NYAKATI MBAYA HAZIDUMU

Mpendwa unayesoma ujumbe huu siku ya leo napenda kukutia moyo;
    Huenda unapitia hali ya huzuni wakati huu.Huenda umeumizwa na mtu ambaye hukutarajia kama angekuumiza.
     Huenda umesalitiwa na mtu uliyempenda na kujitoa kwenye maisha yake.
    Huenda umenenewa maneno mabaya ya kukuchafulia jina lako na umeshindwa kujitetea.
    Huenda unapitia wakati mgumu kwenye ndoa yako....,,,huenda ulitarajia kulipwa mema na watu uliojitoa kwenye maisha yako....,,,,n.k
     Napenda kukwambia kuwa NYAKATI MBAYA HAZIDUMU!
Hivyo usikate tamaa maana nyakati za huzuni hazidumu.
Piga moyo konde na uambie moyo wako,"NA HILI LITAPITA!"

#Kumbuka wewe ni wa thamani haijalishi wanadamu wanakuonaje
#Usijenge msingi wa maisha yako kwa maoni ya kila mmoja.Fanya neno la Mungu liwe msingi wako.
#Ukitaka uwe na mwaka mzuri na wenye furaha PUUZA kila anayesema anakujua zaidi ya unavyojijua kwa sababu hakuna anayekujua zaidi yako mwenyewe na Mungu.
#Jitenge na kila kitu kinachoweza kukuondolea amani.
#Usipende kuzungukwa na watu wanaopenda kuongelea maisha ya watu maana usipokuwa makini ibilisi atawatumia hao hao kukusema

Uwe na siku njema Madam

COMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,Biashara,10,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : NYAKATI MBAYA HAZIDUMU
NYAKATI MBAYA HAZIDUMU
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2019/02/nyakati-mbaya-hazidumu.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/02/nyakati-mbaya-hazidumu.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy