MAPISHI YA KUPIKA KABABS ZA KUKU NA MAYAI

KABABS ZA KUKU NA MAYAI

KABABS ZA KUKU NA MAYAI

MAHITAJI YA KUPIKA KABABS ZA KUKU NA MAYAI
 • Minofu ya kuku ½ kilo (changanya kidali na paja)
 • Kitunguu maji 1, kata vipande vidogo
 • Bizari nyembamba ya unga kijiko 1 cha chai
 • Giligilani ya unga ½ kijiko cha chai
 • Pilipili manga ya unga ¼ kijiko cha chai
 • Garam masala kijiko 1 cha chai
 • Limao kijiko 1 cha chai
 • Pilipili ndefu 3
 • Giligiliani za majani vijiko 4 cha chai
 • Tangawizi kijiko 1 cha chai
 • Kitunguu saumu kijiko 1 cha chai
 • Yai 1
 • Viungo vya kuku – chagua unavyopenda
 • Cheese iliyokwanguliwa vijiko 2 vya chakula
 • Mafuta ya kula
 • Mint fresh kijiko 1 cha chakula
 • Chumvi kijiko 1 cha chai

JINSI YA KUPIKA KABABS ZA KUKU NA MAYAI

 1. Kwa matokeo mazuri ya kababs changanya minofu itokayo kwenye kidali na paja la kuku. Hizi nyama zina kiwango kidogo cha mafuta ambayo yatatoa nyama iliyonona zaidi.
 2. Kama unatumia vijiti vya mbao kuandaa hizi kababs ni vizuri kuziloweka kwenye maji kwa muda wa masaa 2 hadi 3 ili kuzuia zisiungue wakati wa kuchoma kababs.
 3. Safisha nyama ya kuku kisha kausha maji. Kama nyama haina mafuta unaweza kuongeza kijiko 1 cha siagi (butter) kwenye nyama.
 4. Menya kitunguu na kisha saga kwenye mashine ya kusagia chakula (blender), saga kiasi lakini kisilainike sana. Toa kitunguu, chuja maji yote kisha rudishia kwenye blender. Weka pilipili, majani ya giligiliani, mnanaa (mint), chumvi, tangawizi, kitunguu saumu, bizari nyembamba, pilipili manga, garam masala, limao, giligilani ya unga na viungo vya kuku. Saga mchanganyiko ili uchanganyikane vizuri ila usisage kupita kiasi ili ubaki na minofu ya kuku kwa mbali.Weka mchanganyiko kwenye bakuli safi. Pasua yai, koroga pembeni. Mimina kidogo kidogo kwenye bakuli yenye mchanganyiko wa nyama  huku ukiwa unakoroga. Mchanganyiko ukianza kuwa mwepesi acha kuweka yai.Kwangua cheese na weka kwenye mchanganyiko ili kuongeza ladha. Funika bakuli, weka kwenye jokofu kwa muda usiopungua masaa 2 ili viungo vipate kufanya kazi yake na mchanganyiko ushikane ili iwe rahisi kutengeneza umbo unalotaka.Ukiwa unahitaji kupika, tengeneza maumbo unayopendelea – mipira, au kama umbo la sausage kwenye mti wa mshikaki. Hakikisha una maji pembeni, osha mikono, chovya kwenye maji kiasi na kisha tengeneza umbo unalohitaji.
 5. Unaweza kupika hizi kababs kwenye oven au kwenye kikaango cha kawaida. Kama unatumia oven, washa oven kwenye nyuzijoto 200°C na acha ipate moto vizuri. Panga kababs kwenye waya wa kuchomea, kisha weka kwenye oven kwa muda wa dakika 10. Kama oven haitoi joto sawia, geuza mara kwa mara ili kababs ziive vizuri.Kama unatumia kikaango. Paka mafuta (mfano: siagi) kwenye kikaango, ikipata moto vizuri panga kabab na pika kwa dakika 10 au zaidi. Pika huku ukigeuza kila upande kuhakikisha zinaiva na kupata  rangi ya kahawia.
 6. Epua, hakikisha kababs zimeiva vizuri na ujirambe.

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,151,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,203,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,114,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,12,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,208,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,40,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MAPISHI YA KUPIKA KABABS ZA KUKU NA MAYAI
MAPISHI YA KUPIKA KABABS ZA KUKU NA MAYAI
https://lh3.googleusercontent.com/-Da_kkWpGO44/XKyYd_MiIKI/AAAAAAAACYo/a-afFmKFWgwffiNJdlBu7l2NKYb90H1WACLcBGAs/IMG_1839.JPG
https://lh3.googleusercontent.com/-Da_kkWpGO44/XKyYd_MiIKI/AAAAAAAACYo/a-afFmKFWgwffiNJdlBu7l2NKYb90H1WACLcBGAs/s72-c/IMG_1839.JPG
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-kababs-za-kuku-na.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-kababs-za-kuku-na.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content