KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI) SEHEMU YA 04

KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI)

SEHEMU YA NNE

STORY NA Mbogo Edgar.

ILIPOISHIA SEHEMU YA PILI, “safari hii kijana, nataka unionyeshe kuwa hupo vizuri zaidi kwenye urengaji” alijisemea mzee Mbogo, huku ana iweka mezani ile bunduki ya uwindaji, na kuanza kuifungua kifaha kimoja baada ya kingine, moyoni alijivunia wazo lake la kumkeep busy mwanae huyu, akizamilia kumwepusha na majanga ya watoto wa kike, asa baaada ya kusababisha mtafaluku mkubwa sana, miaka ya nyuma, kwa jirani yake bwana Anderson, endelea ........ 
******Kamanda Joseph Kisona na askari wake watatu walifanikiwa kufika eneo la tukio, na kukuta maganda mengi sana ya risasi, za SMG, coloner Kisona alichuchuma na kuliokota ganda moja la risasi, akalinusa na kusikilizia harufu, kisha akaliweka shavuni, kama ane pima joto, alafu aka watazama wale askari wake waliokuwa wame kaa kwa mkao wa duara, wakitazama nje ya duara hilo, kila mmoja upane wake, yeye akiwa katikati, “inaonekana kuna mapigano ya risasi za moto yame tokea” alisema Kiasona huku ana okota maganda mengine mttu na jumla yakawa manne akayaweka mfukoni mwake, kisha aka inuka na kuongonza kupanda mlimani, huku akifwatiwa na wale askari wa jeshi la ulinzi waliokuwa makini sana, wakitazama huku na huku, kuakikisha usalama, huku bunduki zao zikiwa tayari kwa lolote,
Baada ya kutembea kwa umbali wa mita kama hamsini mbele, col Kisona akaona michilizi ya damu, ikielekea milimani, wakaanza kifwata michilizi ile ya damu mbichi, kwa umakini mkubwa, kilammoja akichunguza eneo kwa umakini mkubwa, huku bwana Kisona akiwa na bastora yake mkononi, tayari kwa mashambulizi kama yataitajika kutokea *******
 Erasto alikuwa amesha maliza kupata supu, aliyo andaliwa na Mwanaheri, sasa alikuwa anajiandaa kwenda kuoga, ili awai mjini kwenda kununua zawadi za mchumba wake Monalisa, pamoja na kupitia pete kwa sonara, lakini kabla hajaingia bafuni, akakumbuka jambo, akajifunga tauro na kutoka chumbani, akaenda moja kwa moja jikoni, ambako alimkuta dada yao wa kazi akiwa anaosha vyombo kwenye sinki la kazi kama hizo, akamsogelea mwanaheri na kumkumbatia kwa nyuma, huku akiipeleka mikono yake kwenye manyonyo makubwa, ya huyu binti wa kimakonde, akayabinya kidogo, Mwanaheri akustuka zaidi alitabasamu na kujilegeza kidogo, akaegemeza kichwa cheke kwenye shingo ya Erasto, huku akiachia vyombo, na kujifuta mikono yake, kwa kitambaa ambacho utuimia kukaushia vyombo baada ya kuviosha, “nilijuwa umefanya kughairi” itaendelea usiku .......

alisema Mwnaheri huku akizidi kujilegeza, na kulikamata gauni lake kisha akalipandisha, Erasto Richard aujibu kitu zaidi ya kutabasamu, na kulisogeza pmbeni tauro lake, huku akimtzama Mwanaheri alie kuwa ana padisha gauni lake, mpaka usawa wa tumbo, akiachia mambo hadharani, akuwa amevaa nguo ya ndani, uwa anafanya hivi mala kwa mala anapo juwa kuwa Erasto yupo nyumbani, asa wakibakia wawili, maana anajuwa kuwa muda na saa yoyote, lazima mtoto huyu wa boss wake angetaka kitumbua chake,
Erasto pasipo mwembwe za maandalizi akaikamata dudu yake na kuilengesha kwenye kitumbua cha mwanaheri, ambae alijibinua kidogo, ili dudu ifike kwa ulahisi kitumbuani, na hivi ndivyo inavyo kuwaa mala kwa mala, awa chagui sehemu wala wakati wakufanya mambo yao, mladi tu wawe peke yao, ********
Polisi saba wakiwa na dereva wao, ambae dima uwa ashukagi kwenye gari hilo, alitimiza idadi ya watu nane, walio ongozwa na sajenti Idd Kibabu, wakiwa upande wapili wa mlima huu wa chandamali, bunduki zao aina ya SMG mikononi, wali angaza macho yao upande wa mlimani chandamali, na kwenye usawa bara bara inayo pita upande huo, kuelekea making’inda, na ndio iliyo gawa kati ya eneo la jeshi na makazi ya wananchi, huku wakisimamisha kila mwananchi anaepita na kumwonyesha picha ya kijana Lukas, iliyo chapishwa kwenye karatasi, likibaisha kuwa mtu huyu anatafutwa na polisi, 
Wakati huo huo kamanda makini Joseph Kisona, na askari wake walikuwa wanaendelea kufwatilia damu, ambazo saa zilibadili uelekeo na kuongoza kuelekea bombambili, sasa walisha ongeza kasi ya mwendo wao wakiamini kuwa mtu alie jeluhiwa lazima ata kuwa anatembea taratiibu, kutokana na maumivu makali, na hivyo wata mkuta njiani, lakini ilikuwa lazima wawai, kabla haja jichanganya mataani, maana ingekuwa  ngumu kwao kumpata mtu, endapo ata ingia mtaani, lengo likiwa ni kumpata na kumhoji, kulikoni na kwanini yametokea yale mashambulizi, na wakinani walio mshambulia, ikiwezekana mtu huyo akamtwe na kuhojiwa zaidi, *****
Kama kijana huyu Lukas ange fahamu kuwa ana fwatiliwa na kamanda Kisona, nazani ange simama na kuwasubiri, maana ndio ulikuwa usalama wake uliobakia, lakini Lukas pasipo kujuwa kuwa msaada hupo nyuma yake, alitembea haraka akivuta mguu wake wakushoto, ulio chalazwa risasi, mpaka alipo fanikiwa kuingia nyumbani kwake, pasipo kujari bahadhi ya majirani walio kuwa wana mtazama, kwa macho ya udadisi, huku wakimwonyeshea vidole, ikionyesha kuwa tayari walisha pata taalifa juu ya tukio la jana usiku alilo usishwa nalo, na pia kwa jinsi alivyo kuwa anatembea kwa shida ndio kabisa ilionyesha wazi kuwa alikuwa ametoka kwenye mapambano na polisi, muda mfupi ulio pita,
Lukas aliingia chumbani kwake, haraka sana, mala moja aka vua suluali yake iliyo lowa damu, na kuichana kipande kidogo cha nguo, nakukikifunga kwa nguvu kwenye jelaha la risasi, la mguuni, maumivu yalikuwa tofauti na begani, maana risasi hii bado ilikuwa pajani, baada ya kuakikisha ame ikaza vyema ile nguo, na kupunguza kuvuja wa damu, bwana Lukas aka badiri nguo haraka sana, na kuvaa suluali ya jinsi yablue na tishet jekundu, viatu vyangozi, vyenye shingo ndefu yaani buti, vya rangi ya kaki, akiwa bado na kile kipochi  chake kiunoni, chenye video tape, aka chukuwa hakiba yake yote ya fedha, iliyobakia ndani kiasi cha elfu therathini, akaonganisha na elfu kumi na tano, ile aliyo beba asubuhi ikifikia jumla ya shilingi elfu arobaini na tano, akionyesha kuwa aliamua kuondoka kabisa hapa kwake, *****
Polisi sajent Idd Kibabu, akiwa anaongoza kundi lake la polisi Saba ambao walionekana wazi kuto kuwa wahaminifu kwa jeshi hilo la polisi, na serikali yao, waliendelea kuhoji wananchi walio kuwa wanakatiza, kama wamemwona kijana Lukas, kwa kuwaonyesha picha yake, “huyu mpiga picha si anakaa hapo bombambili, karibu na mlimani” alisema raia mwema mmoja, hapo Idd aliwaza haraka sana, na kugundua kuwa huku waliko kimbilia, wamepotea maboya, akaamlisha polisi wote waingie kwenyegari pamoja na yule raia aliesema kuwa ana pajuwa nyumbani kwa Lukas, “lazima atakuwa amekimbilia nyumbani kwake, ebu tuwai haraka sana” alisema Kibabu, huku dereva wa gari hilo, lililo tengenezwa na waingereza, likipewa speed ya hajabu, akikanyaga mafuta kwanguvu na kubadili gia kwafujo, kuwai nyumbani kwa Lukas wakifwata maelekezo ya raia aliejuwa kuwa ana saidia polisi, kumbe ana saidia kuuwawa kwa raia mwema,
Wakati huo huo, Kanal Joseph Kisona akiwa na askari wake watatu, wakalikuwa wamesha maliza mstu na kutokea mtaani, kwenye nyumba za kwaza kabisa za mtaa huu mkubwa sana hapa songea, mtaa wa bombambili, wakijaribu kutazama alama za michilizi ya damu, ambayo iliwapotea, lakini kwa hakiri za hajabu ambazo amejaliwa kamanda Kisona, akiziona nyayo za raba zilizo tokea porini, akaamua mkuzifwata, na kwa bahati nyayo zile azikuwa zimeenda mbali, ziliishia kwenye nyumba ya tatu tu! toka pale walipo kuwa wamesimama, na kilicho wathibitishia ni alama ya damu kwenye komeo la mlango, hapo kisona aka waamuru askari wake wakae tayari kwa lolote, yeye akajianda kusukuma mlango, huku majirani waeneo lile, jirani na nyumba hile, wakitazama kwa shahuku kinacho endelea.
kumbe basi, dakika moja iliyo pita, bwana Lukas alitoka nje ya chumba chake, lakini kwa mlango wanyuma, akiwakwepa jirani zake, ambao walionyesha wazi kuwa wameshapata taarifa ya kutafutwa kwake, na kwamwonekano wake akuna mtu ambae angemwamini kwa maneno ambayo angejieleza,, akiwa makini sana, Lukas akatazama kushoto na kulia, alipoona papo salama aka tembea haraka akivuta mguu wake ulio kuwa una mchamanda kwa maumivu makali, akielekea upande wa barabara kuu, akipita nyuma ya nyumba zilizopo safu ya mwisho kabisa, baada ya kupita nyumba kama kumi hivi, Kijana Lukas akajiona kuwa yupo salama, hivyo aka pita kwenye upenyo wa nyumba mbili, ambao unatokea barabarani, akiamini kuwa wale polisi awapajuwi nyumbani kwake, na hivyo siyo lahisi wao kuja upande huu,
wakati huo kamanda Kisona, akiwa ana jindaa kuusukuma mlango, kuna jambo aka kumbuka, akawaonyesha ishala askari wake waizunguke nyuma hile, wale askari wakaizunguka haraka ile nyumba, hapo kanal kisona akaanza kugonga mlango, “wanajeshi wa jeshi la ulinzi wapo nje ya nyumba yako, na silaha za moto, unatakiwa ujitokeze nje ukiwa umeweka mikono kichwani” alisema Kisona kwa sauti kali ya juu, kisha akatulia kusikilizia matokeo ya maneno yake, lakini akuna jibu alilo lipata zaidi alimwona askari wake akija mbio mbio “afande inaonyesha mtu alie kuwa humu ndani amekimbia, maana mlango wanyuma hupo wazi” hapo kisona akausukuma mlango na kuingia ndani haraka sana, ni kweli Kisona akukuta mtu, zaidi alikutana na nguo na viatu vilivyolowa damu, akatoka nje haraka sana, akiamini kuwa mtu huyu akuwa mbali, sababu damu ilikuwa mbichi kabisa, laikini ile kutoka nje, na kutazama upande wa kushoto, akaona kitu ambacho kilimfanya atabasamu, maana umbali wa mita kama mia moja, alimwona kijana mmoja alie valia tishet nyekundu na jinsi la blue, lakini alikuwa anatembea kwa kuchechemea, akitokea kwenye upenyo wa nyumba za mta hule, akiwa makini sana, na kwa tahadhari kubwa anatazama huku na huku, kama vile kuna watu alikuwa anawakwepa wasi mwone, “askari akikisheni tuna mpata yule mtu”  lakini kitu kilicho mshangaza bwana kisona, ni baada ya kumwona yule jamaa akitazama upande alipo kuwa yeye na askari wake, na kuamua kusimama na kuwasubiri pasipo kuonyesha wasi wasi wowote, tofauti na alipokuwa anatokeza toka kwenye upenyo wa zile nyumba mbili.
hapo Kisona na askari wake wakaanza kumkimbilia yule kijana, ambae sisi tuna mfahamu kuwa ni kijana Lukas, mpiga picha, lakini basi Kisona na askari wake wakiwa wame bakiza mita kama hamsini kumfikia yule kijana, waliekuwa wanamfwata, ghafla likatokea gari la polisi, lenye askari kadhaa wenye bunduki, lililo kuja kwa mwendo wa kasi sana, likimfwata yule kijana, aliesimama pembezi ya njia, ikionyesha lengo la dereva ni kumgonga kabisa, lakini Kijana Lukas aliruka pembeni, akijibwaga chini, na kulifanya lile gari limkose kose,  kanali Kisona na askari wake wakiwa wanashangaa tukio lile, mala wakamwona yule kijana, yani Lukas, akijizoa zoa pale chini, huku lile gari la polisi likikamata bleak za ghafla, na wale askari waliokuwa nyuma ya gari lile la polisi, wakiruka haraka sana, toka kwenye gari hilo, hapo Kisona akamwona yule Kijana, kama alie sahau maumivu yake kwamuda, akichomoka mbio kuingia ndani ya mstu wa chandamali, akikimbia kama vile, siyo yule alie kuwa anachechemea mwanzo, Kisona akawaona wale polisi wakiinua bunduki zao, na kuzielekeza upande ule alikokimbilia yule kijana, ambae sasa akuonekana tena, alizuiliwa na miti na vichaka, hapo kilicho fwata col Kisona ali shuhudia milipuko ya risasi, mfululizo, ikielekezwa kule alikokimbilia yule kijana,
Kisona aka alikimbilia mpaka pale walipo kuwepo wale askari polisi, na kuwa pigia kelele za kusimamisha mapigo, “hacheni kushambulia” kanali Kisona alipaza sauti kwa kurudia rudia, mpka alipo fanikisha kuwa zuwia wale polisi wasiendelee kushambulia, “mnawezaje kuchezea risasi za serikali namna hiyo?” aliuliza Kisona huku akiwatazama wale askari mmoja baada ya mwingine, ambao walionekana kuushikwa na butwaha, pengine hwakujuwakama kuna wenye eneo lao, mpaka bwana Kisona alipo mfikia sajenti Idd kibabu, “sajenti kwanini mna chezea risasi kwa mtu mmoja, tena asie na silaha yoyote?” aliuliza tena col Joseph Kisona, akiwa amemkazia macho sajenti Idd Kibabu, “huyu ni jambazi sugu, tena hatari sana, ame uwa polisi wa tano jana usiku, tume agizwa tuakikishe ana patikana kwa njia yoyote ile, yani awe hai au ame kufa” alijibu Idd kama alie amka usingizi, hapo col Kisona aka tabasamu kidogo, kisha aka watazama wale askari polisi wote kama alivyo fanya mwanzo, yani kwa zamu, akimaliza kwa sajent Idd, alisha gundua jambo machoni mwa askari hawa, “sajent unamaanisha NMC?” aliuliza bwana Kisona, “ndio tena ameusishwa na matukio mengi sana ya ujambazi” alijibu Idd Kibabu, safari hii kwa kujiamini, “kwahiyo huyu bwana mlio mshambulia ni jambazi” aliuliza tena bwana Kisona, akiwazama wale askari polisi, ambao waliinamisha vichwa chini, wakikwepa kutazama na kamanda huyu wa jeshi, tena bahadhi yao wana mfahamu, mpaka hapo sajent idd akaona akiendelea kuojiwa anaweza kusababisha kugundulika kwa mchezo wao mchafu wanao ucheza, akaamua kufanya ajambo ili kumvunja nguvu kamanda huyu wa jeshi la ulizini, “ndiyo huyu bwana Lukas Benjamin, ni jambazi sugu, mpaka hapo umesababisha jeshi la