$hide=mobile

Athari za mwanamke kushindwa kufika kileleni na chanzo chake

TATIZO hili la mwanamke kutofikishwa kileleni wakati wa kujamiiana huitwa ‘Female Orgasmic Disorders’ kufika kileleni tunaita ‘orgasm’ au ‘c...

TATIZO hili la mwanamke kutofikishwa kileleni wakati wa kujamiiana huitwa ‘Female Orgasmic Disorders’ kufika kileleni tunaita ‘orgasm’ au ‘climax’. Kila mwanamke ni lazima afike kileleni wakati wa tendo hili. Hii ni hali ya kimaumbile ambayo imeumbwa na Mungu. 


Mwanamke hufika kileleni pale anapokuwa amesisimka kwa kiwango cha hali ya juu. Hali ya msisimko kwa mwanamke tunaita ‘sexual arousal’ na huanzaia pale mwanamke anapokuwa na hamu ya tendo hili la kujamiiana yaani ‘sixual desire’.Kwa kawaida msisimko hukolezwa wakati wa maandalizi ya tendo au ‘romance’ kwa kutumia milango mitano ya fahamu. 


Kila mwanamke ana jinsi yake ya kusisimka wakati huu wa maandalizi kutegemea na aina ya mlango wa fahamu unaomsukuma, mfano kuona, kusikia, kugusa, kuonja na kunusa. Wapo wanawake wanaosisimka na mlango mmoja, wengine miwili au zaidi. 


MAANA YA KUFIKA KILELENI 


Tunaposema mwanamke au mwanaume amefika kileleni katika tendo ni pale amefika kiwango cha juu cha msisimko na raha katika tendo hilo. Mwanaume huanza kusisimka katika sehemu ya mbele ya dhakari na mwanamke huwa na sehemu maalumu. 


Msisimko hubebwa na mishipa ya fahamu ya kiuno, uti wa mgongo hadi katika ubongo ambapo kiwango cha juu hufikiwa na mwanaume hutoa manii na mwanamke hutoa majimaji sehemu ya siri. Mwanamke hufikia mwisho wa tendo kwa muda huo lakini kutokana na hali ya kimaumbile mwanamke anaweza kuendelea na akafikia tena na tena kileleni. 


Mwanamke ana sehemu maalumu ukeni ambazo zinapopata mguso na msuguano humwezesha afike kileleni. Sehemu hizi kitaalamu zinaitwa ‘Grafenberg Spot’ au G. spot. Sehemu hii inapatikana ukeni kwa ndani. Iligunduliwa miaka ya nyuma na daktari bingwa wa magonjwa ya kinamama wa Ujerumani aitwaye Ernest Grafenberg. 


Sehemu hii inamletea mwanamke msisimko wa nguvu na kumfanya amalizie raha yake ya kujamiiana kwa kishindo kikubwa ‘ Powerful Orgasm’ na kutoa majimaji ukeni ‘Female ejaculation’. Majimaji haya yanapomtoka mwanamke bado haijajulikana hasa yanatoka sehemu gani katika eneo hilo ingawa baadhi wanasema ni mkojo unatoka mara moja kwa kishindo, wengine wanasema yanatoka katika vitezi vidogo nyuma ya njia ya mkojo ‘Paraurethral ducts’ . 


Vitezi hivi pia baadhi ya wataalamu huvifananisha na tezi dume kwa mwanaume, kwani kazi ya tezi dume ni kutoa majimaji au manii wakati wa kufikia mshindo au kilele. Ili kuamsha G. spot mwanamke afike kileleni inatakkiwa uume uwe na nguvu za kutosha vinginevyo ni vigumu kufikia hapo. 


CHANZO CHA TATIZO 


Chanzo kikuu kinachoweza kumsababishia mwanamke asifike kileleni au achelewe kufika hapo ni sababu za kimazingira na kisaikolojia, ‘Situational and Psychological factors’. Vile vile zipo sababu za magonjwa au mifumo ya mwili mfano, mfumo wa fahamu na homoni. 


Kiasi kikubwa cha tatizo hili hutokana na matatizo yanayo-mzunguka mwanamke kama vile, maandalizi duni ya tendo la ndoa kwa kutozingatia kanuni na mwanamke kuingiliwa kabla ya kuwa tayari na hii inaweza kuwa ni kila mara. 


Kutokuamsha viungo vyake vya uzazi kwa ajili ya tendo ‘Insufficient foreplay’, tatizo jingine ni wote wawili mume na mke kutojua mapenzi na kazi ya viungo vyao vya uzazi, kutofahamu aina au njia mbalimbali za romance hivyo kusababisha mgongano mengine ni kutoelewa au kupenda kama mwenzake anavyohitaji, matatizo au migongano katika mahusiano, kujihisi vibaya pale unaposhindwa kumudu tendo la ndoa, kuogopa kuachwa au kukimbiwa unapohisi hufurahii tendo na huwezi kufika kileleni, kulichukia tendo lenyewe hasa endapo ulishawahi kupata matatizo nalo kama kubakwa au kuingiliwa kinyume na maumbile, na endapo kama una matatizo mazito ya kisaikolojia mfano ‘Depression’. 


