MAPISHI YA KUPIKA KEKI YA CHOKOLETI ILIYOKOZA

KEKI YA CHOKOLETI ILIYOKOZA


MAPISHI YA KUPIKA KEKI

MAHITAJI YA KUPIKA KEKI YA CHOKOLETI ILIYOKOZA


 • Maji yaliyochemka -  2 Vikombe vya chai 
 • Unga wa kaukau (cocoa powder) -  1 Kikombe 
 • Unga -  2 ¾ Vikombe 
 • Baking soda - 2 Vijiko vya chai 
 • Baking powder -  ½ Kijiko cha chai 
 • Chumvi -  ½ Kijiko cha chai 
 • Siagi iliyolainika - 1 Kikombe 
 • Sukari -  2 ¼ Vikombe 
 • Mayai -  4 
 • Vanilla -   1 ½ Kijiko cha chai  

JINSI YA KUPIKA KEKI YA CHOKOLETI ILIYOKOZA


 1. Washa oveni moto wa 350° F. Kisha paka siagi/mafuta treya ya kuchomea keki.
 2. Katika bakuli la kiasi, mimina yale maji ya moto yaliyochemka juu ya unga wa kaukau (cocoa powder), na uchanganye (kwa whisking spoon) hadi ilainike, kisha iyache ipoe.
 3. Kwenye bakuli la kiasi, chunga pamoja unga, baking soda, baking powder na chumvi na uweke kando.
 4. Katika bakuli la mashine, changanya (cream) siagi na sukari pamoja mpaka ilainike vizuri.
 5. Kisha tia yai moja baada ya jengine huku unaendelea kuchanganya, halafu tia vanilla, kisha tia mchanganyiko wa unga halafu tia ule mchanganyiko wa kaukau ulouweka kando.
 6. Mimina kwenye treya ya kuchomea keki na uvumbike (bake) kwenye oveni kwa muda wa dakika 25 – 30.
 7. Iache ipoe halafu itayarishie malai ya chokoleti (cream chocolate).   
 8. Vipimo Vya Malai Ya Chokoleti (cream chocolate) 
 9. Siagi -  ¼ Kikombe 
 10. Sukari laini (icing sugar) -  1 Kikombe 
 11. Unga wa kaukau (cocoa powder) -  1 Kijiko cha supu 
 12. Maji ya moto -  2 Vijiko vya supu 
 13. Namna Ya Kutayarisha  
 14. Katika bakuli la mashine, changanya vipimo vyote hadi ilainike vizuri. Unaweza kuongeza maji ikiwa mchanganyiko ni mzito sana.
 15. Kisha unapaka juu ya keki iliyopoa kwa kutumia kisu cha siagi au mwiko uliobapa (flat).
 16. Kisha tia mchanganyiko wa malai ya sukari kiasi katika mirija/nozeli (icing tube/icing nozzle) ili itoe usanifu (design) juu ya keki kama ilivo kwenye picha hapo juu au upendavyo.  Kata vipande saizi upendayo.

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,151,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,203,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,114,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,12,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,208,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,40,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MAPISHI YA KUPIKA KEKI YA CHOKOLETI ILIYOKOZA
MAPISHI YA KUPIKA KEKI YA CHOKOLETI ILIYOKOZA
Mapishi rahisi ya jinsi ya kupika keki ya chokoleti ambayo imekoa vizuri
https://lh3.googleusercontent.com/-UVXsqBsIWiU/XKxXre1YUII/AAAAAAAACYc/eyQGyJfarfINelWd2J4zgDXWMi4uv-CnQCLcBGAs/IMG_1839.JPG
https://lh3.googleusercontent.com/-UVXsqBsIWiU/XKxXre1YUII/AAAAAAAACYc/eyQGyJfarfINelWd2J4zgDXWMi4uv-CnQCLcBGAs/s72-c/IMG_1839.JPG
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-keki-ya-chokoleti.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-keki-ya-chokoleti.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content