Tofauti 7 Kati ya Mume Mwenye Mke Mmoja na Mwenye Mke Zaidi ya Mmoja

1. Mume mwenye mke mmoja huwa hana uwezo mkubwa wa kufanya tendo la ndoa, wakati mwenye mke zaidi ya mmoja huongezeka nguvu za kufanya tendo la ndoa maradufu.

💞💗💞💗💞💗💞💗💞💗

(N.B ...mwanaume anapofanya tendo mara kwa mara nguvu na uwezo wa tendo hilo huongezeka na joto la mwili pia, wakati mwanamke anapo fanya tendo mara kwa mara hupoteza hamu ya penzi na afya pia)

🏵🔮🏵🔮🏵🔮🏵🔮🏵🔮

2. Mume mwenye mke zaidi ya mmoja huwa hana tatizo la kupata likizo (kumsaidia mke kuingia siku zake) bali kama mke mmoja yupo likizo huweza kukidhi matamanio kupitia mke wa pili, tatu au nne

🏵🔮🏵🔮🏵🔮🏵🔮🏵🔮

3. Mume mwenye mke zaidi ya mmoja kuwa na upeo mkubwa zaidi wa fikra na ufaham kuliko mwanaume mwenye mke mmoja. (N.B ...kama una mke mmoja na una upeo mkubwa basi endapo utaongeza mke utakuwa na upeo na ufahamu mkubwa zaidi ya huo ulionao sasa kwani pia utakuwa na washauri zaidi ya mmoja

🏵🔮🏵🔮🏵🔮🏵🔮🏵🔮

4. Mume mwenye mke zaidi ya mmoja huwa na mafasi ya kubembelezwa na kuheshimiwa ndani na nje ya familia kuliko mume mwenye mke mmoja.(N.B.. hii hutokana na maumbile waliyoumbwa wanawake ya kushindana kwenye kuonyesha mapenzi kati yao hasa anapo jua kuna anae weza kuipokonya nafasi yake ya kupendwa zaidi.

💗💞💗💞💗💞💗💞💗💞

5. Mume mwenye mke zaidi ya mmoja huwa anajiamini(confidence) zaidi kuliko mume mwenye mke mmoja. kuthibitisha hilo ndio maana akathubutu kuongeza mke wa pili, tatu au nne

🔮🏵🔮🏵🔮🏵🔮🏵🔮🏵

6. Mume mwenye mke zaidi ya mmoja hufurahikia tendo la ndoa tena kwa utam zaidi kuliko mwenye mke mmoja. (N.B... mwanamke anapokaa mda mrefu bila kufanya jimai joto la mwili wake huwa la juu zaidi na mihemko ya kutamani tendo hilo la ndoa huzidi, hii huongeza ladha zaidi kwa wote

🏵🔮🏵🔮🏵🔮🏵🔮🏵🔮 *MASHAALLAH*

Tofauti 7 Kati ya Mume Mwenye Mke Mmoja na Mwenye Mke Zaidi ya Mmoja Bongo Life 5 of 5
1. Mume mwenye mke mmoja huwa hana uwezo mkubwa wa kufanya tendo la ndoa, wakati mwenye mke zaidi ya mmoja huongezeka nguvu za kufanya tendo...
Tofauti 7 Kati ya Mume Mwenye Mke Mmoja na Mwenye Mke Zaidi ya Mmoja

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Afya Yako,115,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,11,biashara mtandaoni,1,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,141,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,103,FIFA.com - Latest News,6,Hadithi,73,HALIMA,2,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,14,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Tofauti 7 Kati ya Mume Mwenye Mke Mmoja na Mwenye Mke Zaidi ya Mmoja
Tofauti 7 Kati ya Mume Mwenye Mke Mmoja na Mwenye Mke Zaidi ya Mmoja
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/tofauti-7-kati-ya-mume-mwenye-mke-mmoja.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/tofauti-7-kati-ya-mume-mwenye-mke-mmoja.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy