HAKIKA YA MKE NI NYUMBA NA NYUMBA NI MKE 👌🏻

♡ Mwanamke tulia nyumbani kwako jiandae kumsubiri mume wako ufurahie ndoa yako.

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Oga,jisafishe vizuri, ujifukize na ujipambe kwajili ya mumewako..

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Jipambe upendeze sio upake mirangi mpaka utishe badala ya kupendeza..

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Nguo zakuvutia sio makanga ya mafumbo utamu utaupunguza.

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Kidani shingoni herini skioni bangili mkononi pete vidoleni na shanga kiunoni.

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Kitandani pavutie chumbani panukie udi, asumini ,mawaridi na vilua.

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Kabla hajarudi anza kumchokoza mumeo kwa message za mapenzi ili asichelewe.

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Ukihisi hodi yake jiandae kumpokea kwa mabusu na jicho la mahaba.

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Muulize hali, mpe pole kwa uchovu bila kuchelewa mpeleke bafuni.

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Mahanjumati muandalie chakula umlishe huku kijidekesha kimahaba.

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Mapenzi kuashiria uko tayari kwa ajili ya kustarehe.

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Tendo la ndoa ni starehe kwa mume na mke hivyo kueni wabunifu mupate kufurahia tendo hilo.

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Itunze ndoa yako, mume ni zawadi, kutoka kwa mola wako.

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

*```✍🏿 JIPAMBE KWA AJILI YA MUMEO SIO WAJIPAMBA UKITOKA KWENDA KWENYE MIALIKO YA HARUSI NA SHEREHE ZINGINE, APANA USIWE IVO, WANAWAKE WENZANGU TUZINGATIE JAMBO ILI WENGI TWALIFANYA```*

*```☞ LAKINI BADILIKA SASA!```*

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Ukipeleka Maji bafuni usiondoke msugue kwa mahaba uwenda kuchoka maji ayafiki mgongoni wewe ni kazi yako kuakikisha maji yamemfikia mwili mzima.

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Kudeka kwa mumeo muhimu usipo deka kwa mumeo ukadeke kwa nani?

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

♡ Tusichoke kuzidisha mahaba kwa waume zetu ili ata wakiwa kazini wawe wanakumbuka nyumbani.

•yangu ni hayo tu" Asanteni sana.

🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

DONASI VIA PAYPAL Help make a donation if the article feels useful. Donations will be used to renew the domain https://www.bongolives.com/. thanks.
Machapisho Mapya Machapisho Mapya Machapisho ya Zamani Machapisho ya Zamani

Machapisho mengine

Maoni

Chapisha Maoni