NJIA ASILIA YA KUINUA MATITI YALIYOANGUKA NA KUPUNGUZA MATITI MAKUBWA NA KUJAZA YALIYOSINYAA

*🌺IFAHAMU NJIA ASILIA YA KUINUA MATITI YALIYOANGUKA NA KUPUNGUZA MATITI MAKUBWA NA KUJAZA YALIYOSINYAA🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺*

💞kiukweli matiti yaliyolala humkosesha mrembo raha sasa leo tutajifunza njia nyingine tena ya kuyainua matiti
💗mahitaji💗
👉🏽olive oil
👉🏽au coconut oil
👉🏽vitamin E oil
👉🏽ndizi mbivu
👉🏽yai la kienyeji
👉🏽juice ya kitunguu maji 1tbsp
💗njia💗
💞safisha maziwa yako vizuri
💞kisha chukua ute wa yai upige kwa kijiko ulainike
💞ongeza juice ya kitunguu maji
💞paka matiti yako acha ikauke *💗HATUA YA PILI💗*
💞kama matiti yako ni makubwa fanya njia hii ya pili kama sio makubwa iache
👉🏽tangawizi 1tsp
👉🏽limao1tsp
💞changanya mchanganyiko huo kisha paka matiti yako kwa dkk tano
💞iache ikauke usioshe twende hatua ya tatu
🌺🌺
💞kama titi lako limesinyaa
💞baada ya kumaliza hatua ya kwanza fanya hii
👉🏽chukua kiazi mviringo kikwangue na kikwaruzo
👉🏽pakaa matiti yako acha ikauke usioshe
Twende kwenye hatua ya tatu 
*💗NJIA YA TATU💗*
💞Hii ni kwaajili ya kuinua yaliyoanguka
🌺pondaponda au saga ndizi mbivu upate uji mzito
🌺ongeza vitamin E
🌺pakaa matiti yako
🌺vaa sidiria inayoweza kuyabeba vizur matiti yako
🌺baada ya saa moja osha
🌺pakaa mafuta ya nazi au olive oil uliochanganya na vitamin E
💞kumbuka usiache matiti yako yakiwa makavu yapakae mafuta hayo
💞fanya njia hii hadi utakaporidhika na muonekano wa matiti yako
🌺njia hii ni kwa afya yako haina madhara yeyote
🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺

Comments

Use [video]youtube-video-link[/video] to insert video in comment
Use [img]image-link[/img] to insert image in comment