ATHARI ZA TATIZO 


Mwanamke ambaye hafiki kileleni wakati wa tendo la ndoa, yupo hatarini kupoteza hamu ya tendo la ndoa hivyo basi kukosa msisimko wa tendo na 


ieleweke kwamba, mwanamke ambaye hafiki kileleni hupata hamu kama kawaida pale tatizo linapoanza , pia hupata msisimko ambao haufiki mshindo kutokana na kukatizwa na mumewe endapo mumewe anawahi kumaliza tendo, au na hali ya mazingira na kisaikolojia. Hali hii inapoendelea mara kwa mara mwishowe mwanamke huyu hupoteza kabisa uwezo wa kumaliza tendo kwa mshindo au kufikia kileleni yaani ‘climax’. 


Tatizo linapoendelea husababisha mwanamke awe anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa. Maumivu haya hutokana na woga au wasiwasi hivyo kusababisha uke uwe mkavu na misuli yake hubana hivyo hata uume unashindwa kupenya. 


MATIBABU 


Hufanyika baada ya uchunguzi wa kina katikaa hospitali ambapo vipimo mbalimbali vitafanyika. Daktari atakuelekeza njia mbalimbali za mguso wa kuamsha hisia na msisimko ili kukuwezesha kufikia kileleni na kurudisha furaha yako na kama hujawahi kuipata basi utaipata. Njia hizi ni njia ya kujiamsha mwenyewe hisia ‘ Self – stimulation,’ njia nyingine ni kama vile ‘Relaxation techniques’ na ‘Sensate focus exercises’. 


Njia nyingine ni kupata elimu na upeo kuhusu mapenzi, tiba nyingine ni za kisaikolojia kutambua na jinsi ya kuepuka migongano katika mahusiano ya kimapenzi.


COMMENTS

BLOGGER: 1
 1. 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼
  FAIDA ZA MWANAMKE KUKOJOA AU KUFIKA KILELENI
  🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼
  Mwari wangu hakuna raha duniani wakati wa kutombwa kama kukojoa kukojoa kuna Raha yake hakikisha unapotombwa nawe ukojoe upo mwari wangu sio kumridhisha mmeo huku wewe ukibaki na huzuni
  🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼
  Unapotombwa jisugue kisawasawa hakikisha mboo yake inakusugua kuta zote ndani ya kuma ili ukojoe mwanamke anastyle zake za kukojoa sio kila style unaweza kukojoa nilishatoa somo la style za mwanamke kukojoa
  🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼
  KUWA NA AMANI
  🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼
  Mwanamke anaekojoa wakati wa kutombana kwanza huwa na amani katika ndoa yake na Mara nying hawazi kutoka nje ya ndoa kwa sababu anaridhishwa ipasavyo mboo ya mme wake kwa hiyo kinyume cha kuwa na amani ni kutokuwa na amani hapa namaanisha mwanamke ambye hakojoi wakati wa kutombwa kojoa na mara nyingine huwaza pa kwenda kutombwa ili akojoe kojoa mwari wangu usikubali uteseke mwambie mmeo nae akutombe ukojoe upo mwari
  🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼
  KULAINISHA KUMA YAKO
  🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼
  Mwari wangu ujue unayotombwa unatakiwa kile kitombo chako kiendane na sauti mfano ashiiiiaaaaahhh tamu oooooooo baby raha ashiiiiaaaaahhh tamu oooooooo lalamika kimahaba ujue unapofanya hivyo unajitengenezea mazingira ya kukojoa pia hukusadia kuma kuwa na ulaini na kuwa na Ute ute usiokauka na kukufanya uinjoi unapotombwa haina haja ya kupaka mate kwenye kuma ndo mboo ipite unapokojoa mara kwa mara hukusadia kuma yako kuwa Ute ute wa kutosha tombwa ukojoe mwari wangu
  🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼
  KUONDOA FANGAS KUMANI
  🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼
  Mwanamke unapotombwa ukakojoa hukupunguzia ugonjwa wa fangasi kwenye kuma yako na muda wote inakuwa tamu na laini haina ukavu pia hukuondolea maumivu wakati wa kutombana na kukufanya uinjoi utamu na ukojoe upo mwari wangu
  🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼
  Hizo ni miongoni mwa faida za mwanamke kukojoa mwari wangu hakikisha kila unapotombwa ukojoe usitombwe bila kukojoa utakosa vitu vitam wewe Mtoto wa kike kwanini ukose utamu wa kukojoa kumbuka raha ya mechi bao kojoa uondoe mawazo mwari wangu jisugue kisawasawa hakikisha kichwa cha mboo kinakutekenya ndani ya kuma ili ukojoe upo mwari mimi tabibu wenu huwa sikojoi mpaka wifi yenu akojoe jitahid ukojoe raha ya ndoa sio mume pekee akojoe mpaka wewe mwari wangu ukojoe wote muone raha ya kutombana


  🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼
  Mimi naishia hapo nawatakia utekelezaji mwema
  🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼

  JibuFuta
Use [video]youtube-or-vimeo-video-link[/video] to insert video in comment
Use [img]image-link[/img] to insert image in comment

Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : Athari za mwanamke kushindwa kufika kileleni na chanzo chake
Athari za mwanamke kushindwa kufika kileleni na chanzo chake
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/03/athari-za-mwanamke-kushindwa-kufika.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/03/athari-za-mwanamke-kushindwa-kufika.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content