ZIJUE DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, | BongoLife

$hide=mobile

ZIJUE DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,

ZIJUE DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,  

Kwanza unatakiwa kufaham UPUNGUFU wa nguvu za kiume sio ugonjwa bali ni dalili za ugonjwa inamaanisha kuna dosari  au udhaifu katika utendaji wa viungo vyako ndani ya mwili, 


NGUVU ZA KIUME NI NINI? 

ni neno la jumla lenye  mjumuisho wa mambo mengi  ambayo yamegawanyika katika sehem MBALI MBALI 

1. Hamu ya tendo la ndoa 

2. Kusimama kwa uume barabbara  kama kipande cha mti au msumari) 

3. Stamina kiasi cha kukupelekea kufurahia tendo

4. Pumzi  

5. Uwezo wa kurudia tendo 

6. Wepesi na uchangamfu wa mwili katika kutenda 

*Kwa lugha nyepesi Hii ndio maana ya neno nguvu za kiume*


Sasa basi tumeona  hapo juu  kuwa kama kuna udhaifu au dosari katika utendaji wa BAADHI ya viungo ndani ya mwili wako basi sio mbaya tukajua BAADHI ya  viungo vinavyohusika kuwasha umeme  kwa mwanaume / namaanisha nguvu za kiume na viungo hivi hufanya  kazi zingine pia katika mwili 


Kuna viungo zaidi ya 50 ila kwa uchache  ni ivi vifuatavyo 

1. Ubongo 

2. Moyo 

3. Mishipa 

4.mirija iliyo ndani ya uume 

5. Neva maalum za parasympathetic 

6. Uti wa mgongo 

7. Kiuno  / nyonga 

8. Misuli 

9. Tezi  ya pituitari 

10. Utando  maalum  wa uumeni. 


*HIVYO BASI TUNAPOONGELEA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TUNAMAANISHA KUWA NDANI YA MWILI WAKO KUNA VITU HAVIFANYI KAZI VIZURI LABDA NI INI , FIGO , TEZI DUME LIMETANUKA , AU HOMONI HAZIJA WIANA HAPA SASA NDIPO HUTOKEA NENO NA KITENDO CHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME*


JIJUE JITAMBUE HIZI NI DALILI ZA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME 

1. kukosa  hamu ya tendo la ndoa 

2. Uume kusimama kwa ulegevu, kusinyaa  na kurudi  ndani AU KUTOWEZA KUSIMAMISHA KABISA

3. Kuwahi kufika kileleni 

4. Kuchelewa sana kufika au kutofika kabisa mshindo 

5. Kuhisi  maumivu wakati  wa tendo la ndoa au baada 

6. Kukosa pumzi hivyo  hupelekea  kusimamisha zoezi Mara kwa Mara 

7. Kukosa uchangamfu wa mwili katika utendaji . 

8. Kuchoka sana baada ya tendo na hata kuskia kichefchef au kuskia usingizi MZITO SANA MARA TU UMALIZAPO .. 

9. KUSHINDWA KURUDIA TENDO ZAIDI YA MARA MOJA 


KWA LUGHA NYEPESI NGUVU ZA KIUME NI KAMA SERIKALI AMBAYO INA WIZARA MBALI MBALI ILI SERIKALI IFIKE KULETA MATUNDA MAZURI KWA JAMII HIZI WIZARA LAZMA ZIWE THABIT KATIKA MASLAHI YA JAMII NA SERIKALI KWA UJUMLA NA ENDAPO WIZARA MOJA ITAKUWA INA HITILAFU BASI LENGO HUSIKA KUTOKA KWA SERIKALI KUJA KWA JAMII HALITATOKEA ASILANI MF. WIZARA YA NISHATI NA MADINI IGOME , WIZARA AFYA IGOME , UNAFIKIRIA SERIKALI HII ITAFIKIA MALENGO ??? BASI NDIVYO HIVYO NDANI YA MWILI WAKO .. TEZI IKIKOSA AFYA , MOYO , UBONGO NK NK LAZIMA EFFECT ITATOKEA NA MOJA YA EFFECTS NI UPUNGUFU WA NGUVU .. 


Au tuseme  kiwanda  kuna wafanya  kazi , kuna maji , umeme , madawa  ivi ikotokea WAFANYAKAZI TU WAKAGOMA je hiki kiwanda kitazalisha bidhaa itayofika Sokoni? 


MSICHOKIJUA WANAUME WENGI kupungukiwa nguvu za kiume ni kasoro  za kiutendaji wa viungo ndani ya mwili hii ni kengele  ya tahadhari kipo  kitu hakifanyi  kazi vizuri ..


Sasa KOSA kubwa wanalolifanya wanaume  wengi TANZANIA NA NJE ni kuanza kutafuta suluhisho la dawa za nguvu za kiume na kuzibugia bila kuangalia chanzo, inatakiwa kutibiwa chanzo cha tatizo sio matokeo ya tatizo ... na hamshangai dawa hiyo inaweza kumtibu mmoja na mwengine akasema haifanyi kazi ?? Unajua Kwanini... vyanzo vya matatizo yao ni tofauti 


*Mfano ... mwanaume  mwenye sukari , mwenye presha , mwenye kansa ya tezi , mwenye stress , mwenye unene uliopitiliza, watu Hawa lazma tiba zao ziwe tofauti sio dawa za nguvu za kiume moja kwa moja lazma kuanza na mzizi wa tatizo kama ni mnene apunguze mwili , kama anasukari atibie  sukari kwanza* 


BAADHI YA SABABU ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME (MUENDELEZO) 


1. KUTOKUNYWA MAJI YA KUTOSHA 

2. KUPATA CHOO KIGUMU AU KUTOPATA KABISA, UNATUMIA NGUVU NYINGI KWENYE KUSUKUMA 

3. UZITO ULIOPITILIZA 

4. KITAMBI 

5. VYAKULA VYA BANDIA VILIVYOWEKWA HOMONI ZA KIKE 

6. VYAKULA VYENYE MAFUTA SANA 

7. ULAJI WA NYAMA KWA SANA 

9. ULAJI WA FAST FOODS NA VINYWAJI VYA VIWANDANI IKIWEPO POMBE 

10. ULAJI WA MIRUNGI/ MIRAA 

11. KUTOSHIRIKI MAZOEZI YA VIUNGO 

12. KUTOKULA BALANCED DIET 

13. KISUKARI 

14. TEZI  DUME

15. PRESHA na mengine mengi 

ZIJUE DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

JE WEWE NI MWANAUME NA YALIYOONGELEWA HAPO YAMEKUGUSA NA UNGEPENDA KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA UKOSEFU AU UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME? TUNA HABARI NZURI KWAKO TUNA BIDHAA LISHE AMBAZO ZINASAIDIA KURUDISHA HESHIMA YAKO, PIA UTAELEKEZWA VYAKULA VYA KUKUIMARISHA ZAIDI NA AINA ZA MAZOEZI UNAYOTAKIWA KUFANYA. KAMA UKO SERIOUS KARIBU


COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,3,AFTER DEATH (BAADA YA KIFO),4,Afya Yako,179,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,16,biashara mtandaoni,5,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,blogging,1,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,11,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,213,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,131,FIFA.com - Latest News,18,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,13,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,243,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,MPENZI CHEUPE | WHITE LOVER.,8,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natura shampoo,2,Natural hair,6,Ndoa,1,News,41,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nyumba ya maajabu,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,209,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Sumu Mwilini,1,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,UKURASA WA 56,10,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,USO WA FEDHA | FACE OF MONEY,35,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,10,WAPANGAJI WENZANGU,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : ZIJUE DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,
ZIJUE DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME,
https://lh3.googleusercontent.com/-HJ2cNvVp2sg/XILVjZGuafI/AAAAAAAACBw/IYP0A5eQchsVN3Qr1uUIbi5_PzbeZzLRgCHMYCw/%255BUNSET%255D
https://lh3.googleusercontent.com/-HJ2cNvVp2sg/XILVjZGuafI/AAAAAAAACBw/IYP0A5eQchsVN3Qr1uUIbi5_PzbeZzLRgCHMYCw/s72-c/%255BUNSET%255D
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/03/zijue-dalili-za-upungufu-wa-nguvu-za.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/03/zijue-dalili-za-upungufu-wa-nguvu-za.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content