MAPENZI YA KICHAWI SEHEMU YA 04 | BongoLife

$hide=mobile

MAPENZI YA KICHAWI SEHEMU YA 04

SIMULIZI;MAPENZI YA KICHAWI.
MTUNZI;RAJA SAIDY.
WHATSAPP;0756920739.
SMS;0621047841.

SEHEMU YA NNE ( 4 )

ILIPOISHIA.............

Nilivyohakikisha sufuria imejaa damu huku mama akiwa ameshakata roho,nilichukua sufuria ile kisha nikaanza kunywa damu ya Mama kwa kufuata mashart ya mzee yule.
Nikiwa naendelea na zoezi lile la kikatili huku Mama akiwa ameshapoteza maisha kwani shingo yake tayari ilikuwa imeshaanza kunin'ginia,nilishtuka kwa kuona mwanga mkali nilioshindwa kuutambua ni wa nini ukiambatana na kishindo kikali kilichozidi kusogea mahali nilipo.ghafla kitu kizito kilitua kisogoni mwangu na kujikuta napoteza fahamu.
Itaendelea........

ENDELEA NAYO.......
Nilishtuka nikiwa katika sehemu nisiyoijua kabisa kwani mazingira ya mle ndani yalinipa hofu kubwa, nilianza kufadhaika zaidi kwa kuanza kupepesa macho kila eneo la mle dani ili nipate kufahamu mahali pale panahusiana na nini na nini kilichofanya nifike mle ndani.
Nilijiuliza maswali lukuki yaliyokosa majibu hapo ndipo nilipokuwa makini kwa kuanza kuwaza juu zaidi ya maisha yangu na kuanza kutafuta mwangaza utakaonifanya mimi kujua pa kuanzia mpaka pa kuishia kwani eneo la mle ndani kwa asilimia kubwa lilikuwa nimetawaliwa na kiza totoro.
"Nani kanileta huku jamani,mbona sielewi kinachoendelea..!!!!" 
Nilianza kuongea mwenye pasipo mtu yeyote kunisikia ila nilizungumza tu baada ya kuona hofu inazidi kukonga moyo wangu.
Kiza kile kilichokuwemo ndani mle, kuna wakati kilikuwa kikizidi na kuna wakati kilikuwa kikipungua mithili ya umeme unavyokuja na kukatika.
Pole pole nilianza kukumbuka tukio la mwisho nililolifanya,nikakumbuka ni kunywa damu ya Mama pale ambapo nilipokuwa namuuwa na hii ilinifanya nishtuke na kuanza kupata hofu juu ya mtu yule aliyekuja kunipiga na kitu kizito kichwani na kujikuta napoteza fahamu.
Kutoka na matukio hayo ya haraka yalinifanya nianze kupapasa mavazi yangu kwa kujihakikishia kama niko sawa,ghafla nilianza kushtuka kwa kutokuamini macho yangu kwani mavazi niliyokuwa nimeyavaa kabla hata sijajikuta mahali pale ni tofauti na niliyokuwa nimevaa kwa wakati huo kwani kwa wakati huo mavazi yaliyokuwa mwilini mwangu ni mavazi meupe.Tena kilichonishtua zaidi yalikuwa yametapakaa damu.
Mauzauza ya ghalfa yalianza kunikumba na kujikuta natawaliwa na uoga.
Nikiwa bado nimeketi kwenye sakafu isiyokuwa imara nilianza kufikiria ni wapi damu ya Mama ilipo pia nikakumbuka kumbe sijamaliza hata katika kukata sehemu za siri za Mama kama masharti ya Mzee yule yasemavyo.
Hakika sikujua nianzie wapi wala niishie wapi kwani hata msaada nilishindwa nimuombe nani,nilianza kukuna kichwa changu kwa lengo la kufikiria nifanye nini kwa kutumia kidole changu cha mwisho katika mkono wa kulia.Wakati naendelea na tukio hilo la kukuna juu ya kichwa changu,nilishika kitu nilichoshindwa kujua nini kwani kilinitia hofu zaidi.
Nilipojaribu kukwepa na kwenda upande wa pili wa kichwani napo nilikutana na kitu kama kile kile tena ulikuwa uvimbe mkubwa tu tena ilikuwa miwili inayofanana.
"Mama yangu haya si mapembe nimetoa wapi,kweli kwa hali hii Husna atanikubali kweli....!!!!!"
Niliendelea kujihoji huku nikionekana kuwa na mabadiliko makubwa katila mwili wangu.Nilianza kusikia hatua za mtu zilizonifanya nizikumbuke kwa haraka zaidi kwenye tukio la kumchinja Mama kuna hatua kama hizo zilikuwa zikija upande wangu wa nyumba na ndio hizo hizo zinazokuja sasa.
Hatua zile zilianza kwa haraka na kisha zikafika kikomo mpaka mahali nilipo kwa kumshuhudia Mtu aliyekuwa anatisha sana sikutamani hata kuendelea kumtazama,na endapo nilipojaribu kwa kujitahidi kumtazama nilianza kusihisi kizunguzungu mara kwa mara.
Mtu yule alizidi kunikazia macho yake yaliyokuwa nimeota pua mbili pamoja na shingo yake iliyokuwa na sehemu nyingi za siri,kisha akaanza kuzungumza kwa sauti iliyojaa mwangwi ndani yake.
"Kijana wangu ni lazima ufanikiwe kwa kilichokufanya umuuwe Mama yako na mimi ndiye Shetani mnayemsikia huko Duniani pia hapa ulipo upo Kuzimu na mimi ndiye nimekufuata huko Duniani kwa lengo maalumu maana niliona pale utaangamia."
Mtu yule alikaa kimya muda kidogo kisha akasogea mpaka mahali nilipo.
"Unachotakiwa kufanya ni kukubali kuwa mtumishi wangu milele na unachotakiwa kufanya ni kuwa tayari kwa chochote hata kama ni siku ya kihama uweze kuchomwa na moto kama mimi tu."
Nilianza kuzungumza na Mtu yule baada ya kuona ujasiri unazidi kunitawala katika mwili wangu.
"Sawa nimekubali hayo yote ila nini kilichofanya mpaka unifate mahali pale kwa kunipiga na kitu kizito kichwani.....???"
"Swali zuri sana,wakati purukushani zinaendelea za kutaka kumuuwa Mama yako kuna baadhi ya majirani walianza kusogea eneo la tukio yote sababu kuna muda ulipiga kelele na pia kuna muda Mama yako alipiga kelele na hii iliwapa hofu majirani kwani kelele za watu wawili ndizo uumpa mtu hofu."
"Na pia kuhusu mimi kuendelea na kazi yangu ya kukata sehemu za siri za Mama???"
"Utaendelea tu wala usijari nimekutoa pale kwani tayari majirani walianza kufika eneo lile,na baada ya kukutoa walivyofika nyumbani kweni walijihakikishia utulivu upo na hamna hali ya hatari yeyote kisha wakaondoka..."
"Sawa mkuu nimekuelewa pia naomba unitoe hizi pembe pamoja na haya mavazi nilirudi kama nilivyokuwa....!!!!"
"Ukiwa humu inatakiwa huwe hivyo kama ulivyo, ndio maana umejikuta hivyo ila ukishaenda Duniani hali yako itaendelea kama ulivyokuwa cha msingi usivunje masharti yoyote uliyopewa n na Kijana wangu wa huko Duniani la sivyo utakufa na nyama yako nitaifanya kitoweo..."
Nilianza fadhaika juu ya Mtu yule aliyezidi kubadilika ngozi kila mara alipokuwa anaongea na mimi na alikuwa anatisha hata kumtazama nilivuta pumzi huku nikiendelea kumtazama kwa makini zaidi na kumfanya azidi kuzungumza.
"Kijana ukishatimiza kila kitu utaletwa huku na yule Mzee aliyekupa kazi hii kisha nitakupa cheo na kazi maalumu kwa ajili ya kutuletea watoto wachanga wasiopungua kumi kila mwezi.
"Sawa mkuu nitafanya hivyo...!!"
Nilimjibu Mtu yule huku nikianza kutetemeka kwani nilianza kujuta taratibu kwa dhambi nazozifanya kwa wakati mmoja ila hatimaye nilisema "POTELEA MBALI"
Mtu yule aliniambia muda umefika wa kunirudisha duniani tena atanirudisha pale pale nilipokuwa nakunywa damu ya Mama ili niendelee na hatua nyingine nazotakiwa kufanya.
Ghafla kimbunga kikali kilikuja na kunichukua bila ya kujua kinanipeleka wapi.
Itaendelea...........

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,179,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,11,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,213,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,131,FIFA.com - Latest News,18,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,243,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,MPENZI CHEUPE | WHITE LOVER.,8,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,209,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,USO WA FEDHA | FACE OF MONEY,35,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,10,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MAPENZI YA KICHAWI SEHEMU YA 04
MAPENZI YA KICHAWI SEHEMU YA 04
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/05/mapenzi-ya-kichawi-sehemu-ya-04.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/05/mapenzi-ya-kichawi-sehemu-ya-04.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content