MAPENZI YA KICHAWI SEHEMU YA 01 | BongoLife

$hide=mobile

MAPENZI YA KICHAWI SEHEMU YA 01

SIMULIZI;MAPENZI YA KICHAWI.
MTUNZI;RAJA SAIDY.
WHATSAPP;0756920739.

SEHEMU YA KWANZA ( 1 )

Mwezi wa pili huu bado sijapata suluhisho la jambo ili,yaweza kuwa ndio hukumu ya maisha yangu.Nimekuwa kama kichaa sijui ili wala lile.
Kiukweli kumpenda nampenda na wala sitaki kumpoteza, wenye hela mahandsome boy na watu wenye majumba makali na yakifahari ndio watu muhimu kwake.
Hakuwahi kunitamkia ananipenda lakini kila siku nipojaribu kumuonyesha hisia zangu,ndio kwanza alionekana kunidharau na kunifokea.Huenda akawa yuko sawa lakini naomba afahamu yakuwa yupo moyoni mwangu.

*******
Mawazo yaliniandama na kujikuta sina amani katika maisha yangu ya kila siku,kumpenda nampenda napia namjari mpaka namtambulisha kwa marafiki zangu lakini bado anipendi.
Koo lilianza kuniuma yote sababu huwa namuota yeye na ndoto zangu nyingi huwa ni zakuzungumza hivyo wakati nikiwa ndotoni huwa natumia sauti kubwa na kali kulitaja jina lake.
Sikuwahi kumuotea vibaya lakini bado anipendi,nifanye nini????.Sawa sawa nimepata wazo kuu la kunisaidia yanibidi nitumie kila njia hasa kwa dawa za kichawi kumpata Husna.Hahahahahaha.
Baada ya kuwa nimekaa kutandani huku nikiendelea kuongea mwenyewe kama kichaa,nilivuta shuka langu kisha nikalala.
Nilipitiwa na usingizi na kujikuta nalala usingizi wa "FOFOFO" ulionishawishi na kunipeleka mpaka majira ya saa tano asubuhi.
Nilishtuka kutoka katika kitanda changu kwa kutanguliza miguu yangu chini kabla hata sijashuka.Nilianza kupekecha macho yangu yaliyojaa usingizi ndani yake,kisha nikainamisha kichwa chini ya uvungu wangu wa kitanda bila hata ya kuamka mahali nipokua nimeketi.
Nilifanikiwa kuziona kandambili zangu ambazo wa kipindi hicho ndio zilikuwa zimevuma kwa jina la "KANDAMBILI NYEUPE".
Huku zangu zikionekana kupoteza rangi yake na kuanza kushika uchafu.Kuhusu swala zima la usafi kiukweli ulinipita kushoto kama msemo usemao "TENDA WEMA NENDA ZAKO".
Nilivaa kandambili zangu kisha nikainua kijigodoro changu kilichopo kitandani kwa ajili ya kuangaza elfu mbili yangu niliokuwa nimeiweka majira ya usiku wakati nataka kulala.
Baada ya kuwa nimeiona nilipachika mfukoni kwangu huku nikiendelea kupiga hatua za chapuchapu zisizokuwa na mpangilio maalimu kwa lengo la kutoka nje.Hatimaye nilitoka nje.Bila ya kupoteza muda nilibana kijimlango changu kwa kutumia kamba niliyokuwa nimeizoea katika kuufungia mlango wangu na kuelekea tauni bila hata ya kupiga mswaki wala hata kuusafisha uso wangu maana uchafu ni asili yangu.
Mwendo wangu ulikuwa waharaka haraka hivyo ndani ya muda mchache tayari nilikwisha tia nan'ga tauni kwa ajili ya kufuata nilichokitaka.Nikiwa nimesimama pembezoni mwa barabara huku nikiangaza Mzee niliyemfahamu anayejishughulisha na swala zima la matibabu yoyote uyatakayo na kufanikiwa kumuona akiwa ameshafungua kijibanda chake.
"Mzee shikamoo....!!!!!!???"
Nilianza kutanguliza salamu kabla hata sijafika mahali alipo Mzee huyo.Na nilifanya hivyo ili apate kuwa makini nami,naye aliacha shughuli zake zakuendelea kufunga dawa zake za kienyeje na kuanza kunitazama mimi kwa jicho la kujeli.
"Mzee shikamoo kwa mara ya pili?????"
Baada yakuwa nimefika na kuketi pembezoni mwa yule mzee nilitanguliza salamu ya pili iliyomfanya mzee huyo anichukulie kama kichaa.
"Samahani mzee wangu nina shida na ndio maana naonekana kama mtu nisiyekuwa na timamu,lengo la mimi kuja hapa nataka nijue huduma zote uzitoazo si unajua vijana wa mjini karibia wote bila ya kufika kwako ujue ujakamilika...!"
"Kijana wangu unaongea sana,kwa ufafanuzi zaidi bila ya kutambulisha kila nachokifanya,nahitaji kukuambia lolote lile ulitakalo kwangu halishindikani."
"Ahahahaha Mzee wangu wewe ni hatari mimi nakuamini,ila mimi nilitaka kununua uchawi.....!!!!!!!"
"Uchawi huwa siutoi hivi hivi mpaka umtoe mama yako kafara ndio utaupata,lakini Kijana mdogo kama wewe uchawi unautaka wa nini????"
Mzee yule aliniuliza swali lilonifanya nikumbuke niliokuwa nayawaza usiku kuhusu msichana nimpendae aitwaye Husna.
"Acha tu Mzee wangu,kuna msichana anaumiza akili yangu alishawahi kuniomba vitu vingi nami umtekelezea lakini bado nikimuuliza yakuwa kama ananipenda yeye hataki.Najaribu kupenda kwingine nashidwa,ila maamuzi yangu yamefika tamati nataka nimfanya anipende kwa lazima ikishidikana mimi namuuwa kwani shingapi bwana.!!!!!!"
"Mimi huwa sina mambo mengi,nafanya kazi bila ya kuogopa chochote.Mimi hapa nimetoka uzimuni na kuja huku duniani kuondoka na watu wangu,sasa Kijana unakubali kuwa mshirika wa shetani na utafanya kila nachokitaka maana inaonekana unanifaaa sana.."
"Mzee wangu nitafanya kila utakacho ila cha muhimu unipe uchawi tuu na nguvu za giza zitakazonifanya nimfanye Husna anipende bila ya yeye kutambua.."
Niliongea kwa hasira na ujasiri mkubwa kwani nilijua mwisho wa Husna kunizungusha umefika mwisho.
"Sawa kijana wangu,fata taratibu hizi; muuwe mama yako kisha unywe damu yake bila ya mtu yoyote kukuona hasa hasa majira ya saa nane usiku,hakikisha leo hii usiku unaifanya kazi hiyo.Kesho kabla ya jua kuzama uwe umemaliza kazi yote pia uje hapa na sehemu za siri za mama yako bila ya mtu yoyote kukuona.Viungo vingine vitakavyobakia hakikisha unavizika nyuma ya nyumba yenu huku ukiwa mwenyewe."
"Mzee mbona kijikazi chepesi hicho,hamna kazi nyingine????.Maana mama kumuuwa dakika ziro mama mwenyewe hanisaidiii, mama gani analala anachelewa kuamka mama gani hajui kutafuta hela ananitegemea mimi....!!!"
Niliongea maneno yaliyofanya Mzee yule kuachia tabasamu kisha akasema.
"Safi sana Kijana na utafanikiwa kwa kila kitu utamfanya Husna utakavyo,ikibidi majira haya haya ukandae mazingira ya kufanya mama yako asiondoe kwenda popote.Maana akiondoka mungu anaweza kumuepusha na ukamkosa..!!!"
"Ni kweli Mzee ngoja nimuwahi,kesho nakuletea kila ulichokihitaji...!!!"
Nilizungumza na Mzee yule huku nikiwa naanza kusimaa kwa ajili ya kuondoka.
"Sawa Kijana wangu,ukifanikisha kila kitu, nitakupa kila utakacho,pia ukishaleta vitu hivyo nitaanza kukupa dawa yamwisho itakayofanya damu ya mama yako ambayo utakuwa umeinywa isitoke mwilini mwako kwa kuikojoa.usipotoka mwilini mwako itakupa nguvu kali za kishetani."
"Sawa Mzee wangu kazi njema,ngoja nimuwahi mama,kabla ajaenda shabani....!!
"Sawa"
Nilianza safari ya kuvuka barabara kwa ajili ya kwenda kufanya ukatili wa kuandaaa mazingiri ili ifikapo tu saa nane usiku nimchinje maana yangu.
Itaendelea..........

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,179,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,11,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,213,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,131,FIFA.com - Latest News,18,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,243,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,MPENZI CHEUPE | WHITE LOVER.,8,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,209,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,USO WA FEDHA | FACE OF MONEY,35,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,10,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MAPENZI YA KICHAWI SEHEMU YA 01
MAPENZI YA KICHAWI SEHEMU YA 01
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/05/mapenzi-ya-kichawi-sehemu-ya-01.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/05/mapenzi-ya-kichawi-sehemu-ya-01.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content