NA KUKUMBUSHA DADA/MWANAMKE UNAE  SHINDWA KUJITAMBUA* | BongoLife

$hide=mobile

NA KUKUMBUSHA DADA/MWANAMKE UNAE  SHINDWA KUJITAMBUA*

DARASA LA MAHUSIANO

Haijalishi we ni mrembo  kiasi ganii au una elimu na mali kiasi gani,lakini vyema ukazingatia na kukumbuka haya machache

DADA pesa ,majumba na magari sio kipimo cha utajiri wake bali soma mawazo na maono yake kichwani mwake,kuna wakati maono aliyo nayo ni bora zaid kuliko mali unazo ziona leo hii.wapo waliokuwa na maisha magumu ila kwa kuwa walikuwa na ndoto za kufanikiwa leo hii wana makampuni na biasahra kubwa sana,wakat wale walio kuwa matajir zamani leo hii wana hali mbaya kiuchumi.ACHA TAMAA

DADA wanaume BORA bado tupo kila kona ya TANZANIA,AFRIKA na Dunia kwa ujumla na wala sio kazi kutupata, ila ngumu sana kutuvutia wanaume bora.Dada WANAUME tulio BORA hatuvutiwi na urembo wako au nguo zako za nusu uchi,hatuvutiwi na sauti yako in nyororo na wala hatuvutiwi na ufundi wako wa kufanya mapenzi kitadani,umbo lako la mwili lililo jigawa vizuri halitoshi kutuvutia WANAUME bora,Sisi tuna vutiwa na TABIA njema na hali ya kujitambua kama mwanamke na thamani yako..JIANGALIE

MWANAMKE mpumbavu ni Yule ambae ana mdharau MWANAUME anae mpenda kwa dhati eti kisa hali mbaya ya kiuchumi aliyo nayo huyo mwanaume kwa sasa.DADA  Mali zinatafutwa na atafutaye siku zote hachoki,waweza mvumilia baadae mkafurahia pamoja maisha ya kula na kulala sehemu nzuri.Acha tama ya kutaka mafanikio ya mda mfupi,

DADA  Unapo nidharau leo AU Kumdharau mwanaume aliye bora na ukaamua kujichanganya na wanaume ambao ni tapeli wa mapenzi ambao shida yao kubwa ni NGONO,Tambua mda utafika utajuta sana na utaumia sana na wengi wanaendelea kuumia inapo tokea Mwanaume uliye mdharau leo ana OA mwanamke ambae wewe ulimuona unazmzidi kwa urembo,mbaya zaid mwanaume tapeli wa Mapenzi anapo kuwa amekuacha kwa dharau na kukujaza mimba,.Kabla hujasema wanaume wote MBWA hebu tafakari kwanza matendo yako ni MASAFI?

DADA Acha kuishi kwa visasi na hasira  ukituchukia wanaume kwa madai kuwa sisi ni wahuni hatuwezi kutulia na mwanamke mmoja,bali kumbuka aina ya Maisha uliyo ishi huko nyuma ya kujichanganya na kila mwanaume.Mwanzo uliko kosa msimamo ndo maana kila mwanaume mwenye pesa au mvuto alipo kuja mbele yako ulimpatia nafasi,lakini alipo kuacha baada ya kukutumia ukabaki na hasira,leo una wachukia wanaume hata ambao hujawahi na huji kuonana nao,huu ni utahira,hali uliyo nayo sasa huenda tabia zako za nyuma zimechangia kukufikisha hapo ulipo.JITUNZE wanaume Bora bado tupo kila sehemu…. Usikate tama bado unayo nafasi

DADA Naomba kumalizia kaw kusema
Huenda urembo ulio nao sasa umerithi kwa MAMA au BIBI yako, hebu tafuta picha za hao watu walikuaje enzi za ujana wao,hakika walikuwa wanavutia sana japo enzi zao urembo wa dukani haukuwepo,ila wewe unabebwa na urembo wa dukani basi unaonekan kuwa zaid yao.Picha zao hebu kila mahala tembea nazo na uzione namna ambavyo wamezeeka na ngozi zao kukunjamana.Hii ikukumbushe kuwa UREMBO  ni wa mda tu maana umri unavyo zidi kwenda nao unatoweka,lakini TABIA NZURI,UVUMILIVU NA AKILI YA MAISHA ni vitu vya kudumu milele.

Na hayo ndo mamabo yanayo pelekea MWANAUME bora KUOA MWANAMKE wa kawaida kwa mwonekano wan je ila mwenye akili kubwa ya maisha.We endelea kuzungusha makalio kila mtaa na kila BAR,endelea kuwa mteja wa kila GUEST na HOTEL,Zifahamu kumbi zote za Usiku ktk mji wako ila kamwe usiseme WANAUME WOTE ni Mbwa, huenda MBWA ukawa wewe unae tanga tanga na waume za watu kwa kukosa kujua unacho kihitaji ktk maisha yako

HONGERA kwa WANAWAKE ambao munajitambua na munaishi vyema na pole kwa wale WANAWAKE munao jitambua ila bahati mbaya Mumepata WANAUEME wanao lingia mauimbile yao ya kiume ila wameshindwa kusimama kama vichwa vya familia badala yake kuendekeza umalaya ulevi na kuzalisha nje ya NDOA.Mungu atawalipia na kuwaonesha mlango wa kutokea.

NENO LANGU SIO SHERIA,SIO LAZIMA ULIFANYIE KAZI, UNAO UHURU KUISHI UNAVYO TAKA ILA USIWAKWAZE WENGINE.


COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,146,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,192,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,13,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,203,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : NA KUKUMBUSHA DADA/MWANAMKE UNAE  SHINDWA KUJITAMBUA*
NA KUKUMBUSHA DADA/MWANAMKE UNAE  SHINDWA KUJITAMBUA*
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/02/na-kukumbusha-dadamwanamke-unae-shindwa_23.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/02/na-kukumbusha-dadamwanamke-unae-shindwa_23.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy