Bacterial Vaginosis ni Nini? (BV) | BongoLife

$hide=mobile

Bacterial Vaginosis ni Nini? (BV)


Bacterial Vaginosis ni Nini? (BV)


Bakteria rafiki na wabaya wote huishi ndani ya uke. Inapotokea uwiano dhalili wa ukeni unabadilika, unaweza kupata ugonjwa huu wa bacterial vaginosis (BV kwa kifupi) au wakati mwingine huitwa vaginal bacteriosis. Ni ugonjwa unaowasumbua wanawake walio katika umri wa kuzaa, miaka 15 hadi 44 ingawa mwanamke wa umri wo wote huweza kuupata. Chanzo halisi bado hakijajulikana, lakini kushiriki ngono mara nyingi bila kinga na kujiosha ukeni kwa maji kumedhihirika kuwa kunaongeza uwezekano wa kupata ugonjwa huu. BV kwa kawaida haileti madhara mengine ya kiafya. Lakini huweza kuchangia kupatwa na matatizo mengine hasa pale unapokuwa mjamzito au unatarajia kupata mimba.

Chanzo Cha Bacterial Vaginosis

Bakteria aitwaye lactobacillus hufanya kazi ya kuuweka uke kwenye hali ya utindikali ili bakteria wabaya wasizaliane. Endapo idadi ya lactobacillus itapungua, bakteria wabaya huongezeka na utapata BV.

Mwanamke ye yote anaweza kupata BV, lakini yafutayo yanaongeza yamkini ya maambukizi haya:

. Kuvuta sigara
. Kushiriki ngono na mpenzi mpya au wapenzi wengi
. Kujiosha ukeni kwa maji au vimininika vingine (douching)
. Matumizi ya antibiotics ya siku za karibuni

Ungefikiria kuwa kujiosha mara kwa mara ukeni kungekusaidia kuzuia BV, lakini kujiosha huko kunaharibu uwiano wa asili wa bakteria wa ukeni. Sabuni za manukato na perfume za ukeni nazo zinachangia katika kuharibu uwiano huo wa bakteria.

Kuwa na mpenzi mpya au kuwa na wapenzi wengi kunaongeza uwezekano wa kupata BV. Sababu hazijawa bayana. Unaweza kupata BV kwa kushiriki ngono ya mdomo au ya kinyume na maumbile.

Si kweli kuwa unaweza kupata BV au magonjwa mengine ya ukeni kutoka kwenye mabwawa ya kuogelea au vyoo.

Dalili Za Bacterial Vaginosis

Zaidi ya nusu ya wanawake wenye BV hawaonyeshi dalili zo zote. Pale zinapoonekana huwa pamoja na:

. Uchafu mwembamba mweupe, wa kijivu au kijani hasa baada ya tendo la ndoa
. Kuwaka moto wakati wa haja ndogo
. Harufu ya samaki inayozidi baada ya kujamiiana
. Mara chache kuwa na miwasho sehemu ya nje ya uke


COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Bacterial Vaginosis ni Nini? (BV)
Bacterial Vaginosis ni Nini? (BV)
https://lh3.googleusercontent.com/-OJXEwJjHV6w/XRZ301WhAnI/AAAAAAAACno/3ydDBuiJD6sJiL2-i88N5Q2Rk_e3oWOUwCLcBGAs/s1600/IMG_1839.JPG
https://lh3.googleusercontent.com/-OJXEwJjHV6w/XRZ301WhAnI/AAAAAAAACno/3ydDBuiJD6sJiL2-i88N5Q2Rk_e3oWOUwCLcBGAs/s72-c/IMG_1839.JPG
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/06/bacterial-vaginosis-ni-nini-bv.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/06/bacterial-vaginosis-ni-nini-bv.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy