MICHEZO YA MKE NA MUME NDANI YA NDOA

MICHEZO YA MKE NA MUME NDANI YA NDOA

*Tufaham kuwa tukitaka kuifanya ndoa yetu iwe na  mapenzi zaidi ni kuwa karibu na wenzetu wa ndoa kimapenzi*

*Na ukitaka kumteka mwenza wako akili awe kila siku ywakuwaza basi mfanyie vitendo vya kimapenzi.*

*Ifuatayo ni michezo ya kimapenzi unayoweza mkacheza wewe na mwenza wako mkiwa nyumbani kweni*πŸ’žπŸ’žπŸ’ž


*πŸ’žπŸ’žπŸ’žMCHEZO NO. 1*

*Kwanza naanza polepole  ni mchezo wa kurushiana mito kwa mume na mke kuweza kuwachangamsha yote wawili. mnakuwa pamoja , mmoja wenu anakuwa mbali kidogo ila humo humo ndani yaani chumbani. utaanza kumchokoza kwa kuanza kwa kumrushia mto unafanya kama unampiga hivi na wewe anakuregeshea ila msiwe mmenuna, muwe mnacheka*πŸ’žπŸ’žπŸ’ž


πŸ’žπŸ’žπŸ’ž *MCHEZO NO 2*

*Mkiwa mmekaa pamoja mmoja wenu anachukua kitu kama pesa, anakificha kwa mkono mmoja na mwengine anakagua mkono kilichofichwa kitu hicho na akipata anapigwa mabusu matatu na akikosa anapiga yeye.*πŸ’žπŸ’žπŸ’ž


πŸ’žπŸ’žπŸ’ž *MCHEZO NO. 3*

*Mchezo wa kuogeshana bafuni na kugombaniana maji, mchezo huu ametusimulia mama wa waumini Aisha radhwiya Allaahu anha kuwa alikuwa akifanya mchezo huu na mtume wa Allah.swallah Allaahu allayhi wasalam wakienda kuoga hivyo nasi tuufanya mchezo huu wa kugombaniana maji na sabuni na kuogeshana na huku mkikumbatiana bafuni, mke jitahidi maji uyatie udi, asumini, mawaridhi, na manukato yoyote ili maji yanukie.*πŸ’žπŸ’žπŸ’ž


 πŸ’žπŸ’žπŸ’ž *MCHEZO NO. 4*

*Mchezo huu ni wa hapo hapo ukitoka bafu umamuambia mwenzko njoo nikubebe, au mnabebana kwa zamu, mnabebana hadi chumbani kisha unamtupa mwenzio kitandani, unambeba mwenzio huku unamtania tania kama unataka kumuangusha vile. mkishatupata kitandani hapo unamkiss  kwa kumpa akhsante mume wangu au akhsante mke wangu. kisha mnafutana maji na kupakama mafuta na kuvalishana nguo*πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž *UKIYAPENDA YACHUKUE KAMA YALIVO*πŸ’žπŸ’ž

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,151,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,203,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,114,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,12,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,208,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,40,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MICHEZO YA MKE NA MUME NDANI YA NDOA
MICHEZO YA MKE NA MUME NDANI YA NDOA
https://lh3.googleusercontent.com/-23Lv83rqb-8/XKz49i_LJnI/AAAAAAAACY0/6xMU0XAOlCcseaQdYyMksYXL1XIxOTikwCLcBGAs/IMG_1839.JPG
https://lh3.googleusercontent.com/-23Lv83rqb-8/XKz49i_LJnI/AAAAAAAACY0/6xMU0XAOlCcseaQdYyMksYXL1XIxOTikwCLcBGAs/s72-c/IMG_1839.JPG
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/michezo-ya-mke-na-mume-ndani-ya-ndoa.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/michezo-ya-mke-na-mume-ndani-ya-ndoa.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content