JINSI YA KUMTULIZA HASIRA MUMEO AKIKASIRIKA.

DADA ZANGU NAOMBA LEO NIZUNGUMZE NANYI NIWADOKEZEE JINSI YA KUMTULIZA HASIRA MUMEO AKIKASIRIKA.


"Kama umemkasirisha mumeo mfano asubuhi  jitahidi uwe mpole usiwe muongeaji Sana kama ameenda kazini hakikisha saa nne unatumia sms msalimie Kisha mtakie kazi njema.....


Halafu mida ya saa saba hivi mwambie pole na kazi laazizi wangu, nimemiss sana uwepo wako, nipo mpweke tu hapa, natamani ungekuwa karibu yangu Muda huu, kwa sms hii itamfanya hasira zipungue ata tamani muda ufike arudi nyumbani mapema......


Siku hiyo mpikie chakula akipendacho, Pamba nyumba ivutie, fukiza udi chumbani, Oga, vaa nguo nzuri, jipambe upendeze, Siku hiyo tafuta na Kungu manga itafute uile mapema....


Kisha akirudi mumeo mvue viatu au mpokee alichobeba huku wamuambia karibu mume wangu....


Akikaa msalimie Kisha mwambie pole na uchovu wa kazi laazizi wangu. Kwa mapokezi hayo hasira zitayayuka mlangoni alipokuona, maana atajisikia furaha kwa mapokezi aliyoyakuta kwako......


Akitulia mpelekee maji ya kuoga Kisha mwambie twende nikakuogeshe mume wangu.....


Mtengee chakula vizuri ulichomuandalia, kisha mnawishe mikono, akimaliza mlishe tonge mbili tatu Kisha wamuacha aendelee kula mwenyewe taratibu.....


Akimaliza mnaweza kuhamia chumbani huko jiachie ili uweze kumtega vizuri, Mkipanda kitandani tu mkafanya mambo yenu Yaleeeee hapo utakuwa umezimaliza kabisa hasira zake.....


Cheza na akili za mumeo, changamka mwanamke usikubali siku ipite mumeo akiwa na hasira. Mfanyie mambo mazuri hata mkipanda kitandani hasira ziwe zimemuisha.....


Wanaume wengi sio watu wa kuwekea vitu moyoni lakini baadhi yenu  hamujui jinsi ya kuwashusha hasira.....


Kuazia leo usipate tabu ya kuwaza tumia uanamke wako kumfurahisha mumeo.....


Mwanaume Mbele ya mkewe hapindui, ni kama mkate ukiutia kwenye supu unalainika na Kuwa mdogo.


Dada zangu zingatieni hayo,  ili kuweka ndoa yenu murua na maridhawa kabisa.......


COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,151,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,203,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,114,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,12,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,208,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,40,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : JINSI YA KUMTULIZA HASIRA MUMEO AKIKASIRIKA.
JINSI YA KUMTULIZA HASIRA MUMEO AKIKASIRIKA.
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/jinsi-ya-kumtuliza-hasira-mumeo.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/jinsi-ya-kumtuliza-hasira-mumeo.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content