karibu zidi
“usiingize yote lakini baby please”
“Usijali…”
Adam alishika Zakaria tena na kuichomeka… Lakini Catherine karuka tena, na kusema
“No, No, shika Biblia hii apia kuwa utanioa adam, tafadhali sana.. Shika na unihakikishie kwa kutumia kitabu cha mungu”

ENDELEA NAYO…….

Kweli bikra ni muhimu sana kwa mwanamke, sema wanashindwa kuelewa na kujikuta shetani anawapitia… Bikra ina heshima ndani ya ndoa, kwanza hata mahari atakayotozwa mwanaume ni kubwa na itawaridhisha wazazi na pia watakuwa na furaha kubwa na kupewa heshima ya malezi mema kwa kumuoza binti yao akiwa mzito kabisa,… Msichana anapokosa uzito hua ni furaha ya kawaida na hata mahari inawezwa kujadiliwa.. Ila mwanamke mwenye bikra.. Yaani mwanaume akiambia lete ng’ombe 3 au 4,wengine mpaka 5….na ikisemwa hio wakiamua haipunguzwi,.. Ila kama huna uzito (bikra) mahari inaweza kujadiliwa…. Saa mingine hata wazazi wanaweza kuwaacha tu mkaishi tu kwa kupendana,… Kikubwa tu utaambiwa mahari nyingine utatulipa taratibu,… Kuachilia ya kwamba mahari hailipagwi yote….

Sasa huku kwa Catherine akiwa na adam ndani ya chumba kimoja, Adam hampendi Catherine, japo ni mzuri, ana umbo, na pia uzito anao, sema Catherine ana vitabia vya kimjini mjini sana,… Sasa huo ujio wa Catherine umesababisha adam mpaka leo hajamuoa mchumba wake wa miaka mingi,… Adam amekaa muda mrefu na eva lakini hajawahi kumuomba tunda lake hata siku moja
Na hata alipotoka Nigeria, alikuwa na nia ya kuja kuoa lakini kakutana na vikwazo vingine toka kwa wazazi,.. Vimesababisha adam mpaka sasa hajaoa

Sasa akili ya adam ni kwamba atoe ile bikra ya Catherine, ili ipunguze kiherehere kwa wazazi,… Na ni kwasababu siku hio alimsikia baba yake akisema hatotaka adam aoe mtoto ambae hana uzito (bikra)…

“No, No, shika Biblia hii apia kuwa utanioa adam, tafadhali sana.. Shika na unihakikishie kwa kutumia kitabu cha mungu”
Aliongea Catherine huku akimpatia adam Biblia ili aapie kweli atamuoa, ila adam anajua athari za kuapa kwa kitabu cha mungu, afu istoshe sote tunajua kuwa hatomuoa…
“Catherine, basi tuache hili swala… Wacha nikushike shike tu”
Catherine alishangaa sana, ni mwanaume wa dizaini gani anakutana na umbile la kike, afu anaacha na kuamua kushikana tu,.. Lakini kama tunavyojua mapenzi mengi huanza na msisimko, hata mkiwa kwenye gari mkianza na tabia ya kupeana mate tu basi hapo hapo mtazilaza siti za gari hilo…
Catherine hakujua kama msisimko unaweza kumfanya akakubali kuiachia bikra yake bila kiapo chochote,…
Midomo yao ilikutana, na kama unavyojua wote ni wageni wa tendo hilo hivyo hakuna mjanja hapo, hata akikosea mmoja hawezi kuona kosa la mwenzi wake, kifua cha Catherine kilichosimama wima, adam hakuwa akikipa nafasi, na vile hajui sehemu za kumsisimua mwanamke, hivyo akibahatisha sehemu moja ni hio hio mpaka ahakikishe analalama… Bikra ni bikra tu, na kwenye mapenzi hua hachelewi kabisa, tofauti na limwanamke liliozoea amsha dude..
“adam.. Mbona kama nia yako n… Ni… Mmmhhh”
Catherine aliona kabisa bidii aliokuwa akiifanya adam ni dhahiri kuwa anataka tunda, na wala sio kumshika na kumwacha kama alivyodai awali,…
Catherine bila kupanuliwa mapaja, alijikuta anajiachia wazi kweupeee, na ule weupe wake, duuuuuuu…. Adam moyo wake ulifurahi mana kitu cha kwanza kaweza kumtolesha kibao kimoja kabla ya kumuingilia,.. Sasa anafurahi kama leo tu ndio anaanza keshamchosha mtu, je akioa huyo atakaemuoa atamfanyaje, adam hakutaka kuchelewa ili asije akapewa Biblia tena ili aapie,..

Catherine hakujizuia wala kuruka kama mwanzo, mana tayari palisha lainika, ni kelele zake za utam ndizo zilizokuwa zikisikika… Adam alikuwa kaingiza kidogo tu kama Catherine alivyotaka isiingie yote, yaani achovye chovye tu juu juu… Adam alianza shughuli yake wakati huo hata haijaingia sana lakini Catherine anateseka sana, bila juhudi za mwanaume sidhani kama bikra inaweza kutoka,.. Lazima mtoto wa kike asumbue kwa kiasi fulani… Adam hakuchukuwa muda mana hajawahi kufanya miaka yake yote, sasa kafikia mshindo, adam alipiga kelele mana alijivuta na kujikamua kwa Catherine,…. Sasa Catherine yeye ndio hafai
“mamaaaaaaaaaaaa…… Umeniumiza Uuuuuuuuuwiiiiiiii”
Alipiga kelele mwanadada Catherine, na wakati huo adam keshasukumwa na Catherine pembeni,.. Aiseeeeee, Catherine haamini kama kweli bikra yake imetolewa… Mana alikuwa akitokwa na damu katika sehemu husika, hata dhakari ya adam ilikuwa ilikuwa na damu kwa kiasi kikubwa,… Lakini sasa dhakari ya adam haijalala kama zilivyo zingine, mana si ndio anaanza leo, hivyo bado ana mzuka..

Wakati huo Catherine analia kwa maumivu ambayo anayahisi katika maungo yake,..
“turudie basi”
Kitendo cha adam kusema turudie,. Catherine alirusha kibao mpaka kwa adam….
“paaaaaaaaaaaaaa”
Mpaka Catherine mwenyewe alishangaa kawezaje kumrushia mkono adam… Ila bado alikuwa na hasira sana juu ya hilo,…
“sasa unanipiga kibao cha nini”
“yaani mi naumia afu bado unaniomba… Mwanaume katili sana wewe”
Catherine alijikongoja mpaka bafuni, kisha akajisuuza kwa kuoga kabisa, wakati huo adam kaduaa kitandani huku akiwa kashika shavu lake,.. Hata dudu lililala kwa kile kibao,..
“na amalize kuoga atoke, ananipigaje kibao”
Aliongea adam huku akichukuwa nguo zake, na kuzipanga tayari tayari
Adam alikwenda bafu lingine, mana jumba ni kubwa na lina mabafu kila chumba,… Kila mmoja Alimaliza kuoga lakini Catherine alikuwa akilia kwa maumivu, na wakati huo keshavaa nguo zake,…
Adam alipoangalia saa ilikuwa ni saa kumi na moja ya jioni,… Kachelewa kanisani kukutana na vijana wa chain player,… Mana aliwaahidi kukutana saa kumi za jioni… Adam aliingia jikoni na kupika, ikumbukwe kuwa alistop kupika kwasababu Catherine aliingia chumbani kwake,.. Ni dhahiri kuwa Catherine alikusudia kuguswa na adam, coz huez ingia chumbani kwa mwanaume ambaye hajaoa na wewe hujaolewa, afu mbaya zaidi bado kuna sheria za dini juu ya mwanaume na hata mwanamke anazijua, sasa kwanini kashindwa kuziheshim… Sasa hata akilalama kosa ni lake,…

Adam alimaliza kupika, ila hakumfukuza mana vile alivyosema, ilikuwa ni hasira za mwanzo tu… Ila kwa sasa zimepungua lakini kakasirika kwa kupigwa kibao na Catherine… Basi walikula wote lakini ni ile kununiana kimya kimya, huyu kachukia kutolewa bikra yake, na huyu kachukia kwa kupigwa kibao… Catherine alipo maliza kula, alipanda gari yake na kuondoka zake… Adam alibaki nyumbani kwake… Lakini hakutaka kubaki mana aliwaahidi vijana wa chain player kukutana nao ili kuchagua vijana watakao pokezana katika maombi ya chain player,…..

