Iklan Billboard 970x250

MAPISHI YA KUPIKA KASHATA ZA MAZIWA YA UNGA NA COCOA

MAPISHI YA KUPIKA KASHATA ZA MAZIWA YA UNGA NA COCOA

KASHATA ZA MAZIWA YA UNGA NA COCOA 

KASHATA ZA MAZIWA YA UNGA NA COCOA

MAHITAJI YA KUPIKA KASHATA ZA MAZIWA YA UNGA NA COCOA 
 • maziwa ya kupima 
 • nusu sukari 
 • nusu vanilla na maji 

JINSI YA KUPIKA KASHATA ZA MAZIWA YA UNGA NA COCOA 

bandika sukar jikoni weka maji acha ichemke mpaka Shira inate mimina mazima nusu yote koroga usiachie mkono ukiona ikosawa inaanza kunata mimina kwenye sinia ukiwa umeligeuza kwanyuma mimina nusu nyengine acha iliyobaki sasa mule ndani yasufuria weka cocoa alafu mimia kwajuu alafu Kata kashata usisahau kuweka vanilla tam tam injoy Kama hutaweza kumimina na kubakisha pika sufuria mbili moja weka cocoa moja iwe rojo la maziwa matupu Asanteni

Related Posts
SHARE
Subscribe to get free updates

Related Posts

Maoni 1

 1. BARFI/ PERA MAZIWA
  2 glass sukari
  4 glass maziwa ya unga
  1glass maji
  Vanila na iliki
  Almond
  Mafuta
  Rangi ya chakula

  Chemsha maji yako pamoja na sukari kupata shira, ikisha tia rangi upendayo, vanilla na iliki, badala ya hapo weka maziwa yako anza kuyasonga kama ugali kuwa makini kwny moto pika na moto mdogo vikishachanganyika vzr paka mafuta kwny trey yako kisha mimina mchanganyiko wako tandaza kisha weka almond zako ukipenda karanga au korosho au chochote upendacho wewe, unaacha kidogo kisha unaanza kukata utakavyo..Unaweza kunywa na kahawa au chai! ENJOYY

  JibuFuta

Chapisha Maoni

Use [video]youtube-video-link[/video] to insert video in comment
Use [img]image-link[/img] to insert image in comment

Post Central Advertising