HASARA ZA KUJIPENDEKEZA KWA MTU

Soma hii ujifunze kitu... ✍🏽

1.. Hauwezi kumkemea huyo unayejipendekeza kwake hata kama anakosea... 

2.. Unakuwa mtumwa kwa huyo unayejipendekeza kwake.   

3.. Unafanya akili yako ishindwe kuzalisha matunda maana unakuwa tegemezi kwa huyo unayejipendekeza kwake.. 

4.. Utajikuta unakosana na watu hasa wakimkosoa huyo unayejipendekeza kwake. Maana hutokubali akosolewe mbele yako. 

5.. Inakufanya kuwa mnafiki, maana hata wewe kwenye ndani ya moyo wako kuna vitu havipo sawa anakosea. Lakini unamezea tu ili kulinda kufukuzwa.. 

6.. Inakuharibu kisaikolojia, hasa pale ambapo hautapata kile ulichokitegemea kwa huyo unayejipendekeza kwake... 

7.. Inakufanya uyanyonge maono uliyonayo kwa mikono yako mwenyewe. Maana muda mwingi unatafuta jinsi yakumpendeza huyo unayejipendekeza kwake,  badala ya kuwekeza muda wako kwenye maono binafsi.. 

8.. Kuna kufanya huyo unayejipendekeza kwake awe "Mungu mtu" Hivyo unajikuta unamsujudia kwa kila jambo.. 

9.. Hauwezi kufanya maamuzi binafsi, ni mpaka huyo unayejipendekeza kwake ndio aje akuamulie. Akikataa ndio basi. 

10.. Utagombana na watu mara kwa mara, maana kila atakayejionyesha kuwa karibu na huyo unayejipendekeza kwake. Unaweza ukampiga hata mawe maana utafikiri abaichukua nafasi yako.. 

11..Inakufanya uthamani wako ushuke kabisa na kudharaulika, maana unaishi kwa kumtegemea mwanadamu mwenzako bila ya yeye haukai mjini. 

12.. Hauwi mwanaume halisi au mwanamke halisi. Maana walio halisi wanamisimamo binafsi na waka hawayumbi, kama ulivyo wewe kwa huyo unayejipendekeza kwake maana umekuwa kama bendera kufuata upepo.. 


 Ushauri... ✍🏽

  1. Acha kujipendekeza kwa watu sana, watakuona wewe umjinga na huna cha kuwaambia kutoka katika kauli yako. Bali wao ndio wenye kauli za kukwambia, na kukutumisha kwa vitu vyengine visivyofaa hapo baadae. 
  2. Tambua kwamba unapojipendekeza kwa mtu, jua kwamba unajishusha hadhi yako wewe mwenyewe. Kuwa mjasiri wa kuongea vitu ambavyo huvipendi kwake, kuwa mkimya kwa mtu unayejipendekeza kwake kwa sababu amekosea kitu. My Friend utakuja kuniambia hapo baaade, hata kama amekuajiri kikazi haimaanishi ndio uzubae na kujipendekeza kwake sana tambua kwamba utakuwa mtumwa siku zote... Zingatia hili... 

*Kama umeipenda hii na imekufunza kitu, basi share kwa magroup mengine na marafiki zako wapate faida...*

Ukihitaji ushauri wowote unaweza ukaacha comment happy chini. 

*NAKUTAKIA SIKU NJEMA YENYE MAFANIKIO KWAKO NA KWETU SOTE.. 🤲🏽*

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,151,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,203,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,114,FIFA.com - Latest News,17,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,12,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,208,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,40,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,2,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : HASARA ZA KUJIPENDEKEZA KWA MTU
HASARA ZA KUJIPENDEKEZA KWA MTU
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/04/hasara-za-kujipendekeza-kwa-mtu.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/04/hasara-za-kujipendekeza-kwa-mtu.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content