MAPISHI YA CAKE YA ZABIBU NA NAZI

CAKE YA ZABIBU NA NAZI

MAHITAJI YA KUPIKA CAKE YA ZABIBU NA NAZI
 •  Cup 1 sukari  
 • Cup 1 mafuta 
 • Cup 1 na nusu unga 
 • Mayai 5 
 • Ts 2 maziwa ya unga 
 • Nusu cup nazi kavu 
 • Vinegar ts 1 
 • Maganda ya machungwa grate kdg Bp ts 1 
 • Bicabonat ts 1 
 • Maji nusu cup 
 • Zabibu kavu kdg  

JINSI YA KUPIKA CAKE YA ZABIBU NA NAZI

Piga mafuta na sukari kisha tia mayai na vanila Baadae tia vitu vyote weka unga wako kwenye trey ya cake tupia zabibu juu choma

Comments

Use [video]youtube-video-link[/video] to insert video in comment
Use [img]image-link[/img] to insert image in comment