KWA MWENENDO WENU,WADADA BAADHI,MTANGOJA SANA KUOLEWA

Wanaume tunapata lawama sana,si waoaji,wamezoea kuchezea wanawake.

*Hapana wapo waoaji ila waolewaji chenga tupu,wamejawa na tamaa,awasomi alama za nyakati.
Wanaume ni mfano wa chura,anapenda maji lakini si ya moto,wanaume tukipenda hatuangalii kitu ila tabia zinatushinda.

*Leo umetokea kumpenda mwanamke,tena upo ladhi kuoa kwa ndoa kabisa,cha ajabu matatizo yake yoote anayahamishia kwako,wala ajaujua undani wa mwanaume.

*Baby nadaiwa kikoba,nadaiwa dera,nadaiwa hela ya mchezo,matatizo yako yoote unabwagia,je ulikua unalipiwa na nani,,? 
Atuoi,lakini Je wanaooa wanatoka wapi,kwanini si wewe,?

*Si kwamba atupendi kusikia shida zenu,lakini kuweni na subra,mmejuana jana tu leo mizinga,tena ikitokea kwenda faragha, anapanga kima cha malipo bila 50,000/= sitaki,hela gani hii,? Jamani kumbe biashara,?
Uvumilivu na subra ni silaha kwako usiingie mtego kupenda vitu vidogo.
Picha inaonyesha umezoea kudanga mtaani.

***TUJADILI KWA KINA***

COMMENTS

BLOGGER

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,Biashara,10,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : KWA MWENENDO WENU,WADADA BAADHI,MTANGOJA SANA KUOLEWA
KWA MWENENDO WENU,WADADA BAADHI,MTANGOJA SANA KUOLEWA
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2019/02/kwa-mwenendo-wenuwadada-baadhimtangoja.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/02/kwa-mwenendo-wenuwadada-baadhimtangoja.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy