Zifwatazo ni baadhi ya sababu ambazo zinafanya wanawake mnawachosha waume zenu na kukosa mambo mazuri au kupungua kutoka kwao
- 🍌Kujiachia kiholelaholela,Hili ni tatizo moja wapo ambalo wengi wenu hamlitambui mnakuta mambo ni sawa tu ila linakera sana kwa bby zenu,mtu unajiachia kufua hufui kwa makini,kuoga ni mara mbili kwa cku,dera unalo safishia nyumba na kupikia ni hilo mpaka muda wa kuenda kitandani wanuka shombo papa kurudi nyuma hapo unafikiri mumeo kweli atakuwa na hamu kama ile ya zamani ulipo kuwa ukijirembesha vyema hadi akikuona tu mkoko ushafura?Usafi ni muhimu kina dada muwe na mvuto wa kipekee muache uvivu wa kufua na kuoga ili waume zenu wawe na hamu na nyinyi kila wakati mpoo
- 🍌Maneno machafu; Maneno machafu yasiokuwa na hekma kwa mume ni sumu kali ya mahaba kwa mume wako hujui bby wako alipitia mangapi ya kumuudhi huko mishe mishe zake tulizo lake ni ww bibie badala ya kumliwaza ndo unazidi kumtia stress kwa kumfokea na kumkejeli kwa kweli kama una tabia hiyo utalia sana ilhali makosa unayo mwenyewe
- 🍌Ukosefu wa subra; Wanawake wengi mnakosa subra kwa waume zenu anapo kosa kidogo tu labda leo amekosa rizki mtoto wa watu atatamani ardhi ipasuke aingie kwa maneno atakayo rushiwa hapo ooh mwanaume gani ww huna lolote mwanaume suruali,ukipiga kimoja ushalala,hunifikishi mahali popote wewe ,shida tuu chungu nzima daah wee hujui kama kuna kupata na kupata ?Jambo hili linapunguza upendo kwa mumeo cku akikupanda atakuwa hana ule morali wa kutafuna kitumbua hadi ukasema basi badilika dadangu ufaidi matamu kwa mumeo hata kama mmelala na chai kwa bofulo na nyoyo zikaridhika mtabinyuana vizuri sana
- 🍌Ukosefu wa ubunifu kitandani; Wengi wenu ni mbwembwe tu mtoto wa kike unapendeza vizuri,maneno mazuri, umbo zuri lakini kwenye zoezi zima la kupinduana wewe ni zero yaani sifuri haswaa hata uguswe wapi hutingishiki wala kusema ooooiiisshhh ukilala kifo cha mende basi mpaka uambiwe haya tushamaliza dadangu hapo kama mm Abuu Abdallah nakwambia kabisaa unaniboa kimya kwani wee bubu hutingishiki kwani wee gogo?Kuweni makini sana kwenye ndoa zenu Abuu Abdallah niishie hapa kwa sasa ila habari ndo hiyo 🍌🍌🍌*
COMMENTS