$hide=mobile

SIFA 15 ZA MKE  MPUMBAVU

SIFA 15 ZA MKE  MPUMBAVU �1.Anamkomoa mumewe �2.Analala mapema kabla ya mumewe. �3.Anachelewa kuamka kabla ya mumewe. �4.Mbishi, anahic kuon...

SIFA 15 ZA MKE  MPUMBAVU

�1.Anamkomoa mumewe

�2.Analala mapema kabla ya mumewe.

�3.Anachelewa kuamka kabla ya
mumewe.

�4.Mbishi, anahic kuonewa mda wote

�5.Anadhani kumnyima mumewe
unyumba ni kumkomoa.

�6.Mmekaa sebuleni anahadithia tu
Mafanikio ya familia za wa2.

�7.We unajenga family ye anajenga
Kwao.

�8.Mkikaa 2 anaanza umbea kuponda
Ndugu na majirani

�9.Anajali ajira/biashara yake hataki
kufuatiliwa mambo yake.

�10.Ni mzito katika mambo ya ibada wakat mwengne anadanganya kuwa kafanya kumbe hajafanya.

�11.Anaona tabu kupangiwa mambo na mumewe anatamani yeye ndo awe mpangaji mambo kwa mumewe.​​​​​​​​​​

�12.Hatosheki mumewe kuona uzuri na mapambo yake bali anatamani wengne waone apate sifa.

�13.Hataki mmewe aoe mke wa pili,kwake ni bora mmewe awe na vimada nje kuliko yeye kumjua mke mwenzie.❌❌

�14.anawaza pesa tu na maisha ya kifakhari,hawazi aakhera wala namna ya kupata pepo✈

�15.Ni mzururaji,safari hazimuishi kila mara anaomba ruhusa akinyimwa ananuna..

COMMENTS

BLOGGER: 2
 1. Please kama unaswali andika kwa comment box tutakujibu kwa haraka zaidi na itasaidia kuelimisha wengine. Kama swali lako ni private au personal ndio untafute kwa namba ya simu au kwa email. Asante

  JibuFuta
 2. *���� MKE MWENYE SIFA HIZI NI KITULIZO CHA MUME ����*


  ��������
  Haiba na urembo wa mke unazidi pale mwanamke anapokuwa na maneno machache mdomoni
  Hasemi ila mazuri
  Hana kelele
  Hana lawama nyingi Mume akipandisha sauti hashindani nae
  Mpole ila si mjinga

  ����
  Thamani ya mwanamke huongezeka zaidi akiwa mchamungu
  Mwanamke muumini anapendeza zaidi kwa mumewe
  Mume anamuonea haya sana mwanamke muumini
  Anasema nae kwa heshima
  Mwanamke muumini ana subira
  Mdomo wake umejaa shukran
  Anadhibiti hasira zake
  Anazuia mdomo wake
  Hajivuni
  Anajishusha

  ������
  Mwanamke muumini hawi kero kwa jirani zake
  Ana subira juu yao
  Haanzishi magomvi
  Haishindani nao kwenye shari
  Hajifakharishi kwao

  ������
  Mwanamke muumini mdomo wake umejaa dhikir, kusema yalo sawa.
  Siyo kudumu na nyimbo(mipasho) au mafumbo na kejeli.

  ������
  Mwanamke muumini humkuti kwenye baraza za umbea
  Hakai barazani na kumteta kila anaepita njia
  Hadhuruli au kupenda safari ziso na faida.
  Hutulia nyumbani
  Hatoki ila kwa dharula
  Na hatoki ila kwa ridhaa ya mumewe

  ������
  Mwanamke muumini hamsugui roho mumewe
  Hatishii kuondoka
  Hadai talaka bila sababu za kisheria
  Humtoa hofu mumewe kwa kuthibitisha penzi lake kwa mumewe (kwa maneno na vitendo)

  ������
  Mwanamke muumini anaelewa mtoaji rizki ni Allah
  Basi si mchoyo nyumbani kwake
  Mkarimu kwa jamaa na wageni wote.
  Anaheshimu watu
  Anajiheshimu pia.

  ������
  Mwanamke muumini ni liwazo njema kwa mumewe.
  Mume akihuzunika humfariji
  Akikasirika humpoza
  Ni mwanamke ambaye mume akimtazama anafurahi
  Ni mwanamke mwenye kutosheka na hali yake.
  Hana tamaa
  Khofu yake iko kwa Allah.
  ����������������


  •┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•

  JibuFuta
Use [video]youtube-or-vimeo-video-link[/video] to insert video in comment
Use [img]image-link[/img] to insert image in comment

Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : SIFA 15 ZA MKE  MPUMBAVU
SIFA 15 ZA MKE  MPUMBAVU
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/01/sifa-15-za-mke-mpumbavu.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/01/sifa-15-za-mke-mpumbavu.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content