MWANACHUO SEHEMU YA TATU (03) | BongoLife

$hide=mobile

MWANACHUO SEHEMU YA TATU (03)

MWANACHUO SEHEMU YA TATU (03)


CHOMBEZO YA MAPENZI'

      'INAITWA'

  --MWANACHUO?.--

MTUNZI;Isaack Kanyankole
NO;0625915000
KUTOKA;DSM TZ
EPISODE;03

      ...ILIPOISHIA...

  Na hapohapo niliweza kukumbuka kauli ya Jordan hivyo na mimi nilijawa na wasiwasi huku nikigeuka na kutazama kwa nje na mara Sabrina alinishika mkono kwa nguvu na kunipeleka mahari fulani iliyokuwa na nguo nyingi na kunifunika huku akiweka kidole kinywani mwake akiashilia waziwazi nisipige kelele wala kufurukuta!?..

    ...ENDELEA...

Ilinibidi kutikisa kichwa kumaanisha alichokuwa amenambia nimeweza kukielewa na kweli baada ya kutikisa kichwa Sabrina aligeuka na kuinuka.

"We Sabrina unafanya nini hapo?". Ilikuwa sauti ya mwanamke akizungumza huku akisikika waziwazi akipiga hatua kusogea alipokuwa amesimama Sabrina.

"Nilikuwa napanga nguo".

"Sawa na ulikuwa unaongea na nani maana nilikuwa nasikia unaongea na mtu humu ndani".

  Kusikia kauli hiyo ya mwanamke nilijihisi kuhishiwa nguvu kwamaana kwajinsi nilivyokuwa nikimchungulia kwenye nguo nilipokuwa nimejificha niliona wazi mwanamke huyo alikuwa mshari kwa jinsi alivyokuwa anaonekana kwa mtazamo.

"Ni kweli nilikuwa naongea na mtu lakini nilikuwa naongea nae kwenye simu".

"Simu umeitoa wapi we Sabrina,,umeanza sasa uhuni".

"Hapana Mama simu sio yangu simu ni ya rafiki yangu Sakina".

"Hebu nipatie simu hiyo na pia unambie ulikuwa unaongea na nani?".

"Simu hii hapa". Sabrina aliongea akiwa anampatia simu mwanamke huyo.

"Sawa na pia ulikuwa unaongea na nani?".

"Nilikuwa naongea na Beatrice".

"Ok sawa nimeona ni kweli ila tafadhari kuwa na heshima na kazi zangu wewe kama utaki kazi nambie nimlete mwingine maana watu wapo wengi mtaani wanatafuta kazi".

"Hapana nahitaji kuendelea na kazi sitorudia kamwe kuchukua simu kwa rafiki yangu".

"Sawa,,hebu nambie nguo ambazo zinahitajika hapa ili nikalete mzigo".

"Nilikuwa nimeishaandika kwenye daftari labda nikupatia daftari".

"Hapana usinipatie daftari we nipatie karatasi tu".

"Sawa". Sabrina aliitikia na kisha alienda moja kwa moja na kuchana karatasi na kisha alimpatia huyo mwanamke na baada ya kumpatia karatasi hiyo huyo mwanamke aliondoka katika sehemu hiyo.

"We David njoo". Sabrina aliniita huku akiwa ananifunua nguo ambazo alikuwa amenifunikia. Na baada ya kuniondoa nguo Sabrina alinipatia asali ya hasili iliyonifanya wasiwasi na uoga kutoweka.

"Hapa hadi kesho hama keshokutwa kurudi".

"Dah!,,,naona asali yako leo hii inaendelea kujijenga kinywani".

"Mh!,,yaani na wewe uwa uishiwi na maneno kama waimbaji wa taarabu".

"Hapana,,,unajua sifa ya kwanza kwa mwanamke ni kumsifia kwani nikisema hivyo wewe unachukia hama?". Nilimuuliza nikiwa namtazama Sabrina usoni.

"Hapana sichukii najisikia furaha sana yaani nafarijika sana".

"Ok,,sawa nafikiri itakuwa siku nyingine kwamaana naona hapa apastahili mimu kuwepo heri kama mngekuwa mnauza nguo za kiume hapa mnauza nguo za kike hivyo si rahisi kusingizia chochote kile".

"Ni kweli ila unajua,,,nina,,nina!". Sabrina akuweza kumaliza neno ambalo alitaka kusema walau alinishika mkono kwa nguvu na kunitazama huku akiwa anatabasamu.

"Vipi simu kakupatia hama ameenda nayo?".

"Kanipatia hiyo hapo mezani".

"Ok nafikiri mengine  tutaongea kwenye simu".

"David,,mbona unawahi sana hebu sogea basi hapa niliposimama".

"Nawai na pia yule mwanamke anaweza kurudi bwana hebu ngoja niondoke". Safari hii nilizungumza nikiwa  naanza kupiga hatua,,,lakini kabla sijafika mbali Sabrina alinishika mkono huku macho yake akiwa ameyalegeza kwa huba.

"David,,mbona utaka kuondoka mapema jamani na pia sina namba yako hebu niwekee kwenye simu".

"Hapana sio nawai naenda kupika hebu nipatie simu niweke namba kwa haraka".

"Hii hapa". Sabrina alizungumza akiwa ananipatia simu yake..niliweka namba yangu na baada ya kumaliza kuweka namba angu nilibaki nimeshikilia simu yake huku nikiwa namtazama usoni.

"Kipindi cha nyuma haukuwa na simu vipi hii simu umeitoa wapi?".

"Si nafanya kazi kwani kipindi cha mwezi mmoja uliopita si uliniacha nikiwa sina kazi ila David wewe mbahili sana".

"Hapana sio ubahili sema sina hela mpenzi,,ila nilikuwa niko kwenye mpango wa kukununulia simu".

"Haya bwana harafu nataka unifungulie whastup,facebook na pia instagramu na pia nasikia application ya David BSP kuna simulizi za Isaack Kanyankole nataka niwe nasoma maana napenda simulizi".

"Ohooo,,,hata mimi ninayo application hiyo kwamaana uwa nasoma simulizi mbalimbali kutoka kwa mwandishi huyo Kanyankole kuna simulizi ya kumbe albino mtamu ni simulizi ambayo ilinitoa machozi hama kwa hakika mwandishi huyu akiamua kuandika anaandika kwelikweli na vipi kwenye simu yako kuna bando hama?".

"Bando limo la mwezi nimejiunga muda si mrefu ila nimeshindwa kujiunga".

"Ok poa". Niliitikia na kuanza kujiunga kwenye whastup,facebook na instagramu na baada ya kumaliza kufanya hivyo ilinibidi nidowload application ya David BSP na kisha nilimuelekeza jinsi ya kufanya.

"Kwahiyo ukilipia kwa mwezi unakuwa unaingia unasoma simulizi na pia na ndondoo za afya kwenye application ehe?".

"Ndio". Niliitikia huku nikishtuka baada ya kusikia kitu fulani kikiwa kinanitembelea kwa taratiibu kwenye suruali langu.

   Macho yangu yalinitoka kana kwamba mjusi umebanwa na mlango baada ya mkono wa Sabrina kushika mtarimbo na kuanza kuupapasa na safari hii mtarimbo wangu ulianza kupiga indikeita za hapa na pale kwenye suruali!?...

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MWANACHUO SEHEMU YA TATU (03)
MWANACHUO SEHEMU YA TATU (03)
https://1.bp.blogspot.com/-MaXus7taxCM/XRUR0tonoAI/AAAAAAAACnA/AweRxn1L4yYvZ8BsqGHfG4u8RT_8dbnLACPcBGAYYCw/s400/MWANACHUO.png
https://1.bp.blogspot.com/-MaXus7taxCM/XRUR0tonoAI/AAAAAAAACnA/AweRxn1L4yYvZ8BsqGHfG4u8RT_8dbnLACPcBGAYYCw/s72-c/MWANACHUO.png
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/mwanachuo-sehemu-ya-tatu-03.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/mwanachuo-sehemu-ya-tatu-03.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy