MAPISHI YA KUPIKA EGG ROLL

Hii inaitwa Egg roll, ni rahisi kutengeneza na ni tamu sana unaweza jaribu pia.

EGG ROLL

MAHITAJI YA KUPIKA EGG ROLL:


 • Mayai unayopenda kulingana na familia yako (mimi hutumia mayai 4-5) 
 • Maziwa kiasi kama vijiko vya chakula sita hivi
 • Carrot moja size ya kati
 • Kitunguu maji
 • Majani ya vitunguu  ( siyajui yanaitwaje anaejua anaweza nisaidia)
 • Soseji moja (hii ukipenda si lazima)
 • Chumvi
 • Mafuta kiasi
 • Hoho nyekundu (kama unayo nayo si lazima)

EGG ROLL

JINSI YA KUPIKA EGG ROLL


 1. Katakata carrot, kitunguu,majani ya kitunguu na soseji yako kama unayo ( soseji si lazima ila ivo vingine ni lazima), hakikisha umekata muundo unaofanana kwa vyote na mikato iwe midogomidogo sana usikate size kubwa. Chukua bakuli yako pasua mayai yako na changanya viuongo ulivyoka ktk bakuli ya mayai, koroga then weka maziwa na chumvi yako changanya mchanganyiko wako vizuri hakikisha ule ute hauonekani.
 2.  Chukua frying pan yako weka jikoni hakikisha moto si mkali na weka mafuta yako ktk pan yako kisha chukua kijiko kikubwa kile cha kupakulia mboga chota mchanganyiko wako weka katka pan acha mda kidogo kama unakaanga yai kisha kunja kidogo kidogo kama picha inavoonyesha hapo chini, ukishamaliza kukunja sukuma kwa nyuma na weka mafuta kidogo tena kwa mbele kisha weka tena mchanganyiko wako fanya ivo mpaka umalize. Nimeweka picha hizo hapo chini jinsi ya kukunja na kuongeza. Ukishamaliza weka kwa sahani kata vipande kama ivo. Asanteni.

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,151,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,203,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,114,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,12,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,208,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,40,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MAPISHI YA KUPIKA EGG ROLL
MAPISHI YA KUPIKA EGG ROLL
https://lh3.googleusercontent.com/-ZZuVIdbIT9U/XL1vaDdiRRI/AAAAAAAACeM/xACYg2CcQc4zQfWRxeTbKVWXK4tBsoyTgCLcBGAs/IMG_1839.JPG
https://lh3.googleusercontent.com/-ZZuVIdbIT9U/XL1vaDdiRRI/AAAAAAAACeM/xACYg2CcQc4zQfWRxeTbKVWXK4tBsoyTgCLcBGAs/s72-c/IMG_1839.JPG
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-egg-roll.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-egg-roll.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content