KANYAGO SEHEMU YA SABA (07)

SIMULIZI: KANYAGO
MWANDISHI: DANNY BENSON
MAWASILIANO: +255656887460

SEHEMU YA 07

ILIPOISHIA..
Helena alikuwa akihangaika stendi huku akiwa yu na ujazito ambapo shule amefukuzwa, mama naye hakutaka kumuona nyumbani kwake huku fadhili baba wa ujauzito huwo akikana kabisa kumjua. Je unadhani nini kiliendelea tuangane hapa kukisoma kisa hiki.

____
SASA ENDELEA
____

Kwa haraka helena ungedhani makuzi yake yote yamepitia katika uchokoraa kwa namna alivyochafuka na hata alivyokonda ijapo zilikuwa ni siku chache tangu aingie mtaani kutafuta, aliomba katika gari lilipita na hata lililosima hak usita kuwashika mkono watembea kwa miguu ila wampe chochote kitu ijapo tu akaweze kuutia mkono wake kinywa kabla ya jua kuzama.

Mungu akitaka kukupa hakika hakuandiki barua bali utaziona baraka zake katika maisha yako, Muda ulikuwa umekwenda sana jua ndio kwanza lilikuwa likielekea kuzama ambapo ufinyu wa magari ulikuwa ndio unazidi kuchukua nafasi ambapo helena naye aliamini kuwa siku hii hakuwa ameambulia chochote zaidi kuamiani kuwa siku hiyo ilimpasa kulala njaa.

Alikuwa akizipiga hatua zake taratibu kurejea katika mtaro huku akiwa amelibana boksi lake kwapani na mawazo yake yakiwa mbali sana na pal e alipokuwapo akitembea zaidi ilikuwa ni kule aendako na alikuwa hakutambui, dimbwi alilozama ndio lilikuwa limeyaziba macho yake kwa taswira kedekede za picha na ikamfanya kutoona mbele. "Pipiih piiipphiiii..." Mlio mkali wa honi ndio ulimng'amsha helena mawazoni na kumfanya atazame mbele kwa mshituko mk kikashusha na kijana mtanashati akatoa kichwa chake nje na kumtazama kwa sekunde kadhaa.

"habari binti unatatizo gani mpaka kuingia barabarani?"

"nisa meheme kaka yangu"

alijibu Helena akiwa anatetemeka sana kwa kushangazwa Namna gari lilivyokuwa karibu naye na kwa kuwa mawazo yalimpeleka mbali basi hakuliona kabisa.

"Njoo kwanza"

"samahani kaka yangu nisamehe tafadhari mbona nimekuomba msamaha inamaana hujataka kunielewa"

"simaanishi hivyo nataka zungumza nawe tu"

helena alisogea ijapo wogo haukukoma rohoni mwake na mwili haukuacha kutetema kila hatua aliyokuwa akipiga, alisogea karibu kabisa na Kumsikiliza kabla hajapewa ishara ya kuashiria kuzunguka mlango wa pili, ijapokuwa alikuwa na uwoga lakini alizunguka ili aweze kumsikiliza bwana yule a liyekuwa amevalia suti nadhifu sana.

"nadhani una matatizo makubwa naweza kusaidia?"

"ndio kaka yangu nitashukuru sana kwa msaada wako na hakika mungu atakubariki maana matatizo niliyonayo sio madogo ila hapa nanjaa"

"bwana yule alimuagizia chipsi nyama kisha akaifunga katika rambo na safari ikaanza wai ya dakika ukwepe adhabu ya mikono yangu hakika nita deal na wewe"

hapo aling'atuka toka mawazoni ambapo alimtazama nesi yule aliyekuwa akishughulikia ri kwenda kuishi nami mkoani huko kwakuwa siko na mtu wa kunisaidia kazi ila tu kwa makabaliano"

"mmmh makubaliano yapi tena?"

alijibu helena huku akiwa aanasitisha kipande cha nyama alichokuwa akikipakia kwa pupa mdomoni baada ya njaa kumzidi hata alisahau kushukuru wakati akikaribishwa.

"ni hivi huko tuendako sina mke najua una matatizo  ila sitaki kutumia matatizo yakm kukunyanyasa bali tukubaliane kama inawezekana, naona una mimba niko tayari kuilea kama baba ila tu uitunze siri hii kuwa mimi sio baba wa hii mimba na nitaishi nawe kama mke wangu tu"

Kwa haraka jambo hili lilimshangaza helena juu ya wema huu hakutambua ajibu nini kwakuwa akili ilisimama na kufanya abaki na bumbuwazi

"usiogope waweza nitambulisha jina lako kama si vibaya"

"naitwa helena"

"okey helena worry out mimi si mtu mbaya nitakusaidia kwa kila kitu bila hata kukulipisha bali malipo yangu ni hiyo tu kama hutaki tu basi"

"ok sawa"

helena na jamec walisafiri kwa siku tatu tu wakawa mkoani iringa na hapo wakanyoosha moja kwa moja mjini wakanunua nguo na baadhi ya vitu vingi ambavyo vingewafaa nyumbani kwa muda na kumpeleka saloon, wakamaliza kujiandaa na mwisho wakarudi nyumbani ambapo helena na jamec waliishi kwa kuheshimiana. Kwakuwa jamec alikuwa ameshawahi kupata ajari ambayo ilimfanya kutolewa kizazi chake hivyo asingeweza kuzalisha na siri hii ilikuwa ikijulikana na mam a yake pekee.

Siku zilipita na hatimaye helena alijifungua watoto mapacha wakike na wakiume ambao aliwapa lozaria na lazaro, jamec aliwalea watoto hawa iwa anatoka hospitaki alichujqimu yake na kupiga katika namba ya ireen ambayo iliita bila kupokelewa, hapo akautuma ujumbe mfupi

"nisame kwa makosa yangu ila kusudio langu lilikuwa ni kukuaga tu ya kwamba naelekea nyumbani na nilitamani ijapo kuona sura yako na kusikia neno lako la mwisho kwakuwa natambuni walikuwa wake.

muda ulizidi kusonga ndipo jamec akaipata ajari ya gari na kupelekwa hospitali ambapo alikutana na mr. kimera ambaye ndiye alikuwa dak tari wa familia ya jamec na helena kwa kipindi chote, muda ulikwenda akiwa anaendelea kuaminiwa sana kwa kila jambo alikuwa akishirikishwa kama mwanafami kuna gari lilikuja na kupaki karibu yao na akashuka mwaume mmoja ambaye alimnyakua lozaria, ambaye alikuwa msichana kisha wakampakia katika gari na kutokomea naye kusikojulikana wakimuacha lazaro akilia sana.

Jambo hili liliwaumiza sana jamec na helena ijapokuwa walihangaika kutafuta huku na kule na juhudi zao ziligonga mwamba maisha yakabaki kuwa hivo wakiamini kupotelewa kabisa na mtoto wao, alilia sana iree lakini haikuwa imesaidia chochote na miaka ikazidi kukatika na hatimaye muda usaliti uliojazwa na tamaa isiyo kifani ikamuingia kimera ambaye alianza kutamani mafanikio yasiyo ya jamec na helena. Amini msomaji nguvu za giza zipo duniani hata kama haujakutwa nazo na jambo hili lilithibitishwa na kimera kwa kuuzoa mchanga wa kanyago la jamec na kulipereka kwa mtabibu wa kienyeji ambaye alifanya kile alichodhani kuwa ni sahihi na hatimaye jamec akaanza kuumwa magonjwa ya ajabu ajabu ambayo hospital ilishindikana kabisa kutibika, kutokana na imani ya kuwa hakuna nguvu za giza maishani mwao hatimaye jamec akapoteza maisha.

Helena aliteseka sana, mawazo yasiyokwisha ikamfanya kuzidi kuzorota kiafya na hii ikampa nguvu mbaya wao mr. Kimera kuingia kiurahisi katika familia ile kwa kujikusanyia baadhi ya nyaraka za muhimu na kujilimbikizia. Jambo lililofanya helena kulifungua jalada mahakamani ambapo tarehe ya kesi ikatajwa kuanza kusikilizwa kwa shauri lao..
ITAENDELEA

jamec hatunaye tena, sababu ya binadamu wabaya wenye chuki binafsi si hivyo helena, yu matatizoni na mr. kimera ambaye aliaminiwa sana

COMMENTS

BLOGGER
Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,166,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,210,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,125,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,165,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : KANYAGO SEHEMU YA SABA (07)
KANYAGO SEHEMU YA SABA (07)
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/kanyago-sehemu-ya-saba-07.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/kanyago-sehemu-ya-saba-07.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content