Baada ya wiki moja kupita adam akiwa kanisani kwake, katika maombi ya siku za juma,… Na alikuwa na waumini wengi sana nyakati za jioni, na hata Catherine alikuwepo, kupona keshapona kitambo tu… Lakini adam alikuwa hajiskii vizuri hivyo alimkaribisha eva kufanya mahubiri kwa niaba yake, japo ukimuona ndivyo itakavyokuwa
Kile kitendo kilimuuma sana Catherine kwa kupewa nafasi ya kuhubiri pale mazabauni, mana pale mazabauni hua hapapandwi na watu hivyo hivyo,… Baadhi ya waumini walifurahi sana kwasababu wanajua mahusiano ya adam na Eva,… Na ndio mke wake mtarajiwa….
Adam anampenda sana eva, na licha ya kumpenda pia anaihudumia familia yao, mana baba yake eva alipoteza maisha akiwa mzee wa kanisa, tena alifia kwenye kanisa lao ndani akiwa anafanya ibada,… Sasa adam ndio akaamua kuihudumia familia yake na kabla ya baba yake kufa, adam na eva walikuwa katika mahusiano,… Yaani wametoka mbali mno, hivyo anampenda na anatamani kuwa mke wake….

Baada ya ibada adam akiwa katika gari,….
“hivi ni tabia gani umenionyesha hii”
Aliongea Catherine kuwa kamwonyesha tabia gani ya kumpandisha eva katika mazabau ingali yeye ndie mchumba wake, mana keshampa bikra yake hivyo anatakiwa ampe heshima zaidi…
“mimi nikajua utakuja na jambo la maana, kumbe hilo tu….”
Aliongea adam tena kwa dharau sana
“ina mana mtumishi, hujanisamehe tu vile nilivyokupiga kibao… Nisamehe mume wangu”
“ati nini… Nikusamehe nani wako”
“ina mana huna mpango na mimi”
“sana tu”
Alijibu adam tena bila hata kuogopa
“kwanini lakini umenifanyia hivyo Adam, hivi heshima yako ipo wapi sasa”
“nilikwambia Catherine, sikupendi na nilikuonyesha na mchumba wangu wa miaka mingi… Lakini hukutaka kusikia… Mtu keshakwambia hakupendi we shida yako nini”
Adam leo aliamua kumwambia ukweli, kuwa katika kufanya nae, sio kuwa alimpenda… Catherine alikuwa akilia huku adam akiendelea kuongea
“na nitawaambia wazazi wangu kuwa wewe sio bikra”
“weeeeeeeeee naomba usifanye hivyo adam Please, nakupigia magoti baba mtumishi usije kunitangazia popote, nakupenda sana baba mtumishi… Tafadhali sana upokee moyo wangu”
“nilikuja kwenu siku ile, tena nilikuja na eva, nikakwambia kabisa… Nina mchumba, tena mbele ya mama yako, lakini bado unanifuatilia na kutaka kuvunja hata uchumba wetu.. Mbaya zaidi unakiuka mpaka sheria na taratibu za mchungaji ambaye hajaoa,.. Ulikuwa na maana gani kuingia chumbani kwangu,… Catherine, naomba usinifuatilie tena tafadhali sana”
Catherine alikasirika sana mpaka kuondoka hapo na kuingia kwenye gari yake,.. Alikuwa kakasirika sana hata gari aliiondoa kwa hasira,… Adam alimwangalia tu kwa macho jinsi anavyo potelea na gari yake
“hapa sawa sasa, mtu ukimwambia kwa mdomo haelewi… Hapo ataelewa sasa”
Aliongea adam huku nae akiwasha gari mana tayari mida ya jioni ya kurudi nyumbani na hata waumini pia vivyo hivyo,…

Sasa huku barabarani, Catherine akiwa ndani ya gari,.. Alikuwa akimwangalia sana eva kupitia kioo cha mbele, yaani jinsi anavyoendesha gari, eva yupo mbele anatembea kwa miguu, maskini ya mungu kumbe mawazo ya Catherine ni tofauti kabisa,….
“wewe ndio kipenzi cha adam si ndio??… Eti nilikwambia nina mchumba na mchumba ni eva…. Sasa tuone huyo eva atapona kwenye gari au laaa”
Aliongea Catherine huku akianza kuendesha gari yake kwa spidi tena anaelekea kule kule alipo eva,… Kweli Catherine kazamiria kweli,.. Yaani hapa ni akili yake aio kama vile vya mwanzo…. Masikini eva bila kujua kuwa nyuma yake kuna gari inakuja tena kwa makusudi ya kumuua yeye..
Spidi iliongezeka…. Na hatimaye kumfikia karibu ya eva,
“Uuuuuuwiiiiiiiiiii mamaaaaa”

Je? Nini kimetokea hapo, Je? Catherine kamgonga kweli eva… Na ni nani kasema Uuuuuuuuuwiiiiiiii mamaaaa?? USIKOSE

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Young Paster sehemu na kumi na tisa (19)
Young Paster sehemu na kumi na tisa (19)
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ta-kumi-na-tisa-19.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/young-paster-sehemu-ta-kumi-na-tisa-19.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content