UTUNDU NDO HUU SIO KUJITUNDUA

*KWENU WADADA*

*UTUNDU NDO HUU SIO KUJITUNDUA*

Bi mdada leo nakupa utundu kidogo maana mahabba yana uhaba na uhaba usababisha ukahaba, kama ujuavyo mume ni kama sahani ya kaure inahitaji kutunzwa ili itunzike.

Jitahidi ukikaribia muda wa mumeo kurudi kutoka kazini chukua maji nenda kaoge vizuri mpaka uhakikishe kijasho chote kimekatika harufu yake.


Rudi chumbani kaa kitandani au kwenye dressing table uanze kujipamba, chukua poda kidogo jipake vizuri usoni kiasi uso upendeze kisha chukua wanja wako uchore kwenye nyusi na kwenye kope za juu na zachini, paka rangi midomo yako kwa ustadi wa juu, chukua manukato yako ujipake,au jifukize udi wako nzuri wenye harufu ya kuvutia,kanga nyepesi ndo vazi la kimahaba dada.

Mkaribishe chakula mumeo kwa maneno ya papaso, *karibu chakula mume wangu* usimuache mumeo anakula wewe ukenda jitupa chumbani au kwenye kochi la hukooo mbali naye, hasha! Huo si mwendo bibi,
kaa ubavuni kwa mumeo uku anakula huku unamtupia maneno ya uchokozi,si uchokozi wa madera ulokopa laaaaa! Uchokozi wakumtoa pweza kwenye matumbawe.

Jitahidi kumfanya awe mpya asahau vurugu za mchana kutwa, jifanye kama unamuhimiza kula kwa lugha ya vitendo mkatie kipande cha samaki au nyama umlishe huku wakisindikiza na maneno  *"kula baby mbona huli nyama"* kwa sauti ya chini ya kubembeleza.mara inuka jifanye watafuta kitu mara muulize"mume wangu nikutilie juice,chungwa,ndizi,"usisubiri akujibu bibi, mume ataka kupembejewa bhana.

Hakikisha akiwa anakula mshughulishe na mihuja ya kimapnzi sio unamuacha macho yapo kwenye tv anaangalia sinema zetu au tamthilia.kumbuka ndoa hujengwa sehemu mbili kubwa wakati wa kula na wakati wa kulala.

Mpe maji ajisafishe mikono na umpe mumeo kitambaa ajifute akisha maliza kula, muangalie shati yake kama vishikizo bado vimefungwa, basi vifungue kwa mahaba huku unamliwaza mwambie *"joto mume wangu mwili wahitaji hewa."* mwache apumzike baada ya kula si kumuacha wewe utoke? Laaa! mwache kwa kumkalisha kwa maneno matamu *"pumzika mume wangu jee nikuandalie maji ya moto au ya baridi?"*

*Mume ataka ulezi, mume ni moshi koko, mume hupenda kuthaminiwa.*


Sio mume anarudi kazini anakukuta ovyo, huogi mpaka yeye alale, yeye ala chakula cha usiku wewe ndo kwanza wakusanya vyombo wenda kukosha, loooo!! ukikimbiwa useme umerogwa! Minywele tibu tibu, kikwapa hichooooo, kidera kutwa unacho.


 *Loooo! bibi mwanamke hulka, mwanamke kivutio, mwamke mpumbazi.*

*UKIYAPENDA YAFANYIE KAZI*

➿➿➿➿➿➿➿➿➿➿

COMMENTS

BLOGGER: 6
 1. Nzuri ila miwanaume ya siku hizi busy na cm ata muda wa kula anakula cm ipo mkononi sasa utamfanyia hayo yote6saa ngapi anawaza cm tu 😆

  JibuFuta
  Majibu
  1. In short WANAUME wanavichwa viwili kikubwa na kile kidogo. Kidogo kinanguvu ya kucontrol kichwa kikubwa Sasa ni ww kukicontrol kichwa kidogo ili kisishawishi kichwa kikubwa ujinga

   Futa
  2. Umemjibu vizuri Sana. Pia mnaweza Soma post hii iko na Mambo yote UNAYOWEZA kumfanyia MUMEO

   https://www.bongolives.com/2019/04/fahamu-vitu-vitano-ambavyo-wanaume.html

   Futa
 2. Nitajuaje kuwa mume wangu anaridhika na Mimi? Naombeni msaada katika hilo

  JibuFuta
  Majibu
  1. Soma post hii https://www.bongolives.com/2019/04/fahamu-vitu-vitano-ambavyo-wanaume.html then jiulize unamfanyia MUMEO hayo

   Futa
 3. MUMEO atakuwa na hamu ya kuwa na ww na kukufikiria mda wote yani hsta akiwa job atakutafuta kwa simulizi. Na pia atakuwa na wivu sana

  JibuFuta

[HOT NEWS]$type=blogging$count=4$source=random-posts

Jina

Afya Yako,101,AJIRA/JOBS,8,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,Biashara,10,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),7,CHOICE OF MY HEART,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,131,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,96,FIFA.com - Latest News,4,Hadithi,72,HALIMA,2,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,18,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,Love Story,12,Mada,2,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,197,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,2,MUUZA MAZIWA,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,35,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,156,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,12,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
Bongo Life : UTUNDU NDO HUU SIO KUJITUNDUA
UTUNDU NDO HUU SIO KUJITUNDUA
Bongo Life
https://www.bongolives.com/2019/01/utundu-ndo-huu-sio-kujitundua.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/01/utundu-ndo-huu-sio-kujitundua.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy