FAIDA ZA MORNING SEX

UNAKOSA FAIDA HIZI KAMA HUFANYI MAPENZI ASUBUHI( MORNING SEX)..


Mtaalamu Emmanuel jiguwi

0688426300(WhatsApp/call)


Mke uliyenaye ni wako maana hata siku ya kulipia mahali sikuwepo ndio maana nasita sana kukumbia kuwa mdaa sahihi wa kufanya naye sex ila unamaamzi ya kuchagua katika ushauri wangu trust me !


FAIDA ZA KUSHIRIKI SEX ASUBHI 

Tunaposikia alarm za kwenye simu zetu asubhi huwa tunatamani hata uendele kulala kidogo angalau dakika mbili zingine maana tunakwenda kwenye dunia ya mahangaiko na shughuli mbalimbali za kimaisha ikiwemo kujitafutia liziki na fujo za hapa na pale ili tu mkono uwende kinywani.


Lakini wenda ukafurahi kuwa sex nzuri inafaha kufanyika asubhi kuliko hata usiku katika faida nyingi nitakupa zile mhimu zaidi ili uzifahamu kuanzia sasa.


πŸ₯’1.SHAHAWA ZA MWANAUME KUJAA ZAIDI ASUBHI

Utakubariana na Mimi mida ya asubhi hasa mwanaume utaona mweshimiwa amesimama kweli kweli akiuliza wapi mji hivyo hii ni njia moja wapo ya kukufanya uwe na mood ya kushiriki tendo la ndoa kwa mdaa mrefu zaidi katika kushiriki sex na hivyo kukufanya 

🍌-kuwa na furaha zaidi siku nzima

🍌-kuchangamka kazini siku nzima

🍌-akili kuchangamka .

🍌-akili kufanya ubunifu zaidi.

🍌-kupunguza mawazo .

🍌-kupunguza msongo mwilini.

🍌-kupata mtoto mweupe na mzuri.

🍌-kupokea ujauzito kwa bei nafuu .

🍌-kuimalisha kinga yani CD4 zako kuwa konki ×3 master.

🍌-kupunguza ganzi mwilini.

🍌-kuboresha misuri ya damu.

🍌-kupunguza na kuimalisha mapigo ya moyo kwenda vyema.

🍌-kumalisha mapafu zaidi kupokea hewa na upumuaji.

🍌-kusaidia pressure ya chini kwenda juu.


πŸ₯’2.MPIGO MMOJA SAWA NA KUFANYA GM YA MAZOEZI ASUBHI

Unaposhiriki sex asubhi kitafiti ni sawa na kukimbia kiwanja cha mpira viwili na hivyo kuchochea mwili wako 

🍌-Kupunguza mafuta mwilini.

🍌-Kupunguza unene mwilini.

🍌-kupunguza na kukuepusha na kisukari.

🍌-kuimalisha joint za miguu.

🍌-kuepusha tezi dume/busha.

🍌-kuepusha na hasira.


πŸ₯’3.KUIMALISHA UPENDO KATIKA MAHUSIANO.

Haswa asubhi mnapokwenda kuoga bafuni hakikisha umwachi mwenza wako kitandani amka naye nenda naye hadi bafuni oga naye pamoja mwache akusugue mgongo na baada ya hapo rudini ndani naam sex inapoendelea zipo faida zitakazo jitokeza kwa wingi sana ikiwemo :-

-kuimalisha mawasiliano yenu ya ndoa.

🍌-kuimalisha mawasiliano yenu ya mahaba tele.

🍌-kuimalisha usikuvu wenu wawili.

🍌-kuimalisha upendo baina.

🍌-kuimalisha heshima ya ndoa.

🍌-kuepusha na kupunguza michepuko hasa kwa mwanaume.

🍌-kumfanya mwanaume akusikilize zaidi.

🍌-kumfanya mwanaume kuwa mtulivu na mwelewa.COMMENTS

BLOGGER
Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,166,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,210,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,125,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,165,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : FAIDA ZA MORNING SEX
FAIDA ZA MORNING SEX
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/faida-za-morning-sex.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/faida-za-morning-sex.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content