MWANAMKE IJENGE NDOA YAKO | BongoLife

MWANAMKE IJENGE NDOA YAKO

*Darasa la mapenzi na ndoa* 
💞💞💞
Mwanamke unatakiwa uwe mbunifu katika nyumba yako, wewe unapokuwa au kurudi nyumbani, hakikisha Mume akirudi akukute upo safi na upo tayari kwa mchezo

                              💞💞💞

Ufanye uradi wako kumsinga bwana, kwani singo huamsha hisia sana za mapenzi, kwani misuli ikisuguliwa damu hutembea kwa kasi kubwa na kuifanya itume haraka mawasiliano katika ubongo na katika uume! 

💞💞💞

Pia harufu ya Msio itamburudisha bwana/mume sana. Ukifanya hivyo itamfanya Mwanamme ahemkwe na uchu umuingie atake kufanya tendo la ndoa.

                             💞💞💞

Yaani Mwanamke unapotoka kuoga usiku na mapema, tafadhali jipodoe uwezavyo kama unataka kwenda harusini au katika shughuli pambe, kisha vaa nguo nyepesi kama kanga moja au Night dress inayoonesha hadi ndani! Wakati huo usivae chupi kabisa

💞💞💞

Hakikisha shanga au cheni zako kutegemea na uwezo wa mtu, zisikosekane kiunoni, kwani kiuno kisishovaliwa shanga, au cheni huwa hakivutii kukishika!

                              💞💞💞

Pia hakikisha chumba chako kiwe safi kimetandikwa shuka ya gharama, chumba kinanukia uturi, mtoto wa kike ushakula vitu vyako macho yasharembuka kabla bwana hajaingia home, Yaani upo jicho nyanya!

💞💞💞

Amini akija akikukuta hivyo hakuachi asilani abadani. Atataka mambo umpe hata kama amechoka!

                       💞💞💞

Kwani wanaume wanaotoka nje ya ndoa/wenza wao, huko nje wanakutana na wezi wa waume za watu wakiwa na mbinu hizi, sasa ni bora ukazifanya wewe ili kumdhibiti mumeo! 

💞💞💞

Sasa mume/Bwana anarudi kazini labda saa nne usiku, anakukuta bado hujaoga, akikuuliza “Umeshaoga?” Unamwambia eti “Nimeoga jioni hii hii!!!” Wakati umeoga tangu saa tisa alasiri. 

                              💞💞💞

Wewe tangu ulipoamka asubuhi, ulichojua ni kupiga mswaki ukanawa uso, ukaanza na chai na mambo yako mengine! Mbaya zaidi hata mavazi yako, bado umeng’ang’ania makanga yako, midira au suruali toka asubuhi, unanuka jasho upo ovyo, 

💞💞💞

Nywele timtim hayo matamanio huyo bwana yatatoka wapi? Chakula kizuri humvutia mlaji kwa kukitazama tu, kikamtamanisha ndiyo akakila, zinduka mwana ndoa/mahusiano!

                            💞💞💞

Jizoeshe kumnyoa Mavuzi mpenzi wako, kwani unakaa na Mume, wewe hujawahi kumnyoa hata siku moja, lakini huyaoni Mavuzi kwa mpenzi wako, basi tambua yupo anaemnyoa!

💞💞💞

Hakikisha usiku umepiga Me mswaki kabla ya kulala, hata ukimpa ulimi bwana anaupokea tena ukiwa safi, lakini kinywa kinachopigwa mswaki mara moja, tena husugui ulimi, wala kaa la juu la mdomo, wewe umeng’ang’ana na meno ya mbele na magego umemaliza! Hee, huo mdomo utanuka, kisha utasema mie mtu wangu hapendi kabisa kula denda! Aaa wapi denda anakula nje huyo, badilika mwanamke! 

                           💞💞💞

Au mwanamke unavaa chupi moja siku nzima, mbili au tatu, ukienda kunawa huko chini hujisafishi unasugua mashavu ya uke tu, kisha unataka unyonywe uke, weeeee nani unataka kumuumiza koo lake umpe fangasi?! 

💞💞💞

Mwanamke wakati wa majambo acha kutumia kitanda peke yake kufanyia tendo la ndoa, utamchosha huyo mwanaume! Tena wewe unajua kulala chali tu, ukijitahidi sana umebadilisha Style unalala ubavu, umemaliza kabisa ndiyo umemkalia juu bwana!

                              💞💞💞

 Hebu kifanye chumba kizima ni sehemu ya mapenzi, yaani wewe kuwa mwehu wa mapenzi, fanya ngono chini, kitini, bafuni, sebuleni, wima, jikoni, shika ukutani, kaa mkao wa kiduku, inama, ilimradi fanya mapenzi kila penye faragha! 

💞💞💞

Hapo mwanamke nyonga ndiyo mahala pake, nyonga minyato nyonga kasi, Tena usiwe bubu katika jambo hilo! Zungumza, Lia mtoto wa kike, legea, nyegezeka, badilisha sauti hiyo, mtazame usoni mwenzio kwa jicho la mahaba, kataa kufumba macho utawaza vitu vingine bure! 

                              💞💞💞

Muulie “Vipi Honey unaenjoi kama mimi? Nambie nikupe nini, nambie mpenzi wangu nikuridhishe, Niambie nikaeje unavyopenda wewe?” Hapo utamsikia mwanaume anakujibu, “Naridhika mpenzi, tena kuliko wewe unavyoinjoi, sikuachi mpenzi wangu raha hizi nitazipata wapi mie?!” 

💞💞💞

Sasa wewe fanya haya kisha huyo mwanaume wako atoke nje, thubutu miaka mia nane, hatoki nje! Vitu vyake sanjari na pesa, utazizoa, mshahara utaweka wewe, na matumizi utapanga wewe! 

                              💞💞💞

Lakini ukisema aende tu huko nje, hapa atakuja kulala, unabweteka kisa eti umeolewa, au ushavishwa pete! Weee haya weee wacha wanawake wenzako wamfaidi huyo bwana, mwisho aje kuhamisha mashati na suruali ahamishie nyumba ndogo huku akikunanga!

💞💞💞

Mwanamke unapomaliza majambo na mwenzio, hakikisha unamfuta vizuri, huku unampa pole, na hongera kwa kukojoa! Mbusu mdomoni, mbusu mashavuni, mbusu kwenye paji la uso! Kwa kufanya vivyo, utakuwa umejenga ngome imara sana

                              💞💞💞

 *Heheeeeeeeeee halooooooooo*

Asante😘

COMMENTS

BLOGGER

VISA NA MIKASA $type=THREE

Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,171,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,11,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,212,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,126,FIFA.com - Latest News,18,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,MPENZI CHEUPE | WHITE LOVER.,8,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,209,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,USO WA FEDHA | FACE OF MONEY,35,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,7,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MWANAMKE IJENGE NDOA YAKO
MWANAMKE IJENGE NDOA YAKO
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/mwanamke-ijenge-ndoa-yako.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/mwanamke-ijenge-ndoa-yako.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content