HII ORODHA YA WAPENZI NI PASUA KICHWA

 

1. VIPWENTE - Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Anaweza Akakumiss Hadi Anahisi Network Zinakatika...Lakini Hakutafuti Ng'ooo Iwe Ni Kwa Message Au Laivulaivu, Kwasababu Hataki Kuonekana Wakwanza Kukutafuta.

2. VIMBUNDU - Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Hakuonyeshi Kama Yuko Deep Kwako Hata Kiduchu, Lakini Olewako Akuone Unaongea Na Kidemu/ Kiblazameni Kingine, "Kazi Mbona Unayo"....Hawa Huaga Wanapenda Ndani Kwandani Kama Meli Za Kivita.

3. VISHOKOMZOBE - Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Ukihesabu Muda Ambao Mmeanza Kuvunja Amri Ya Sita Yaani Tangu 2014 Mwezi Wakwanza Hadi Lao, Hajawahi Kukupa Hata Kijizawadi Japo Hata Pafyumu Ya Kurusumu.

4. VINJUNJIO - Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Anakuonyesha Tabasamu Pale Tu Anapokabwa Na Ukame, Mkishapandiliana Ukame Ukimuisha Hana Taimu.

5. ATOMBILE - Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Anamichepuko Kama 6 Ivi...Lakini Ole Askie Kunamtu Anakunyemelea Wewe, Hio Vitayake Bora World War. Hawa Nao Wanapendaga Ndani Kwandani.

6. VISHUMUNDU - Hawa Ninoma, Ni Aina Ya Wapenzi Ambao We Uwe Na Michepuko, Umpige, Umfungie Nje, Umfokee Kila Mda, Ukatae Kumtambulisha...Yeye Ndo Kwanza Anazidisha Malavidavi...Fanya Ufanyao, Hakuachi Ng'ooo! (Ukikutana Na Wahivi Oa/ Olewa Fasta...Au Hadi Mungu Akwambie Laivu Kwamba Ye Ndo Kakuletea?)
.
7. MANDONYA - Hawa Ni Aina Ya Wapenzi _Ambao Yeye Kukuvalisha Pete Sio Kazi Kwake, Tabu Kuoa! Atakuvisha Chuma Lake Utakaa Nalo 3Years, Mwisho Wasiku Unaskia Kamuoa Ntombi Mwakipesile Wa Mtoni Kijichi.

8. VIBINUZI - Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Ukiwanae Muda Wote Anachati, Ukimuuliza Unachati Nanani? Kinawaka.

9. KIBUMBUSWA - Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Yeye Hipiti Siku Hamjagombana. Yani Mnaweza Kwenda Kulala, Ukaweka Pozi La Kulala Kiubavuubavu...Utashangaa Anakwambia, "Yaani Mimi Sipendagi Ukilala Hivo Kwasababu Naota Ndoto Mbayambaya"...Basi Tu Mradi Mgombane.

10. VITUSU AMAZING - Hawa Ni Aina Ya Wapenzi Ambao Mapenzi Yao Yamepitiliza Yaani Nizaidi Ya Mapenzi Ya Mchepuko...Yeye Hata Ukijamba Utaskia, "Pole Baby, Haujaumia?"
Kwani We Wako Aina Gani?

COMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,11,biashara mtandaoni,1,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,1,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : HII ORODHA YA WAPENZI NI PASUA KICHWA
HII ORODHA YA WAPENZI NI PASUA KICHWA
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2019/06/hii-orodha-ya-wapenzi-ni-pasua-kichwa.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/hii-orodha-ya-wapenzi-ni-pasua-kichwa.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy