MAPISHI YA KUPIKA COOKIE ZA TAMBI | BongoLife

MAPISHI YA KUPIKA COOKIE ZA TAMBI

Cookie Za Tambi Za Kukaanga Kwa Lozi Na Zabibu

COOKIE ZA TAMBI

MAHITAJI YA KUPIKA COOKIE ZA TAMBI ZA KUKAANGA KWA LOZI NA ZABIBU
 • Tambi nyembamba za brown - 2 paket
 • Siagi - 4 Vijiko vya supu
 • Maziwa mazito (condensed milk) - 300 ml
 • Lozi zilomenywa na kukatwa nyembamba - 1 kikombe
 • Zabibu kavu - 1 kikombe
 • Arki ya rosi (rose essence) - 1 kijiko cha chai

JINSI YA KUPIKA COOKIE ZA TAMBI

 1. Weka karai katika moto tia siagi iyayuke
 2. Vunjavunja tambi kisha zikaange bila ya kuachia mkono, mpaka zigeuke rangi ya hudhurungi (golden brown)
 3. Tia lozi na zabibu
 4. Tia maziwa mzito (condensed milk) na arki ya rosi endelea kuchanganya
 5. Zima jiko kisha teka kikombe kidogo cha kahawa ya Kiarabu ujaze nusu ya kikombe.
 6. Weka katika sahani nzuri ya kupakulia
 7. Endelea kuteka na kuweka katika sahani mpaka mchanganyiko umalizike.

COMMENTS

BLOGGER: 1
 1. KUNAFA
  Tambi za kunafa (ziko laini na maji maji )ukikosa tumia tambi za kufanyia vileja va tambi.
  Karot 1 kubwa zipare kama chipsi
  condensed milk nusu kibati
  Nesta cream 1
  siagi au samli vijiko 5
  pistachio zakiasi zisage
  shiraa uzuri ukipika tia ndim kidogo

  METHOD
  katika sufuria tia karot na condensed milk zipike hadizikikaribia kukauka zitakuwa nzito .ipua usiwache ikakauka .
  Chukuwa frying pan tia siagi vijiko 2 kikubwa juu yake weka tambi nusuyake zitandaze uzuri zizibe pan yote zichambue fanya duara juu tia Nestal cream nusu na juu ya Nestal cream tia ile carot ulopika na maziwa mazito.
  juu half juu ya ile karot malizia ile Nestal cream mwisho funika kwa tambi zilobakia iwe kama mfanoweka wa baga likin unapotia tambi za mwisho unafunika kabisa huoni ndani.
  weka juu ya moto zikishaiva juu zigeuze tumia sahani kugeuzia rejesha tena kwa moto tia siagi ilobakia wacha ziive uzuri ipua tia ndani ya treya mwangia shira wakati bado kunafa imoto hakikisha shira ibarisi juu mwangia pistachio ulosanga weka kwa fridge iwe cool tayari kuliwa.(unaweza ku bake ukitaka)
  tips
  ikiwa huwezi kugeuza kwa sahani ukarejesha tena kwenye moto unaweza zikishaiva chini nyunyizia ile siagi ilobakia kwa juu tia kwenye oven kwa 10minutes.
  by Aiman

  ReplyDelete
Use [video]youtube-video-link[/video] to insert video in comment
Use [img]image-link[/img] to insert image in comment

VISA NA MIKASA $type=THREE

Name

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,171,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,11,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,212,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,126,FIFA.com - Latest News,18,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,241,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,MPENZI CHEUPE | WHITE LOVER.,8,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,209,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,USO WA FEDHA | FACE OF MONEY,35,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,7,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MAPISHI YA KUPIKA COOKIE ZA TAMBI
MAPISHI YA KUPIKA COOKIE ZA TAMBI
https://lh3.googleusercontent.com/-5mlqzUvpxOI/XLZHHlD5tNI/AAAAAAAACbQ/IjNOPZWmdX0nHa75-y7ZjkWYXVb8QyEIgCLcBGAs/IMG_1839.JPG
https://lh3.googleusercontent.com/-5mlqzUvpxOI/XLZHHlD5tNI/AAAAAAAACbQ/IjNOPZWmdX0nHa75-y7ZjkWYXVb8QyEIgCLcBGAs/s72-c/IMG_1839.JPG
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-cookie-za-tambi.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-cookie-za-tambi.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content