MAPISHI YA KUPIKA KASHATA ZA NJUGU

KASHATA ZA NJUGU

KASHATA ZA NJUGU

MAHITAJI YA KUPIKA KASHATA ZA NJUGU
  • Njugu           1kg=8cup
  • Sukari           1/2kg=3cup
  • Custard        1tbsp
  • Zabibu nyekundu 1/3cup 
  • Tangawizi    1/2tsp
  • Hiliki             1/2tsp
  • Vanilla ya unga   1/2tsp
  • Maziwa ya unga   1/3cup
  • Maji                        6cup
  • Kungu manga 2

JINSI YA KUPIKA KASHATA ZA NJUGU

1. Zichague njugu zako uzitoe uchafu na mawe kama unavochagua maharage

2.Zichome njugu zako kwa moto wa  150 kwa mda wa  dakika 45 mpaka unahakikisha zimekua light brown not dark brown zikawa chungu 

3.Zichambue maganda njugu zako zote zisiwe na maganda 

4.Zisage kwa kinu cha blenda unga usiwe mlaini sana wala mgumu sana uwe na chenga chenga 

5. Chukua zabibu zako zikate ziwe ndogo ndogo , bandua na  kungu manga uitwange vizuri 

6. Chukua unga wako wa  njugu changanya na maziwa,custard,zabibu ulizozikata,Tangawizi,hiliki,vanilla na kungu manga ilosagwa vichanganye vizur unga usiwe na madong donge

7. Chukua dishi lako tia maji pamoja na sukar ueke shira yako iache shira ijipike mpaka ianze kunata ukiigusa inakuganda mkononi (NB usiiharakize shira ikawa nyepes sana ) hakikisha imeanza kuwa nzito kidogo

8. Wakati shira inachemka anza kuandaa kibao chako cha kukatia kashata , kibao kipake mafuta au siagi kidogo , kifimbo pia kipake na kisu utachokatia kashata pia kipake 

9.Wakat shira yako ipo  Tayari mimina ule mchanganyiko wako was  unga wa njugu kwenye shira yako isonge kama unavosonga sembe hakikisha unasonga vizur hubakishi mabuje , wakat ukisonga ukiona unga umeshikana umekua donge na ukilisonga linafanya kama kunyanyuka ujue tayr kwa kutolewa .

Utatoa donge lako utamimina kweny kibao chako utaanza kusukuma mpaka iwe  smooth halaf unaanza kukata vipande unavyotaka 

N.B  kwa kutumia vipimo ivo unapata kashata vipande vikubwa 50 au vidoogo 100

ENJOY🥰

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,151,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,203,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,114,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,12,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,208,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,40,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MAPISHI YA KUPIKA KASHATA ZA NJUGU
MAPISHI YA KUPIKA KASHATA ZA NJUGU
https://lh3.googleusercontent.com/-WDJ_ObA8W74/XKuwtnV4RhI/AAAAAAAACXI/qL4_DVDXBwcNhEszo8_P2M9nzLuNszI2QCLcBGAs/IMG_1839.JPG
https://lh3.googleusercontent.com/-WDJ_ObA8W74/XKuwtnV4RhI/AAAAAAAACXI/qL4_DVDXBwcNhEszo8_P2M9nzLuNszI2QCLcBGAs/s72-c/IMG_1839.JPG
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-kashata-za-njugu.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-kashata-za-njugu.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content