polisi, kushindwa kumzibiti jambazi huyo, kwa kuingilia operation” alisema sajent Kibabu, kwa kujiamini, akizani kuwa ata mtia uoga kamanda wa jeshi la ulinzi, lakini ndio kwanza alicheka, “sajenti kumbe unafahamu kuwa hii ni oparetion, sasa mbona inafanyika kwenye kambi la jeshi pasipo taarifa yoyote?” hapo sajent IDD aka watazama wenzake, ambao walikuwa wana kwepesha macho yao, wakimanisha awakuwa na msaada wowote kwake, “ok! sanjeti auna jibu, wewe endelea na operation yako, wakati kikosi kina fanyamawasiliano na oungozi wa jeshi la polisi, kujuwa kwanini akukuwa na taalifa ya nyie kufanya kazi kwenye eneo la kambi” alisema Kisona kisha aka watazama askari wake akiwataka waondoke zao, nao wakaanza kuondka kurudi kambini, na sajent Idd akawaamlisha askari wake waingie porini kuona kama risasi zao zimewasaidia, lakini ghafla col Kisona aka simama na kugeuka, akamtazama sajenti Idd, “sajent wewe ni askari kweli?” kauli ile ili mstua sana Idd, “ndio mimi ni askari na kitambulisho changu hiki hapa” alijibu Kibabu, huku akitoa kitamburisho chake, na kumpatia bwna Kisona, ambae akukipokea, akatazama kifuani akisoma namba za polisi huyu mwenye cheo cha sajent, “kwa nini haupigi salute, au autambui mamlaka niliyopewa na rais?” aliuliza Kisona na hapo, yule sajaent Idd Kibabu aka piga salute haraka sana, “samahani afande nilitingwa kidogo” alijitetea sajent Kibabu, na Kisona akajibu kwa kupiga saluti kisha aka ondoka na askari wake, akiwaacha polisi wanaingia porini kutafuta mawindo yao ***** 
Baada ya kumaliza kula kitumbua cha dada wakazi, bwana harusi mtarajiwa aliingia bafuni na kuoga, kisha akajaindaa vizuri, akichukuwa kiasi  cha elfu hamsini, kwakiindi hicho zilikuwa nyingi sana, thamani yake nikama laki tano kwa sasa, aka chukuwa funguo ya gari na kutoka nje, ambako aliwasha gari Nissan patrol nyeusi na kuondoka zake akielekea mjini, akiwa amevalia mavazi nazifu kama kawaida yake, njia nzima Erasto aliwaza juu ya Monalisa, binti ambae ali mpigania kwa muda mrefu, na kufanikiwa kukubaliwa kufunga nae ndoa, kwa msaada wa wazazi wake, ambao walitumia ukaribu wao, maana ukiachilia urafiki walionao, uliotokana kwa kushirikiana katika biashara zao, pia bwana Anderson na bwana Richard, ni marafiki wa muda mefu sana, ambao kabla ya kujenga huku Luhuwiko, baada ya kununua maeneo miaka mingi iliyopita, pia walisha kaa mtaa mmoja huko mahege hapa mjini Songea, ukweli ni kwamba Erasto ni mmoja, kati ya watu walio changia kwa kihasi kikubwa, Monalisa kupata heshima ya kujitunza asiingiliwe na mwanaume mpaka ana maliza chuo, akiwa na miaka 22, maana toka wakiwa wadogo, alikuwamakini sana kufwatilia kwakaribu michezo ya binti huyu, na endapo aliona kuna kijana au mtoto mwenzie ana mnyemelea, basi yeye alienda haraka sana kusemelea kwa mama Mona, ambapo mona alionywa na kukaa mbali na wavulana, Erasto akujali kuwa Monalisa ndie alikuwa ana mhonganishia wana wake wengi sana, tena wazuri, japo awakuufikia uzuri wa Monalisa mwenyewe, lakini yeye Erasto alikuwa mwenye wivu sana kwa binti huyu, ambae alimzidi miaka mi tatu, “naona siku ya harusi inachelewa” alisema Erasto ambae alipanga jioni ya leo aka lale mwembeni bar, pale palikuwa na demu wake, kama alivyo kuwa Happy, wa maji maji Hotel, ********
Baada ya kuangaika porini, wakiambulia mtu watu wawili, wakina mama walio lala pembeni ya mizigo ya kuni kavu, waliokuwa wamejeruhiwa vibaya sana na risasi, akianga ika kukata roho, na wao kuwamalizia, kwa kuwa nyinga shingo zao, polisi wale awakuweza kumwona Lukas wala dalili ya Lukas, hivyo waka toka porini na kuzungukia upande wa barabara kuu, ambako wali enda ktuo cha polisi kutoa taharifa ya kuwa jambzi Sugu Lukas ameuwa wakina mama wawili waliokuwa wana kusanya kuni msitu wa chandamali, hivyo wafanye utaratibu wa kwenda kuchukuwa miili yao, sababu wao wanaendelea ulisakajambazi hilo, baada yahapo waliondoka na kwenda usawa wa pli hilo, lakini upande wa barabara kuu iendayo mikoa ya mbeya, Iringa na morogoro, wakasimamisha gari lao wakitazama upande ambao ata tokea kijana huyu, huku wakiendelea kuhoji watu waliokuwepo pale barabarani, “nime mwona huyu kijana, tena amepanda dala dala la mshangano” alisema mmoja kati ya watu walio hojiwa na wengine waka unga mkono, “tena alitokea paleee” alielekeza mwingine, akionyesha ng’ambo ya barabara, kwenye msitu wa pori la chandamali, hapo bila kuchelewa polisi wale wakaingia ndani ya gari lao, na kutimua mbio kuelekea upande wa msamala, kulifukuzia hilo dala dala lililo mpakiza bwana Lukas,
Ilisha timia saa saba kasolo, Lukas baada ya kuingia kwenye dala dala, ambalo lilitembea kitu kimja tu! akaliona gari moja kubwa aina ya Nissan diesel, likianza kuondoka kuelekea kaskazini, yani mkoa wa iringa, kipindi hicho njombe na makambako zipo iringa, kijana huyu akashuka haraka kwenye dala dala na kulisimamisha lile gari, huku habiria wengine wakimlahumu kwa usumbufu wake,
Nikweli Lukas alipata nafasi kwenye gari lile  ambalo lilikuwa na watu wawili tu! ndani yake, yani dereva na tingo wake, ambao walikuwa wanaenda dar es salaam, na ndiko Lukas aliko lenga kuelekea, ili afikishe ushaidi huo kwenye makao makuu ya jeshi la polisi, safari ikaendelea huku dala dala liliwatangulia, lakini mle ndani ya gari, Lukas alimwona yule tingo akimtazama sana,  “braza kama nina kufananisha hivi?” aliongea yule tingo akimtazama kwaumakini Lukas, “ujanifananisha ndugu yangu nimimi” alisema Lukas, akiamini kuwa walejamaa akiwaeleza ukweli ita kuwa salama yake, sasa walishanza kimtelemko cha mto wa luhuhila kuelekea chandaluha, “mh! Devi, unajuwa huyu jamaa ndio yule jambazi anae tafutwa” alisema yule Tingo kwa kuhamaki, itaendelea .........ILIKUPATA MAJIBU YA MASWALI YAKO ENDELEA KUFWATILIA MKASA HUU UTAKAO KUJIA HAPA HAPA Hadithi ZA MBOGO EDGAR.
DONATE VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Your donation helps the Admin to be even more active in sharing quality blog templates. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni