KANYAGO SEHEMU YA KWANZA (01).

SIMULIZI:  KANYAGO
MWANDISHI: Dany benson
MAWASILIANO: 0656887460/ 0754051880 &0678520500

SEHEMU YA 01

Utulivu ndio ulifanya ndege waimbe kwa furaha wakishangilia kuwa huru katika makazi yao kwa vinumbi na nyimbo zilizofanana na kutoa aina nzuri ya mziki ulio wafurahisha ndizo zilichagiza ndege wengine kuitikia muigo ule

Hakuna aliyetambua tafsiri ila viumbe wale wadogo kwa muonekano ila ndio waliotambua wanachofanya

Si kwao tu hata jogoo ambao waliizunguka nyumba ya mzee kimera waliachia sauti ya kuita tetea  ambao walikuwa mbali nao ili kukaribisha kwa kile kidogo walicho kipaa kutoka chini

"Pumbavu sana wewe!!! Ivi sinilikwambia kama kamlilie mamaako kule kaburini kama unataka kula ila si hapa nyumbani kwangu"

"Ila mjomba mimi siye mpangaji....na sioni kosa"

"Mjomba ako nani nilikukanya mara kadhaa kuniita hivyo husikii nadhani unataka nikufundishe kidogo  maisha sivyo?"

Ama kweli hujafa hujaumbika kitendo kile kilimfanya kijana lazaro alikuwa ameutifua mzinga wa nyuki kwa jiwe dogo ambalo kilimega pande la sega la asali na kufanya nyuki wamtafute mharibifu wao kwa ghadhabu kubwa

"Naamini mungu atanifanyia wepesi katika hili maana hakuniumba kwa bahati mbaya na namini huu sio ugonjwa wake bali mwanadamu"

"Wewe ndio unajifanya unamjua sana mungu kuliko viumbe wote sivyo"

"Lakini mjomba mbona unanifanyia hivi na ikiwa hizi mali zikupazo jeuri ni za wazazi wangu au kuna...."

Teke zito lililotua katika kifua ndio lilimfanya ayakatishe maneno yake na ukelele mzito kuchukua nafasi katika kinywa chake

"Aaaaaaahhgrrrr...mama weee..nakufaaa...unaniua mjomba..."

Kutokana na upofu wake ulifanya asione chochote zaidi ya kuambulia kipigo kile ambacho hakustairi kabisa

"Kufa kwani wazazi wako wako wapi...na wewe umebaki katika dunia hii ili ufanyeje..na nasema hili ni funzo tu na kama hutaziba hilo ndoo lako ni nitaitafuna nyama yako mbichi"

Mguguno maumivu ulitawala na kufanya ashindwe kuhema sawaia zaidi ya kuhema juu juu kuonesha wazi alikuwa amelemewa na kipigo kile

Mjomba alimuacha kwa ngumi iliyotua katika tumbo na kumtupa chini kama mzigo na kuangukia meza ya kioo iliyokuwa sebuleni pale

"Haaa yaani umeivunja hiyo meza unajua thamani yake...!!?"

Alifoka mjomba mpaka cheche za mate zikakosa kizuizi na kutua katika ardhi iliyo yapokea vyema
Na zaidi hakulisubiri jibu alimsogelea na kulikunja shati katika koo la kijana yule mpofu aliachia makofi matatu mfululizo katika shavu la lazaro kisha ngumi iliyotua katika upawa wa pua

"Mamaaa.......weeeee...aagrrrrrrhhhh pua yangu mimi"

Teke lilitua katika tumbo lake kwa mara ya pili ndilo lilimfanya apoteze fahamu kabisa na kutulia pale sakafuni akiwa amekunyata tumbo lake

Mjomba hakumjali aliingia chumbani akiwa na damu damu katika mavazi yake hivyo alipitiliza bafuni na kuoga kisha akavalia track suti nyeusi na kuzianza hatua zilizomfikisha katika mlango wa kutokea nje na kuangaza macho pande zote alizohisi ni za wazi kisha akarejea ndani haraka

Alienda katika meza ya televisheni ambayo ilikuwa kushoto sebuleni pale na kuchukua funguo ya gari lake 

Alipiga hatua kadhaa kushoto kulia mithiri ya mtu aliyekuwa akiwaza jambo la msingi sana kisha akaingia chumbani kwake haraka na kuanza kukitafuta kitu fulani ambacho alikihitaji baada ya kufikiria kwa muda

Itaendelea


Haya sasa lazaro anaambulia kipigo kizito anaekana kuwa mjomba wake je! Atafanikiwa kutoka salama na akiwa amepoteza fahamu pale ardhini

Majibu na kujua kisa hiki fuatana nami mpaka mwisho au fanya malipo ukisome chote

COMMENTS

BLOGGER
Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,166,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,210,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,125,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,165,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : KANYAGO SEHEMU YA KWANZA (01).
KANYAGO SEHEMU YA KWANZA (01).
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/kanyago-sehemu-ya-kwanza-01.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/kanyago-sehemu-ya-kwanza-01.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content