MAPISHI YA KUPIKA JICHO LA NGAMIA

JICHO LA NGAMIA  


MAHITAJI YA KUPIKA  JICHO LA NGAMIA

 • Unga ngano mweupe - vikombe 2 ½
 • Unga wa mahindi (sembe) - kikombe 1
 • Sukari laini kabisa (isage) - kikombe 1
 • Baking powder - kijiko cha chai ½
 • Siagi laini  - gms 250
 • Mayai - 2
 • Vanilla - kijiko cha chai 1
 • Chumvi  -  chembe 
 • Unahitaji kuwa na mashine hasa ya kupikia biskuti hizi za jicho la ngamia 


JINSI YA KUPIKA JICHO LA NGAMIA

1. Changanya vizuri siagi, sukari kwa mchapo wa mkono kisha changanya mayai. 


2. Tia pole pole unga na vilobakia uchanganye vizuri. Mchanganyiko usiwe laini sana yaani usiwe maji maji. 


3. Washa mashine ishike moto. 


4. Kisha fanya vidonge vya round vidogodogo. 


5. Weka vidonge katika mashine ya Jicho la Ngamia.  


6. Funika upike kiasi ya dakika 10 au chini yake.  


7. Tumia kijiti kirefu cha mishkaki kutolea. Epua vibiskuti.  


8. Rudia kumalizia kupika vidonge vyote. 


9. Vikishapoa, jaza baina ya biskuti mbili kwa caramel au tofi ugandishe. 


CARAMEL AU TOFI ZINAPATIKANA KATIKA VIUNGO VIFUATAVYO:

 • *•Utengenezaji Wa Caramel Ya Sukari Na Maziwa ya Malai Whipping Cream. 
 • *• Utengenezaji Wa Caramel Au Tofi Kwa Maziwa Mazito. 


10. Pangusa caramel iliyozidi kisha viweke kila kimoja katika kijikaratasi chake na upange katika sahani ya kupakulia. 


11. Ukipenda saga aina za njugu unyunyize pembezoni.  


VIDOKEZO  
1. Andaa caramel mapema kabla ya vibiskuti ipate kupoa. 
2. Unaweza kutumia sosi ya tayari inayouzwa katika chupa mfano ‘nutella’ badala ya kuandaa caramel. 
3. Ukipenda kuzifanya za rangi mbali mbali  au za chokoleti, basi gawa unga usarifu upendavyo. 
4. Caramel hizo za kuandaa mwenyewe unaweza kutumilia katika mapishi mengineyo kama keki, biscuit, kaimati, sharbaat n.k  
MAHITAJI YA KUPIKA CARAMEL
 • Sukari ya brown (brown sugar) - 100 gms
 • Siagi - 100 gms
 • Cream au maziwa mazito -100 ml 

JINSI YA KUPIKA CARAMEL 

1. Weka siagi na sukari katika sufuria ndogo au frying pan, weka katika moto ukoroge mpaka siagi na sukari iyayuke. Isiungue.  


2. Tia maziwa ya cream uendeleze katika moto itatoa povu, changanya na koroga vizuri usiache mkono. 


3. Epua ikiwa tayari ihifadhi katika chupa ya glass. COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,151,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,203,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,114,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,12,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,208,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,40,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MAPISHI YA KUPIKA JICHO LA NGAMIA
MAPISHI YA KUPIKA JICHO LA NGAMIA
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-jicho-la-ngamia.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-jicho-la-ngamia.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content