JE! UNAWAFAHAMU WANAUME WANAOPITIA CHANGAMOTO HII? | BongoLife

$hide=mobile

JE! UNAWAFAHAMU WANAUME WANAOPITIA CHANGAMOTO HII?

Kama mwanaume unajisikiaje kupitia jambo hili? 

Kwangu ilikua ngumu sana,

nakumbuka mwanzoni mambo yalikua yanaenda vizuri huko ndani. Mwanamke alinifurahia sana na kwa kweli nilijiona mwanaume. Baadae mambo yalibadilika nilianza kukosa hamu ya tendo la ndoa, na hata nilipoipata haikua active sana, uume wangu ulisimama kwa muda kidogo tena ukiwa mregevu sometimes nilikosa tu nguvu za mwili. Nilishangaa sana na wala sikujua tatizo limetokana na nini? Hata mbegu za kiume zilikua zinatoka chache au hazitoki kabisa most of the time niliwahi  kufika kileleni.....


Hali hii ilinikosesha furaha hata mwanamke niliona hayuko comfortable tena kushiriki tendo na Mimi, kila nilipojaribu kumpapasa hakuonesha ushirikiano kwasababu mara kadhaa nimefanya hivyo lakini uume hausimami au nawahi kufika kileleni....niliumia sana siku mwanamke alivyo nitamkia "WEWE SIO MWANAUME" imagine umemzalisha watoto watatu halafu Leo anasema hivyo.. nilijisikia aibu sana na nilianza kuogopa hata kulala nae ilifikia hatua hata chakula alichopika niliona aibu kula kwasababu aliwahi kuniambia "unakula hufanyi kazi yoyote huko ndani" Duuuuu hakuna wakati mgumu kama huu.


Kazini niliomba overtime ili tu niwe nachelewa home nikute amesha lala kuepusha zogo na dharau. Ilifikia hatua hata mshahara wangu sikuona thamani yake kama naambiwa "mwanaume suruali wewe" means hata mahitaji ninayo gharamia kwa familia ni useless.... Ilibidi tu nianze kwenda kucheck mpira na rafik zangu atlest nirudi home muda umeenda. Au nipate zangu moja baridi then ndio nikalale.


Nilijaribu kua muwazi kwa rafik zangu kama watatu hivi lakini mambo hayakua mazuri kwasababu hata wao huko nyumbani mambo hayaendi tukajikuta hatuna solution. Kumbe unaweza kufikiri uko peke yako la! Tuko wengi, nilijaribu vitu vingi lakini bado sana tu niliishia kuboost nguvu siku tatu tatizo limerudi yani ndio mwanamke aliniona" kweli dume suruali" ile furaha ya Nyumba ilizidi kuporomoka hata nilipokua nae kwenye gari muda wote amenuna,akawa mkali kitu kidogo anaweza kuniparuza hata makucha....niliamini hamna tena namna ya kumaliza tatizo langu nikabaki kua mnyonge tu sijui alipata kidume huko maana alinisahau kabisa nikawa mwanaume jina tu. Siwezi kumlaumu mwanamke kwasababu alinivumilia sana tatizo lilipoanza alinipa ushirikiano sana baadae akanikatia tamaa....mwanaume mwenye akili nafikir unaelewa hali ikiwa hivi nyumbani na hata kama hayaja kukuta bora ujue solution mapema unaweza kufa kwa pressure au kujidharau though hujamwambia mtu inakua tu internal conflict....


Nimejaribu kuweka wazi ili kupanua uelewa wetu wanaume juu ya tatizo hili.Ni

Mwaka unakaribia kutimia sasa naanza kuona hali imebadilika mambo yanaenda vizuri. Naona hata mwenzangu amekua na ushirikiano na furaha imerejea natamani uone Nyumba ilivyo na amani zile fujo zote hazipo tena....nadhani hata wewe ungetamani iwe hivyo kwako.


Upungufu wa nguvu za kiume ni jambo nyeti sana ndugu yangu, nimegundua ni muhimu mwanaume kufahamu mapema namna ya ku-mantain nguvu zako kwasababu it's a lifetime huitaji tu kupooza tatizo kwa kufanya shortcut za hapa na pale kama nilivyokua nafanya ku- boost then napiga mzigo kesho tatizo palepale..unaweza kuitwa majina mabaya nakumbuka nimewahi kulia machozi nikajuta kua mwanaume...see?..

Kwa sasa nafuraha sana kukushirikisha jambo hili na nimeanza kuona mabadiliko japo imenichukua muda kidogo lakini  kumbe heshima ndani sio pesa tu au huduma za chakula NO" hata uanaume wangu nao ni asset kubwa huko ndani.


Sasa pengine unajiuliza sana nini hasa nilitumia au changamoto yako itatokaje,?


Zipo njia ama bidhaa zinaweza kukusaidia sana kuondokana na tatizo hili na ukafurahia Ndoa yako.


Kwa ushaur zaid na namna ya kupata Huduma Yetu andika comment yako na tutakusaidia kwa haraka zaidi. 

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,147,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,193,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,14,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,203,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : JE! UNAWAFAHAMU WANAUME WANAOPITIA CHANGAMOTO HII?
JE! UNAWAFAHAMU WANAUME WANAOPITIA CHANGAMOTO HII?
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/je-unawafahamu-wanaume-wanaopitia.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/je-unawafahamu-wanaume-wanaopitia.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy