MAPISHI YA VIAZI VYA UROJO NA DENGU

VIAZI VYA UROJO NA DENGU (MIX)

VIAZI VYA UROJO NA DENGU

MAHITAJI YA KUPIKA VIAZI VYA UROJO NA DENGU

 • Dengu nzima kavu - 2 Magi  (mugs
 • Viazi - 8-10 Vikubwa
 • Unga wa ngano / wa dengu - ¾  Magi
 • Bizari ya manjano - ½ kijiko cha cha
 • Ndimu - kiasi
 • Chumvi - kiasi
 • Pilipili ya mbuzi / ya unga - ukipenda

JINSI YA KUPIKA VIAZI VYA UROJO NA DENGU

 1. Roweka dengu nzima kavu ikiwezekana usiku mzima kisha zichemshe hadi ziwive. Chuja maji yaliyobaki ziweke kavu pembeni.
 2. Chemsha maji ya kutosha na mimina unga wa ngano na bizari ya manjano kama   unavyopika uji mwepesi, koroga usigande mpaka uwive
 3. Katakata vipande vidogo vidogo vya viazi na umimine kwenye uji huo unaochemka, tia  chumvi na pilipili ukipenda.
 4. Koroga koroga visigande vikikaribia kuwiva mimina dengu zako ulizozichemsha kisha  tia ndimu ikolee mpaka viwive.
 5. Epua tayari kwa kuliwa hasa na bajia,  kachori, chipsi za muhogo na chatini kama utakavyopenda. (angalia upishi wa bajia na kachori kwenye vitafunio

Kidokezo:
Ukipenda katia vipande vya embe mbichi uchemshie badala ya ndimu.
MAPISHI YA VIAZI VYA UROJO NA DENGU Bongo Life 5 of 5
VIAZI VYA UROJO NA DENGU (MIX) MAHITAJI YA KUPIKA VIAZI VYA UROJO NA DENGU Dengu nzima kavu - 2 Magi  (mugs Viazi - 8-10 Vikubwa Unga wa nga...
https://lh3.googleusercontent.com/-0wBY6o3oAWw/XJ8o7TU92NI/AAAAAAAACTY/ZjmjGO1KNk0bq8TnwfUYI9gxsoIErIlNACLcBGAs/IMG_1839.JPG MAPISHI YA VIAZI VYA UROJO NA DENGU

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Afya Yako,115,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,11,biashara mtandaoni,1,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,141,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,103,FIFA.com - Latest News,6,Hadithi,73,HALIMA,2,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,14,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MAPISHI YA VIAZI VYA UROJO NA DENGU
MAPISHI YA VIAZI VYA UROJO NA DENGU
https://lh3.googleusercontent.com/-0wBY6o3oAWw/XJ8o7TU92NI/AAAAAAAACTY/ZjmjGO1KNk0bq8TnwfUYI9gxsoIErIlNACLcBGAs/IMG_1839.JPG
https://lh3.googleusercontent.com/-0wBY6o3oAWw/XJ8o7TU92NI/AAAAAAAACTY/ZjmjGO1KNk0bq8TnwfUYI9gxsoIErIlNACLcBGAs/s72-c/IMG_1839.JPG
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/03/mapishi-ya-viazi-vya-urojo-na-dengu.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/03/mapishi-ya-viazi-vya-urojo-na-dengu.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy