$hide=mobile

MAPISHI: UTAMU WA PINEAPPLE TUMERIC PILAU

PINEAPLLE TUMERIC PILAU  LINAPIKWA HIVI!!... MAHITAJI YA KUPIKA PINEAPLLE TUMERIC PILAU NANASI!(LISAGE ) MCHELE .MANJANO MBICHI! MINOFU YA N...


PINEAPLLE TUMERIC PILAU
 LINAPIKWA HIVI!!...

MAHITAJI YA KUPIKA PINEAPLLE TUMERIC PILAU

NANASI!(LISAGE )

MCHELE

.MANJANO MBICHI!

MINOFU YA NYAMA(KUKU, AU NG'OMBE,MBUZI)

VITUNGUU VIKUBWA 3

NJEGERE KIKOMBE KIMOJA.

CAROT TATU KUBWA

MDALASINI MAGOME MATANO(TUMIA WA INDIA) (NZIMA)

HILIKI  VIJIKO VITATU(NZIMA)

ROYCO KIJIKO KIMOJA


PILIPILI MANGA

CHUMVI
MAJI
MAFUTA


KAANGA VITUNGUU!!
KISHA WEKA NYAMA,KAANGA MPK IPATE BROWN!!

WEKA CAROT
KAANGA KIDOGO.

WEKA NJEGERE
KAANGA kidogo

Weka mdalasini,hiliki na pilipili manga
KAANGA kidogo

Weka mchele,kisha weka manjano yako uliyoponda
Kaanga kwa pamoja

Emdelea kugeuza geuza

Kisha weka pineapple purée (NANASI ULILOSAGA BILA KUWEKA MAJI)

KAANGA PAMOJA MIXER YAKO!

UKIONA VIMECHANGANYIKA


WEKA MAJI KIASI!

HAKIKISHA MWIKO HAUZAMI!


ACHA UCHEMKE,UTAGEUZA MARA MOJA AU MBILI!!


UTAPALIA AU KUWEKA KWENYE OVEN!!

 SERVE NA SALAD NA JUICE UNAYOTAKA!!


MI JUICE YANGU LEO ITAKUWA YA NANASI,EMBE NA BEETROOT!!


ENJOY!!!
BY MKONO WA MAMA B

COMMENTS

BLOGGER
Jina

Affiliate Marketing,1,Afya Yako,149,AJIRA/JOBS,8,ANGA LA WASHENZI,1,ASIA DIGITAL,2,Baba Kiumbe Wa Ajabu,20,BAKING,1,BARUA ILIYOWAHI KUNIUMIZA,7,betting,1,Biashara,12,biashara mtandaoni,2,BIKIRA YANGU,1,BIKRA YANGU HAKI YA BABU,25,BISCUITS,2,BLACK AMERICA,33,BONGO MOVIES,12,Bora ungekufa kesho,1,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),16,CHOICE OF MY HEART (chaguo la moyo wangu),1,CHOMBEZO,56,CHOZI LISILOFUTIKA,1,Chunusi,1,CHUPI MKONONI,4,CITY LIGHT,5,Classified,10,DARASA LA MAHUSIANO/MAPENZI,69,Darasa la mapenzi na ndoa,196,DEREVA TAXI,18,DUDU WASHA,4,Elimu na ushauri wa maisha,110,FIFA.com - Latest News,15,Hadithi,73,HALIMA,2,HOUSE GIRL WA DADA,8,I WILL BE BACK,15,I'M NOT A BOY,1,Jam,1,JAMANI BABA,8,JAMBAZI MTAMU,3,JAMII MEDICAL AWARENESS(JMA),1,JASTINA,7,JIBU,2,JIKONI,1,JINSI PAKA ALIVYOMALIZA FAMILIA YETU,5,Jobs,19,Joke,5,Kampuni,2,Kanyago,8,KEKI YA CHAI,1,kibamia,9,KIFO MKONONI (BIKIRA YA BIBI HARUSI),20,Kijijini kwa bibi,19,Kilimo,2,kofia za steaming,2,loans,1,LOVE BITE,10,Love Story,12,Mada,3,Mada ya Leo,7,Mahusiano,126,Makala,11,make money online,3,Mapenzi,2,Mapenzi na ndoa,3,MAPENZI YA KICHAWI,6,mapenzi/Ndoa,115,Mapishi,207,Mfalme Gilbert,4,Micro loans,1,MOYO ULIOJAA MAUMIVU,46,Mpiga Picha,3,MTOTO WA MAAJABU,44,MUME WANGU SHUJAA WANGU,3,MUUZA MAZIWA,10,MWAJUMA UTAMU,11,MWALIMU MKUU,10,MWANACHUO,5,Mwanafunzi Mchawi ( A Wizard Student ),9,NAITAFUTA FURAHA YANGU,3,NAMTAKA MPENZ WANGU ARUDI,8,Natural hair,4,Ndoa,1,News,39,Ngozi,1,Ngumu Kumeza,11,Nguvu za kiume,2,NILIKUWA NA MPENZI,4,NILIOLEWA NA JINI BILA YA KUTARAJIA,2,NILIYOYAONA DARFUR YANATISHA,1,NIPE KIDOGO,2,NISAMEE RATIFA,25,Noti Bandia,6,Nyama,1,Nywele,3,ONLY YOU,10,PENZI KABLA YA KIFO,5,PENZI LA MME WA MAMA,3,PENZI LANGU LINAVUJA DAMU,10,PENZI TAMU,6,PENZI ZITO,7,Riwaya,107,Roast,1,ROSTI YA MBUZI,1,SAFARI YA KUZIMU,19,SALA YA SARAH,1,SANGARE,25,Shahiri,1,SIFA ZINAUWA,3,Simulizi,161,SIMULIZI - ULIKUWA WAPI,8,SITO ISAHAU,8,Soup,1,SPHAGETTI BOLOGNESE,1,Sports News,4,SUBIRA HUVUTA HERI,21,Tangazo,4,U KILL ME,3,Ujasiriamali,13,ULIKUWA WAPI,2,ULIMWENGU WA MBWA MWITU,1,UNBREAKABLE LOVE,1,UTAM WA KITUMBUA,2,UTAMU WA JIRAN,1,UTAMU WA MAMDOGO,3,Videos,46,VISA NA MIKASA,1,Young paster,40,YouTube,74,
ltr
item
BongoLife : MAPISHI: UTAMU WA PINEAPPLE TUMERIC PILAU
MAPISHI: UTAMU WA PINEAPPLE TUMERIC PILAU
BongoLife
https://www.bongolives.com/2019/01/mapishi-utamu-wa-pineapple-tumeric-pilau.html
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/
https://www.bongolives.com/2019/01/mapishi-utamu-wa-pineapple-tumeric-pilau.html
true
170677852813010960
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy Table of Content