EPUKA MAKOSA 10 UNAPOZUNGUMZA NA MWENZA WAKO🖊 | BongoLife

EPUKA MAKOSA 10 UNAPOZUNGUMZA NA MWENZA WAKO🖊

1⃣. KUTOMSIKILIZA


✍🏼Kutomsikiliza mwenza wako anapoongea nawe ni kosa kubwa unalotakiwa kuliepuka mnapokuwa kwenye maongezi. Hufai kusikilizwa kama wewe pia hutaki kuwasikiliza wengine.

 2⃣. KUMKATA KAULI


✍🏼Mwenzako anapoongea nawe usimkate kauli, subiri amalize maelezo yake kisha nawe uzungumze. Kumkata kauli huyafanya maongezi yenu kutozaa matunda mazuri yanayotarajiwa.

3⃣. KUONGEA SANA


✍🏼Kama nilivyosema hapo juu kwamba ni jambo baya kumkata kauli mwenza wako, vivyo hivyo ni vibaya kuyatawala mazungumzo yenu au kuongea kwa muda mrefu bila kumpa nafasi mwenzako. Unatakiwa kuongea kiasi kisha mpe fursa mwenzako ya kuongea.

4⃣. KUSAHAU JINA LAKE


✍🏼Kusahau jina la mwenzako sio jambo zuri na pia inatia aibu. Jitahidi sana usisahau jina la mwenza wako wakati wa maongezi yenu.

5⃣. MWITIKIO ULIOPITILIZA


✍🏼Kuwa na mwitikio (over reaction) uliopitiliza wakati wa maongezi inaweza kutokea kwa kucheka sana, kukasirika kwa sababu umechokozwa au ukatawaliwa mihemko na hisia kali.   Jitahidi kuziweka hisia zako kwenye kiwango maalum.

6⃣. KUJARIBU KUWA SAHIHI MUDA WOTE


✍🏼Kujaribu kuwa sahihi muda wote ni kosa lingine baya wakati wa maongezi. Usiyachukulie maongezi kuwa kama vita; kujaribu kuwa sahihi na kutaka upate ushindi muda wote huyafanya maongezi yenu yaonekane kuwa ni vita.

7⃣. KUTOCHANGIA SANA


✍🏼Unapokuwa na maongezi na mtu halafu ukawa huchangii chochote inampa ujumbe kwamba hupendi kuongea naye au hujakipenda kinachoongelewa.

9⃣. KUJARIBU KULAZIMISHA UTANI


✍🏼Sio watu wote wanaopenda masihara na mzaha. Kujaribu kulazimisha mzaha inaweza kukuweka katika mazingira mabaya, hasa kama mzaha wenyewe unagusa maumbile yake au kukosoa namna alivyoumbwa

8⃣. LUGHA MBOVU YA MWILI


✍🏼Lugha yako ya mwili pia ni muhimu wakati wa mazungumzo; lugha mbovu ya mwili inaweza kumfanya awe na mtazamo mbaya kwako. Mwitikio wa uso wako, mnyumbuliko na ishara ya mwili wako  vinaweza kuwa na taathira mbaya usipokuwa makini.

🔟. MAZUNGUMZO DHIDI YA WAZAZI


✍🏼Ni muhimu sana kuliepuka hilo, hasa kama maongezi husika yanalenga kuwakosoa wazazi wa mke au mume. Hisia mbaya dhidi ya wazazi ni msitari mwekundu.


COMMENTS

BLOGGER

BIASHARA MTANDAONI $type=blogging$cate=2$count=4

Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,134,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,150,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,104,FIFA.com - Latest News,7,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,158,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : EPUKA MAKOSA 10 UNAPOZUNGUMZA NA MWENZA WAKO🖊
EPUKA MAKOSA 10 UNAPOZUNGUMZA NA MWENZA WAKO🖊
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/epuka-makosa-10-unapozungumza-na-mwenza.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/epuka-makosa-10-unapozungumza-na-mwenza.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy