TUNZA NDOA YAKO MTOTO WA KIKE

🍂KWANZA UNATAKIWA KUJITAMBUA🍂

 
Hapo ndugu utaweza kuiendesha familia yako kama mwanamke wa ndoa ...nenda na wakati muda wa kupika pika chakula kiive ...tena kilike sio wewe muda wa kupika wewe unafua..  ...muda wa kucheza na mume wewe unalala khaaaa   unajitambua kweli hapo .muda wa kuandaa chakula wewe unachat jaman muache hizi tabia.

🍂USAFI PIA NI LIMBWATA 🍂

 
Mwanamke unatakiwa ujitume kuwa msafi hakuna mwanaume ambae anapenda uchafu japo baadhi yao ni wachafu..
    Mwanamke nyumba nzima imezagaa mavyombo lakini hadi uambiwe mama fulani toa bac hii glass chin ya kochi 
     . .chumba unacholala na mumeo kinanuka uvundo wa manguo  mabichi mlioogea yako chini unataka akutolee mumeo?.
       Usafi mihimu mtoto wa kike,kua  msafi upendeze.

🍂MWANAMKE UNAKUA MVIVU WA KUFIKIRIA🍂

     
Kuna wengine huwa hawana akili ya kujiongeza wanasubiri kuambiwa.....unakuta mume muda huo yupo series yeye analeta utani sas ndio kunakucha ...  hapo mume lazima achukie ....
   Mume anataka apikiwe pilau wewe unakwenda kumpikia mchuzi unajaza ndimu na chunvi,wewe hapo sasa si ndio unataka kuyaharibu mambo .....

🍂MWANAMKE UKIKOSEA JARIBU KUOMBA MSAMAHA🍂

   
Kuna wengine ndio kwanza anakua mkali na kumfokea mume wake ..sasa unategemea mwanaume wako ndio ajishushe.....
Akimpata mwanamke mpole mwenye kuomba msamaha wewe lazima utupwe chini kama dekio ...utabaki kulia na maumivu..tujitahid kuomba  msamaha iwe tumekosea au tumekosewa ....

Nakutakieni utekelezaji mwema

COMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,11,biashara mtandaoni,1,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,1,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : TUNZA NDOA YAKO MTOTO WA KIKE
TUNZA NDOA YAKO MTOTO WA KIKE
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2019/06/tunza-ndoa-yako-mtoto-wa-kike.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/tunza-ndoa-yako-mtoto-wa-kike.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy