NAMNA YA KUMSINGA NA KUMKANDA MUME | BongoLife

$hide=mobile

NAMNA YA KUMSINGA NA KUMKANDA MUME


NAMNA YA KUMSINGA NA KUMKANDA MUME


๐Ÿ’…Neno kusinga linamaanisha kusugua ili kuondoa uchafu.

๐Ÿ’…Ukiona mume ananawiri na ngozi yake ipo laini ujue ni matokeo ya kazi nzuri anayoifanya mkewe nyumbani. Haipendezi mtu mwenye mke kuwa na ngozi ilioparara na kujaa chunusi au nongo. Siku kama jumapili ambayo mume haendi kazini, chukua nafasi hiuo kumsinga. 

๐Ÿ’…Ni vizuri ukamsinga nusu saa baada ya kula chakula cha mchana ili mpate wakati wa kulala au kujamiiana kabla ya swala ya Asr. Hakikisha umejiachia katika mavazi; unaweza kubaki tu na nguo za ndani na kupachika kikuba kwenye nywele ili kuleta mvuto zaidi.

๐Ÿ’…Tumia moja kati ya vitu vifuatavyo kumsinga mume wako:⤵

1,Mchanganyiko wa unga wa karafuu na liwa

2,Unga wa manjano

3,Chicha za nazi

4,Body scrub zinazouzwa madukani

๐Ÿ’…Matayarisho:๐Ÿ’…

๐Ÿ’…Kwenye bakuli, changanya maji ya mawaridi na majo kati ya vitu vilivyotajwa hapo juu( aidha unga wa karafuu na liwa, unga wa manjano, chicha za nazi au body srub) mpaka iwe kama rojo zito.

๐Ÿ’… Fukiza leso/khanga gora moja. Moja atalalia mume wakati unamsinga, ya pili atalalia wakati unamkanda. Kumbuka kuchagua leso yenye ujumbe wa kimahaba

๐Ÿ’…Mafuta ya nazi, ya ufuta, ya mzaituni au massaging oil kwa ajili ya kumkanda baada ya singo

๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…Jinsi ya kumsinga na kumkanda mume:๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…

๐Ÿ’…Unaweza kumsinga kitandani, kwenye zulia au kwenye mkeka. Tandika shuka alafu juu yake tandika leso uliyoifukiza. Mume alale shughuli ianze.

๐Ÿ’…Mpake mchanganyiko uliyotaarisha mwili mzima kasoro sehemu ya siri na macho kwani unga wa karafuu unawasha.

๐Ÿ’… Msugue mwili mzima kuanzia usoni ukielekea miguuni hususan sehemu zinazokuwa na uchafu kama shingo, nyuma ya masikio, mgongo, makwapa, mbele ya viwiko, kiuno, makalio, mtoki, kinena(kama hutumii unga wa karafuu), katikati ya mapaja, nyuma ya magoti na nyayo mpaka uhisi uchafu na nongo zote zimeisha.

๐Ÿ’… Kisha mkaoge pamoja mana hapo wewe mwenyewe utakuwa unatokwa na jasho

๐Ÿ’…Baada ya kuoga, tandika leso ya pili kitandani kwa ajili ya kumkanda

๐Ÿ’… Unampaka aidha mafuta ya nazi,ya ufuta, ya mzaituni au massaging oil na kuanza kumkanda taratibu na kwa upendo huku ukimnong'oneza maneno ya mapenzi.

๐Ÿ’…Anza kumkanda kichwa, shingo ukielekea kwenye mabega, mikono, vidole, mgongo, makalio, mapaja, miguu bila kusahau uume wake.

๐Ÿ’…Akipitiwa na usingizi pumzikeni pamoja. Kama kumkanda kutaleta hisia basi mnaweza hata kufanya tendo la ndoa.

๐Ÿ’…Shughuli hii inasaidia kuondoa uchafu na kupunguza machofu mwilini, inaondoa usongo wa mawazo, huiwezesha mishipa ya damu kuwa katika hali nzuri na hivyo kurahisisha msukumo wa damu mwilini na pia huleta furaha baina ya wanandoa. Mkumbushe mume na yeye akusinge .

๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…๐Ÿ’…


NAMNA YA KUMSINGA NA KUMKANDA MUME

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : NAMNA YA KUMSINGA NA KUMKANDA MUME
NAMNA YA KUMSINGA NA KUMKANDA MUME
https://lh3.googleusercontent.com/-FFyFiWZzFho/XRaEzUsMP4I/AAAAAAAACoI/kvB2eBBHwv809Vz3a9TVUHImZl5ftHfQgCLcBGAs/s1600/IMG_1839.JPG
https://lh3.googleusercontent.com/-FFyFiWZzFho/XRaEzUsMP4I/AAAAAAAACoI/kvB2eBBHwv809Vz3a9TVUHImZl5ftHfQgCLcBGAs/s72-c/IMG_1839.JPG
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/namna-ya-kumsinga-na-kumkanda-mume.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/namna-ya-kumsinga-na-kumkanda-mume.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy