MESEJI ZA MABOY NA WACHUMBA ZAO X MASS | BongoLife

$hide=mobile

MESEJI ZA MABOY NA WACHUMBA ZAO X MASS

Meseji za maboy na wachumba zao x mass hii ya juzi

Boy : baby nimekumiss

Demu : jamani baby hata mm  ila nasikia harufu ya x mass bae tunafanyaje  baby ?

Boy :  ziba pua tu hadi ipite baby

Demu :  sio hivyoo ok nina ombi baby

Boy. :  mwombe yesu anaweza kila kitu baby

Demu ;:  nyooo pua kama usukani wa bajaji nikome na achana na mm usinizoee kunguru wa dar mmoja wewe fyuku fyuku nyuku

Boy : baby vipi tena nikuwa natania njoo uchukue laki moja nimekuwekea kwa ajir ya x mass na mwaka mpya

Demu :  ooh beby sorry nimekosea kutxt kuna jirani yangu aliniomba pasi nikamtumia hivyo ikajisend kwako baby wrong number

Boy :  ooh baby na mm nilimaanisha uje umchukuwe mdogo waƱgu wa yule wa mwiso aje kula sikukuu kwenu anaitwa laki moja baby

Demu : kichwa kipana kama mpira wa rede umesikia tunatoa misaada huku nikome na ufute namba  yangu usinizoee kuku wa kipare wewe

Boy :  baby natania bhanaa ni laki moja hela ninayo hapa nipo kibarazani kwa mama fatuma

Demu : baby tigo jaman  wanasumbua yaan nakuja baby

Boy : sawa baby nitamuacha hapa na bag lake la nguo naomba umuangalie vzuri mama

Demu  : nani

Boy : si mdogo wangu laki moja

Demu : BLOCK

ANATUMIA LAINI YA PILI KUMCHEKI 

Boy : jamani baby

Demu : yupo mwimbili anazaliwa

Boy ; nisikilize baby pls

Demu :  nikusikilize umekuwa wosia wa baba wa taifa. Usinizoee lameck

Boy : usikasirike mwenzio moyo wangu unaungua kwa ajiri yako wife mtarajiwa

Demu ;  ita. Zima moto

BLOCK

KWA MAHITAJI YA UTUNZI WA STORY / SCRIPT ZA FILAMU WASILIANA NAMI 0652686616. soon naanza Instagram follow me @mihayo_the_great_tz

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,137,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,155,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,107,FIFA.com - Latest News,8,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),10,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,6,Mahusiano,126,Makala,10,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,202,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,38,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,160,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MESEJI ZA MABOY NA WACHUMBA ZAO X MASS
MESEJI ZA MABOY NA WACHUMBA ZAO X MASS
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/01/meseji-za-maboy-na-wachumba-zao-x-mass.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/01/meseji-za-maboy-na-wachumba-zao-x-mass.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy