JINSI YA KUNG'ARISHA NGOZI YA MAKALIO NA MAPAJA,NA KUONDOA SUGU,WEUSI,VIPELE NA MADOA KWA NJIA ASILIAπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž


🌺Sote tunafahamu kuwa ngozi ya matako  sio sawa na ile ya sehemu nyingine ya mwili, maeneo haya hukabiliwa na vipele Fulani hivi vigumu sana , baadhi hupauka sana na wengi hukabiliwa na michirizi strechmark.


🌺MAHITAJI🌺
❣unga wa liwa (robo kikombe)
❣machicha ya nazi(nusu kikombe)
❣mafuta ya olive oil nusu kikombe (kile cha robo)
❣rose water vijiko viwili
❣chumvi vijiko viwili 


🌺NJIA🌺

❣changanya unga wa liwa na chumvi na machicha ya nazi


❣weka mafuta yako changanya ,ongeza rosewater hakikisha vinajichanganya vizur


❣baada ya hapo nenda ukaoge ❣ukitoka bafuni chukua mchanganyiko wako anza kujisugua kuanzia kwenye mapaja hadi kwenye makalio yako


❣jisugue had uridhike kuwa kweli umejisugua kisha kaa kwa nusu saa kisha nenda ukaoge safari hii usioge kwa sabuni na dodoki oga kwa maji tu


❣ukitoka kuoga pakaa mafuta unayotumia mwilini.usiache makalio yakiwa makavu


❣fanya hivi mara moja kwa siku,baada ya wiki utajipendaCOMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,Biashara,10,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : JINSI YA KUNG'ARISHA NGOZI YA MAKALIO NA MAPAJA,NA KUONDOA SUGU,WEUSI,VIPELE NA MADOA KWA NJIA ASILIAπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž
JINSI YA KUNG'ARISHA NGOZI YA MAKALIO NA MAPAJA,NA KUONDOA SUGU,WEUSI,VIPELE NA MADOA KWA NJIA ASILIAπŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2019/03/jinsi-ya-kungarisha-ngozi-ya-makalio-na.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/03/jinsi-ya-kungarisha-ngozi-ya-makalio-na.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy