MAPISHI YA KUPIKA CHINESE RICE

😋 JINSI YA KUPIKA CHINESE RICE😋

CHINESE RICE

Nimechukua chaza nimewachemsha kama kawaida then Nimeweka mafuta kwnye karai nikaweka kuku nimewakata vipande vdogo vdogo nikatia viungo vya seasoning vitunguu thom tangawizi wanajitoa maji walipoiva nimewatia kwenye chujio niipate supu yke then nikachukua ngisi nikawakaanga na viungo wakajitoa supu nikaichanganya na ile ya mwanzo nimeweka pemben.

Nimetia mafuta kwenye lile lile karai la mwanzo nikatia carrot na njegere nikazikaanga pilpli boga nikaweka chumvi tena kiasi tu then nikachukua ngisi chaza na kuku nikawamimina wote kwnye karai pamoja nikatia soyer  souce oyster souce na sweet chili souce nikapiga mayai sita nikayatia kwenye mchangyiko kwa kilo 3 ya mchele ukipenda unatia na pilipili ya kuwasha koroga vichangyike vzr

Mchele wako uchemshe lkn usiive mpaka mwisho umwage maji then ile supu uloiweka ichangnye na wali wako chukua sufuria yko kubwa itie wali wako wenye supu na ule mchanganyiko wako wote changanya pamoja engeza soy souce kidg mpaka chakula chako kichngnyike zvr tyr kwa kuliwa

MAPISHI YA KUPIKA CHINESE RICE Bongo Life 5 of 5
😋 JINSI YA KUPIKA CHINESE RICE 😋 Nimechukua chaza nimewachemsha kama kawaida then Nimeweka mafuta kwnye karai nikaweka kuku nimewakata vip...
https://lh3.googleusercontent.com/-rEnWqfif05E/XKInBUOkvKI/AAAAAAAACUg/BKns6JeCh5ETN9Rs7oU8VEeRVMgg9NI9ACLcBGAs/IMG_1839.JPG MAPISHI YA KUPIKA CHINESE RICE

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Afya Yako,115,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,11,biashara mtandaoni,1,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,141,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,103,FIFA.com - Latest News,6,Hadithi,73,HALIMA,2,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,14,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MAPISHI YA KUPIKA CHINESE RICE
MAPISHI YA KUPIKA CHINESE RICE
https://lh3.googleusercontent.com/-rEnWqfif05E/XKInBUOkvKI/AAAAAAAACUg/BKns6JeCh5ETN9Rs7oU8VEeRVMgg9NI9ACLcBGAs/IMG_1839.JPG
https://lh3.googleusercontent.com/-rEnWqfif05E/XKInBUOkvKI/AAAAAAAACUg/BKns6JeCh5ETN9Rs7oU8VEeRVMgg9NI9ACLcBGAs/s72-c/IMG_1839.JPG
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-chinese-rice.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/mapishi-ya-kupika-chinese-rice.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy