MAPISHI YA KUPIKA SWISS ROLL

SWISS ROLL

SWISS ROLL

MAHITAJI YA KUPIKA SWISS ROLL
  • Mayai 7
  • Mafuta vijiko 6 tbs
  • Vinegar kijiko 1 tbs
  • Unga kikombe 1 na robo
  • Maziwa 1/3 cup
  • Sukari vijiko 11 tbs
  • Vanilla
  • Chumvi nusu kijiko cha chai.

JINSI YA KUPIKA SWISS ROLL

Vunja mayai halafu yatenganishe kiini na ute mbali mbali. Yapige viini vya mayai halafu tia maziwa,  tia chumvi na vanilla changanya vyote mpaka viwe kitu kimoja halafu tia unga changanya uzuri. Kwenye bakuli jengine changanya vinegar na ule ute wa mayai yapige kwa mashine kwa high speed mpaka ufanye mapovu halafu tia sukari kidogo kidogo mpaka umalize endelea kupiga kwa mashine mpaka iwe nyeupe yote ( meringue) halafu chukua kidogo changanya na ville viini vya mayai mpaka ichanganyike halafu mimina ule mchanganyiko kwenye ule ute halafu changanya uzuri sana mpaka iwe kitu kimoja,  halafu weka parchment paper kwenye tray ipake mafuta mimina kwenye tray kama unataka kutia rangi au plain halafu tia ndani ya oven kama dakika 20 au chini ya hapo. Ikiwa tayari itoe kwenye oven halafu itowe kwenye tray wakati iko moto itoe karatasi  uliyotia chini halafu weka karatasi nyengine uiroll kabla haijapoa ipe dakika tatu nne hivi ifungue itie unachotaka mimi nimetia jam, iwache ipoe halafu ikatekate tayari kuliwa. 

MAPISHI YA KUPIKA SWISS ROLL Bongo Life 5 of 5
SWISS ROLL MAHITAJI YA KUPIKA SWISS ROLL Mayai 7 Mafuta vijiko 6 tbs Vinegar kijiko 1 tbs Unga kikombe 1 na robo Maziwa 1/3 cup Sukari vijik...
https://lh3.googleusercontent.com/-WaAXxyBVYoI/XKu8X2KyagI/AAAAAAAACYE/qdewxLwhQLsvyIfN_BAZXSz4PnDPJ5WbwCLcBGAs/IMG_1839.JPG MAPISHI YA KUPIKA SWISS ROLL

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Afya Yako,115,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,11,biashara mtandaoni,1,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,141,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,103,FIFA.com - Latest News,6,Hadithi,73,HALIMA,2,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,14,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MAPISHI YA KUPIKA SWISS ROLL
MAPISHI YA KUPIKA SWISS ROLL
https://lh3.googleusercontent.com/-WaAXxyBVYoI/XKu8X2KyagI/AAAAAAAACYE/qdewxLwhQLsvyIfN_BAZXSz4PnDPJ5WbwCLcBGAs/IMG_1839.JPG
https://lh3.googleusercontent.com/-WaAXxyBVYoI/XKu8X2KyagI/AAAAAAAACYE/qdewxLwhQLsvyIfN_BAZXSz4PnDPJ5WbwCLcBGAs/s72-c/IMG_1839.JPG
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-swiss-roll.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-swiss-roll.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy