TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI | BongoLife

TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI

πŸ’— KWA MWANAMKE ALIYEFUNDWA SHURTI SHUKA LIONGEE KITANDANI....,SIO WAJITANDIKIA TU KITANDA KAMA MSUNGO HAPANA......._   


 *πŸ’—TUANGALIE ZILE SHUKA ZENYE MAANA KUNA ZENYE MAANA NA NYINGINE NI SHUKA TU KAMA PAMBO HAZINA MAANA YOYOTE*


*πŸ’— TUANZE NA SHUKA NYEUPE AU LA CREAM*

⚪Shuka hili maana yake ni kwamba mume wangu leo nimejiandaa vya kutosha.......nimekamilika kila idara wewe tu uje mpenzi ujilie vyako......yaani ukiweka hili haswa hii siku ya shughuli uwanjani.

πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•


*❤ SHUKA JEKUNDU*                    

Mume wangu niko tayari kukupa mambo lakini tukae tuongee kwanza kwani mwenzako hali si  shwari Leo......Niko kwenye siku za hatari......wekundu wa msimbazi wako uwanjani kwa sasa......shuka hili  tumia siku za hatari.

πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜


*πŸ–€ SHUKA JEUSI AU LA   RANGI YA UDONGO*

Mume wangu leo sijisikii kabisa........tulale tu  nimechoka sana leo tusifanye kabisa_

  πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’–


*πŸ’š SHUKA LA KIJANI,BLUE BAHAR AU GREEN APPLE AU BLUE*

Mume wangu niko radhi najisikia hamu leo tujiachie baby tena niko kwenye siku nzuri za kupata ujauzito......baby leo mechi ieleweke kwani tukicheza  kwenye sita kwa sita vizuri leo nitapata ujauzito.

πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’

SHUKA LA PINK AU ORANGE* .                      Mume wangu sijisikiii,naumwa leo tusifanye kabisa naumwa mpenzi tukumbatiane tu     

πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž.    

SHUKA LA NJANO

Mume wangu umenikosea........Nina hasira Leo siko sawa........nitake radhi yaishe tuendelee kuenjoy penzi letu.

❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣❣     

SHUKA LA ZAMBARAU*

Mume wangu naomba unisamehe πŸ‘πŸΌnajuta kwakosa nlilokufanyia.....

🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺

SHUKA MCHANGANYIKO*      

Rangi nyingi yaani rangi zaidi ya tatu zikiwa kwenye shuka moja.

Mume wangu leo naomba tufanyiane USAFi.......hapo ni siku unanyoana kichaka chahitaji jambia anti zangu cjui tumeelewana.....😁😁

Tutazidi kueleweshana kadri tutavyojaaliwa kwaleo tuishie hapa.

πŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ’œ

*πŸ’— KUMBUKA*
Si shuka zote zina maana.....waweza weka tu ukiwa huna maana yoyote,ila kwa wadada waliofundwa,ni vema kufanya mambo yao tofauti na wasungoπŸ‘ŒπŸ½πŸ‘ŒπŸ½,pia waweza mfunda mumeo ili ukimwekea shuka Fulani isimlazimu mazungumzo basi yawe ni mahojiano na utekelezaji tu wa kila shuka inachosema


🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

COMMENTS

BLOGGER: 1
 1. ❤AMSHO LA PENZIπŸ‘Œ
  πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹
  MKE mwamshe mmeo kimahaba kama amelala mgongo juu basi mpande mgongoni taratibu uku ukimpalaza mgongo na chuchu zako au kama amelala upande wa tumbo juu basi taratibu unamwekea chuchu zako mdomoni kwa maneno laini ukimtomasa mashavu kwa mikono na mabusu moto ya midomo
  ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
  MKE mwamshe Mme kwa penzi mwambie bebi amka kama haki yako ya ndoa upate kisha ukaoge jamani utoe uchovu uje ule chakula tena kulishana au awahi kazini
  πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™
  Mme pia unaweza mwamsha MKE ata kumshikisha mwiko wako mkono wake wa kushoto au kumpa ulimi taratibu uku wamtazama usoni na mabusu moto au kumnyanyua kichwa MKE na kumweka kifuani kwako vile kupeana raha
  πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜
  Wanandoa mwenzio akionesha thamani nawe onyesha thamani kwake kwani penzi tamu likiwa LA kujali hisia uku katika tendo kila mmoja anafurahi sio tendo uku mnafumba macho
  πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
  Wanandoa marufuku kuamshana kama ugomvi Mara umevuta shuka, Mara umevuta mguu kama unamwamsha mwanafunzi wa shule ilo sio penzi ubabe
  ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
  Vile kutomasana kimahaba kwa jicho LA huba mbona raha tena muda wote mnakuwa wepesi ya halali nyumbani kunanoga
  ===========πŸ’‹============
  HAKIKA NAMUENZI KUNGINE HAENDI
  πŸ’‹ndoa tamu na chozi la rahaπŸ‘Œ

  ReplyDelete
Use [video]youtube-video-link[/video] to insert video in comment
Use [img]image-link[/img] to insert image in comment

VISA NA MIKASA $type=THREE

Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,171,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,11,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,212,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,126,FIFA.com - Latest News,18,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,MPENZI CHEUPE | WHITE LOVER.,8,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,209,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,USO WA FEDHA | FACE OF MONEY,35,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,7,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI
TAFSIRI YA SHUKA KITANDANI
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/tafsiri-ya-shuka-kitandani.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/tafsiri-ya-shuka-kitandani.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content