Iklan Billboard 970x250

scrub ya uso na mwili

scrub ya uso na mwili

frank scrub ya uso na mwili

umuhimu wa hii scrab

inafuta ngozi ilio choka

inatengenzena na ngoxi

inasaidia kuepeka mashimo uson

inakupa ngozi yako muonekano mzur


unatumia kwa wiki mara 1

unahitaji


nusu kikombe kahawa yakituruki(unaeza tumia yyte)

kasrobo kikombe cha chumvi mawe(unaeza tumia chumvi yakawaida)

matone 6 ya esential oil ya chungwa


changanya utie mchanganyikl katika kopo la kukazika vzr

utumiaji

chukua kijiko kimoja cha scrb uongeze mafuta ya nazi au loxi au mafuta ya parachichi au mafuta ya zeitun na upake katika ngazo kavu uscrub kisha osha, jipanguze uwe mkavu na utumie crim ya kurutubisha mwili unatumia kwa wiki mara 1

Related Posts
SHARE
Subscribe to get free updates

Related Posts

Chapisha Maoni

Post Central Advertising