JINSI YA KUPIKA HALF CAKE


JINSI YA KUPIKA HALF CAKE


🍟mahitaji;-
unga wa ngano kg 1
siagi robo
sukari vjk 10
chumvi robo kjk
yai 1
baking soda kjk 1
baking powder kjk 1
maziwa kikombe 1

🍟changanya unga na vitu vyote isipokua maziwa na yai.. hlf pembeni changanya maziwa na yai koroga vizuri.

🍟then changanya ule unga na hayo maziwa usikande just changanya vizuri unaweza kuongeza na maji kdg. kanda kdg

🍟baada ya hapo unaucha lisaa li 1

🍟then kata madonge mawili sukuma liwe nene.
kata kama maandazi usikate madogo yawe kiasi yapange mahali.

🍟zichome hlf zikiwa goldenbrown zitoe.
weka kwenye chujio zitoe mafuta.
hakikisha moto usiwe mkali
DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni
close