$hide=mobile

VYAKULA VINAVYOWEZA KUMPA HESHIMA MWANAUME FARAGHA

Wanawake wengi walio kweye ndoa wanalalamikia uvivu wa waume zao wanapokutana faragha. Utasikia mwanamke akisema kuwa mumewe ni mchomvu hali...


VYAKULA VINAVYOWEZA KUMPA HESHIMA MWANAUME FARAGHA

Wanawake wengi walio kweye ndoa wanalalamikia uvivu wa waume zao wanapokutana faragha. Utasikia mwanamke akisema kuwa mumewe ni mchomvu hali inayomfanya wakati mwingine apate mawazo ya kumsaliti.

Hiki siyo kitu kizuri na nimekuwa nikisema mara kwa mara kwamba, wanandoa wana jukumu la kushibishana chakula cha usiku bila visingizio. Kama mke au mume ana tatizo ‘sirias’ linalomfanya asiwe fiti, ni vyema jitihada zikafanyika ili kulitatua na kila mmoja afurahie ndoa.

 Kutokana na hilo, nimejaribu kufanya utafiti na kugundua kuwa, wanaume wengi wanalalamikia suala la kukosa nguvu wawapo faragha. Ndiyo maana nimeamua kuzungumzia vyakula ambavyo wanaume wakila wanajiweka katika mazingira ya kuipata ile heshima wawapo faragha, vyakula hivyo ni hivi vifuatavyo;

 *1.Ndizi mbivu* 

Ndizi mbivu ni chanzo kizuri cha vitamin B, ambayo inahitajika mwilini kwa ajili ya kuongeza nguvu na kuondoa msongo wa mawazo. Mbali na kazi hiyo mwilini, pia ina uwezo mkubwa wa kukufanya ujisikie vizuri na kutengeneza hormone zenye nguvu zaidi.

 *Nyama ya ngombe* 
Nyama ina wingi wa L-Carnitine, ina amino acid ambayo ina uwezo wa kukubusti kwenye tendo la ndoa. Pia ina virutubisho vinavyosaidia kuongeza nguvu mwilini.

 *Boga au mbegu za koli* maua
Virutubisho vilivyopo kwenye mbegu za boga au kolimaua husaidia kushtua mwili na kuongeza afya zaidi ya homoni na kuzifanya kuwa na nguvu kwani mbegu hizo husaidia kubusti madini ya chuma.

Kama tujuavyo madini ya chuma huhitajika zaidi kwenye mbegu za kiume pia humfanya mtu kuwa na afya zaidi.

 *COCOA AU CHOCOLATE* 

Cocoa au chocolate ni nzuri kuweka kwenye mlo wako kwa maana ya kuulinda moyo ambapo wataalam wanasema kama moyo wako ni imara basi hata zoezi zima la faragha litaenda vizuri.

Cocoa ina uwezo wa kupunguza cholesterol pamoja na presha ya damu. Pia cocoa ina uwezo wa kuongeza matamanio kutokana na virutubisho vilivyomo.

Yaliyomo kwenye cocoa pia yamo kwenye chocolate nyeusi, hivyo ukikosa cocoa pendelea kunywa chocolate nyeusi.

 *Karanga mbichi, korosho* na *mrozi* 
Virutubisho vilivyomo kwenye karanga mbichi, mrozi na korosho vinasaidia sana kwani vina nitric aside ambapo inasaidia mwilini hasa katika kubusti homoni na kuupa mwili nguvu. Hizo ndiyo aina tano za vyakula ambavyo vinaweza kukupa heshima faragha hivyo ni vyema ukaanza kuvitumia Mara moja..

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : VYAKULA VINAVYOWEZA KUMPA HESHIMA MWANAUME FARAGHA
VYAKULA VINAVYOWEZA KUMPA HESHIMA MWANAUME FARAGHA
https://lh3.googleusercontent.com/-izEJUciYZ0k/XRZ3N1kIxhI/AAAAAAAACng/b-YBEJYNE7Q1gew6au42uR01CA0eSnROwCLcBGAs/s1600/IMG_1839.JPG
https://lh3.googleusercontent.com/-izEJUciYZ0k/XRZ3N1kIxhI/AAAAAAAACng/b-YBEJYNE7Q1gew6au42uR01CA0eSnROwCLcBGAs/s72-c/IMG_1839.JPG
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/vyakula-vinavyoweza-kumpa-heshima.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/vyakula-vinavyoweza-kumpa-heshima.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content