MAPISHI YA KUPIKA DONUTS ZA ILIKI NA MDALASINI

DONUTS ZA ILIKI NA MDALASINI

DONUTS ZA ILIKI NA MDALASINI

MAHITAJI YA KUPIKA DONUTS ZA ILIKI NA MDALASINI
 • Unga wa ngano kikombe 1
 • Maziwa ya Unga 3 tbsp 
 • Yai 1
 • Siagi 2 tbsp 
 • Plain yoghurt (mtindi ) 1 tbsp 
 • Sukari 1 tbsp 
 • Chumvi kidogo 
 • Arki ya vanilla /Vanilla extract  1 tbsp 
 • Baking powder 1 tsp
 • Hamira 1 tsp 
 • Iliki ya unga 1tsp
 • Mdalasini wa unga 1  tsp

JINSI YA KUPIKA DONUTS ZA ILIKI NA MDALASINI

 1. Changanya vitu vyote ivo kwa kutumia maji, mpaka unga uwe unashikana kama wa maandazi, ukande kiasi, uwache uumuke 
 2. Ukishaumuka ugawe madonge mawili, sukuma kama chapati donge moja moja, ila liwe nene sio jembamba kama chapati, tumia donut cutter kukatia donut au tumia glass na kifuniko cha chupa kukatia shape ya donut, 
 3. Teleka mafuta ya kupikia (deep) kwa moto wa kiasi,mafuta yakipata moto zichome moto ziwive na viwe brown pande zote, zitoe na ziweke sehem zitoke mafuta na zipoe 
 4. Sukari nusu kikombe - kikombe 1
 5. Iliki ya unga 1 tsp
 6. Mdalasi wa unga 1 tsp 
 7. Changanya sukari, Iliki na mdalasini saga mpaka vyote viwe vilaini, 
 8. Chukua donuts zieneze sukari zote, weka kwa chombo na ENJOY. 

Usiwe mchoyo share na wengine


MAPISHI YA KUPIKA DONUTS ZA ILIKI NA MDALASINI Bongo Life 5 of 5
DONUTS ZA ILIKI NA MDALASINI MAHITAJI YA KUPIKA DONUTS ZA ILIKI NA MDALASINI Unga wa ngano kikombe 1 Maziwa ya Unga 3 tbsp  Yai 1 Siagi 2 tb...
https://lh3.googleusercontent.com/-VUzIkQ7VXs8/XL1yDzbPvUI/AAAAAAAACes/UWwjba7hxugJjfeUu473iddkHsGgaUhIACLcBGAs/IMG_1839.JPG MAPISHI YA KUPIKA DONUTS ZA ILIKI NA MDALASINI

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Afya Yako,115,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,11,biashara mtandaoni,1,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,141,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,103,FIFA.com - Latest News,6,Hadithi,73,HALIMA,2,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,14,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MAPISHI YA KUPIKA DONUTS ZA ILIKI NA MDALASINI
MAPISHI YA KUPIKA DONUTS ZA ILIKI NA MDALASINI
https://lh3.googleusercontent.com/-VUzIkQ7VXs8/XL1yDzbPvUI/AAAAAAAACes/UWwjba7hxugJjfeUu473iddkHsGgaUhIACLcBGAs/IMG_1839.JPG
https://lh3.googleusercontent.com/-VUzIkQ7VXs8/XL1yDzbPvUI/AAAAAAAACes/UWwjba7hxugJjfeUu473iddkHsGgaUhIACLcBGAs/s72-c/IMG_1839.JPG
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-donuts-za-iliki-na.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-donuts-za-iliki-na.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy